johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #121
Komredi Kinana atia nenoDaah huyu ni classmate wangu
Aachane na hii mambo
Bado ana safari ndefu kwenye siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komredi Kinana atia nenoDaah huyu ni classmate wangu
Aachane na hii mambo
Bado ana safari ndefu kwenye siasa
Kanafunzi ka Green Acres Dsm kalikopata daraja daraja la tatu kidato cha sitaHuyu akatibiwe kuna shida kichwani...
Mtu hapo anapigania apewe cheo jamani na lazima awanange cdm na mboweLeo amesema hajui fedha zao za michango zimetumika kufanya nini.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu wajameni
Kwa hiyo alitaka linunuliwe Kwa pesa zipi yy si alikuwa mwanachama? Huko CCM akiambiwa achange kwa manufaa ya chama hachangi? Kuna wakati unapoongea utafakari kwanza. Kwani viwanja vya mipira ambavyo CCM imefanya mali yake hatukutoa nguvu zetu?Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida
Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi
Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
MAHUSIANO YAKE NA DOTTO BITEKO NDIO YAMEMPEKEA KUENDA HUKO ?Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida
Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi
Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
La ccm limenunuliwa kwa pesa gani?Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida
Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi
Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Vipi airport Chato inaendeleaje ngosha?La Ufipa st au Mikocheni?
Mtusi mwenzake. Ila na KM naye siku za mwanzoni za kuunga juhudi alimtafuna sana. Wamemzeesha kweli kweliMAHUSIANO YAKE NA DOTTO BITEKO NDIO YAMEMPEKEA KUENDA HUKO ?
Alitaka linunuliwe na nini?Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida
Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi
Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Hii sio habari.Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida
Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi
Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Ndio maaana hata akiulizwa sababu za kuhama anakosa..hadi anatia huruma ….sasa atulie amzalie Doto ..mana kuzeeka kunakuja ….Mtusi mwenzake. Ila na KM naye siku za mwanzoni za kuunga juhudi alimtafuna sana. Wamemzeesha kweli kweli
Amehama lakini anaumia sn kuona CHADEMA wapo kimya hawamjibu chochoteAliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida
Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi
Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
AnaotaShida iko wapi sasa?