Pre GE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahio shida iko wapi? Sijakuelewa
 
Kumbe haka kadada kapuuzi sana...sasa hapo tatizo nini?...
 
..Sijapanic.

..Mbona haelezi kuwa serikali imenunua mtambo wa kuongeza makalio uko hospitali ya Mloganzila?

..Na kwamba Bashite amepata makalio makubwa toka huko?
Labda Mwamba aliwakopesha Chadema Fedha za kununua Jengo la HQ
 
Mbona sioni logic ya accusations zake. I mean mbona ni kama hakuna shida yoyote kununua ofisi kwa njia hizo walizotumia chadema
 
Mbona sioni logic ya accusations zake. I mbona ni kama hakuna shida yoyote kununua ofisi kwa njia hizo walizotumia chadema
Nadhani Chadema wamekuwa na Tabia ya kukopa Fedha kwa Mwenyekiti Mbowe

Ndio anatoa Ufafanuzi Jengo halina mkopo🐼
 
Upended! Umeingia CCM ambako inabidi ubongo utoke libakie kasha tupu!
Hayo hukuyaona wakati huo unatoa!

Kwani uamuzi wa ngaI ya juu ulifanyika na mkaridhia Kuna shida gani wakati huu unapoongelea ukiwa kwa mapoyoyo.
Kama unatarajia uteuzi endelea huko huko.
 
Pendo jifunze kwa waliokutangulia kuhamia CCM. Tunapenda sana wapinzani wakihamia CCM ila hatusahau kuwa ulichokifanya unaweza kukifanya kwa CCM.Jijenge ndani ya CCM kwa mbinu tofauti na ya kutoa siri za ulikotoka. Jifunze kwa Katibu wetu wa UVCCM. Usihemke ukaongea sana ukaishia kutokuaminika. Karibu sana.
 
Wabunge wa viti maalumu kumbe nao wamechangia wakiwemo wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…