Pre GE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiachwa achika sasa alitaka zikanunue nini? By the way anasema makato yao ni kwa mujibu wa katiba
 
Ama kweli inavyosemekana hawa wenzetu wanaobeba matikiti na vifuu kusaliti ni sekunde 0 ni kweli .

Badala ya upendo peneza kuwashukuru chadema kwa kumtoa kijijini leo anawaponda ??
 
Shida Iko wapi?
 
Kuna Nyumba ya Dadaye Freeman pale mikocheni.
Watu wanaweza kupigwa za uso imenunuliwa kumbe wamegawana tu kilichopo,ruzuku inatafunwa na michango mtalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…