Moyo sukuma damu, kupenda ni kiherehereNiende moja kwa moja kwenye mada.
Hayana mwongozo ila kwa hili hapana! Mwanamke anakupenda vizuri ila sasa kila muda anataka mchat kana kwamba huna kazi za kufanya, akituma meseji ukawie kujibu "mbona kimya" zinakuwa mbona kimya, inakera. Kero!
Hivi inakuaje mpenzi wako unampigia hapokei ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, unarudia tu ya tano, mara haipatikani umo tu! Unatuma meseji au text whatsApp kama tano mpaka kumi hujibiwi na unaona yupo online umo tu unakomaa kutuma, utumwa!
Mtu kashasema hakutaki mpaka anakutusu "we mbwa nitokee hapa" unalia kama fala unapiga na magoti dah, utumwa!
Mtu siku zote anakulaumu tu visirani haviishi, anakukosoa kwa kila kitu iwe unavyoongea, unavyokula, unavyotembea, unavyofanya kazi, hata umpe pesa, zawadi hashukuru anakulamu mbona me hujaninulia simu kama ya Mwajuma, kitandani ndio usiseme anadai we kibamia huna maajabu, umo tu humuachi, utumwa!
Toxic relationship is slavery, don't tolerate!
Anyway, Inasikitisha sana!
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kabisa [emoji817]Nyie ni watoto bado?
Kwanini mnawasiliana Kwa kuchat?
Kutuma sms ni baada ya kumpigia simu akawa hapatikani au hapokei, unaweza tuma ujumbe ili kumwambia akiwa ready akupigie au kumweleza kusudi lako.
Lakini kuchat na wewe sidhani kama anakusumbua ,mweleze namna ulivyo bize na kazi
Simu 109 kuna muda wa kazi na muda wa kuchat sasa kama mda wote mnataka tuongee na kuchat itakuwa usumbufu. Mtu akikaa kimya asipokee simu na asikujibu mnaona kama hampendwi.Mnapotongoza muwe mnatoa na hizo code habari ya umejua anakupenda ndio huone kero hatuelewi
Nasema tutapiga simu hata mara 109 na kutuma sms buku mpk mjute kwanini mnatongoza badala ya kuoa kabisa
Haya mambo alikuwa anayafanya yule msukuma niliyemuacha watu wa hivi wanakera mnoNiende moja kwa moja kwenye mada.
Hayana mwongozo ila kwa hili hapana! Mwanamke anakupenda vizuri ila sasa kila muda anataka mchat kana kwamba huna kazi za kufanya, akituma meseji ukawie kujibu "mbona kimya" zinakuwa mbona kimya, inakera. Kero!
Hivi inakuaje mpenzi wako unampigia hapokei ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, unarudia tu ya tano, mara haipatikani umo tu! Unatuma meseji au text whatsApp kama tano mpaka kumi hujibiwi na unaona yupo online umo tu unakomaa kutuma, utumwa!
Mtu kashasema hakutaki mpaka anakutusu "we mbwa nitokee hapa" unalia kama fala unapiga na magoti dah, utumwa!
Mtu siku zote anakulaumu tu visirani haviishi, anakukosoa kwa kila kitu iwe unavyoongea, unavyokula, unavyotembea, unavyofanya kazi, hata umpe pesa, zawadi hashukuru anakulamu mbona me hujaninulia simu kama ya Mwajuma, kitandani ndio usiseme anadai we kibamia huna maajabu, umo tu humuachi, utumwa!
Toxic relationship is slavery, don't tolerate!
Anyway, Inasikitisha sana!
Nyie mkishajua mnapendwa ndio mnajifanya mpo bizeSimu 109 kuna muda wa kazi na muda wa kuchat sasa kama mda wote mnataka tuongee na kuchat itakuwa usumbufu. Mtu akikaa kimya asipokee simu na asikujibu mnaona kama hampendwi.
Grown up communication, lakin gen 2000s , inataka text ili kukwepa accountability na maswaliNyie ni watoto bado?
Kwanini mnawasiliana Kwa kuchat?
Kutuma sms ni baada ya kumpigia simu akawa hapatikani au hapokei, unaweza tuma ujumbe ili kumwambia akiwa ready akupigie au kumweleza kusudi lako.
Lakini kuchat na wewe sidhani kama anakusumbua ,mweleze namna ulivyo bize na kazi
Sikupingi a good morning text, mchana pia text ya mchana mwema na jioni, usiku ndio mda wa kuongea vizuri na kuchat sasa mchana inakuwa kazi nyingi!Nyie mkishajua mnapendwa ndio mnajifanya mpo bize
Unajijua uko bize mpigiee mwenzako au tuma sms umueleze how busy you’re
Wenginee usiku muda wa kulala tukiweka miguu tu usingizi debeSikupingi a good morning text, mchana pia text ya mchana mwema na jioni, usiku ndio mda wa kuongea vizuri na kuchat sasa mchana inakuwa kazi nyingi!
Pole kwa kutokutambua thamani ya upendo...na ukipoteza hapo umepoteza😀 pole ya nini mkuu me type ya hivo siwezi kuvumilia kwakweli too clingy