Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hayana mwongozo ila kwa hili hapana! Mwanamke anakupenda vizuri ila sasa kila muda anataka mchat kana kwamba huna kazi za kufanya, akituma meseji ukawie kujibu "mbona kimya" zinakuwa mbona kimya, inakera. Kero!
Hivi inakuaje mpenzi wako unampigia hapokei ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, unarudia tu ya tano, mara haipatikani umo tu! Unatuma meseji au text whatsApp kama tano mpaka kumi hujibiwi na unaona yupo online umo tu unakomaa kutuma, utumwa!
Mtu kashasema hakutaki mpaka anakutusu "we mbwa nitokee hapa" unalia kama fala unapiga na magoti dah, utumwa!
Mtu siku zote anakulaumu tu visirani haviishi, anakukosoa kwa kila kitu iwe unavyoongea, unavyokula, unavyotembea, unavyofanya kazi, hata umpe pesa, zawadi hashukuru anakulamu mbona me hujaninulia simu kama ya Mwajuma, kitandani ndio usiseme anadai we kibamia huna maajabu, umo tu humuachi, utumwa!
Toxic relationship is slavery, don't tolerate!
Anyway, Inasikitisha sana!