Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
🤣🤣🤣me siwezi kwakweli bora ya kuonana uso kwa uso mnapiga story etc kupigiana simu na kuchat muda wote hapana
🤣🤣🤣me siwezi kwakweli bora ya kuonana uso kwa uso mnapiga story etc kupigiana simu na kuchat muda wote hapana
ana kwa ana inakuwa more realistic unaona hisia halisi kama ni kununa, kucheka, kuhuzunika, aibu etc hata mambo mengine inafaa zaidi yafanyike face to face, kuomba kazi, kuomba msamaha, kusaini contract, hata kesi ya Lissu ndio maana kagoma
Me nilimchana hakuacha nikatemana nae wa sasa yuko vizuri sana sana ni sana anafata nachosema nafata anachosema kama kina uzuri, naona 2028 huko nitastaafu kataa ndoaHiyo ni Age Matter Mkuu,
Sidhani kwa Mshangazi mwenye kuanzia miaka 30's kuendelea atakuwa na huo utoto.
Hao wa kupenda kuchatichati mostly ni watoto wa 2000's. Wapo Idle muda wote hawana ishu wala kazi za kufanya.
Jitahidi umtafutie uyo manzi wako issue ya kufanya ili awe Busy na yeye.
Kiukweli upendo ni mzuri ila uwe na kiasi, Kuna maisha mengine zaidi ya mapenzi. Wadada mjifunze kuwa na mipaka. How comes unamtext mtu text zaidi ya 20 kwa wakati mmoja? Tena mchana wa jua la utosi? Are you serious? Kwamba unataka kumwambia nini cha maana uyo mwenzio?
Ila mtoa mada jifunze kumchana mtu kama kitu hunipendi muweke wazi muhusika akizingua block ipo.
Alfa Males huwa hawarembi, Wana misimamo Yao anachokitaka ndo utakachokifata. Utaki anakupotezea.
Mkuu sio vita😀😀😀Haha wamejaa mtaani katongoze mkuu!
🤣🤣🤣Na lissu kaingiaje hapa🤒ana kwa ana inakuwa more realistic unaona hisia halisi kama ni kununa, kucheka, kuhuzunika, aibu etc hata mambo mengine inafaa zaidi yafanyike face to face, kuomba kazi, kuomba msamaha, kusaini contract, hata kesi ya Lissu ndio maana kagoma
Wanakuwa hawajiaminiMe sipendi kabisa afu unakuta unakazi mtu anatuma jumbe nyingi, usipojibu anasema "aya sawa naona upo bize na wapenzi wako" unabaki unashangaa.
Unampiga chini tu akajifunze kupenda kistaarabuwe unadeal vipi na hilo jambo 🙂
Mwanangu Siyo poa , unakuta huyo Demu Yuko insecure that's why ...mkuu changanya na kakiingereza ka TichaZungu 😀
Wewe ni kicheche arawa...ahaha 😀
nimetulia mkuu me sio kicheche gademit nomarawaa