Upendo ukipitiliza unakuwa kero na utumwa!

Kwakwel umesema vizur siwez kushika simu mda wote kwel umri una busara mda mwingine
 
Pole sana aisee, yatapita na utasahau.
 
Mnapotongoza muwe mnatoa na hizo code habari ya umejua anakupenda ndio huone kero hatuelewi

Nasema tutapiga simu hata mara 109 na kutuma sms buku mpk mjute kwanini mnatongoza badala ya kuoa kabisa
😂😂😂😂😂
 
we kwa upande wako bora mpigiane na kuchat muda wote?
Kuna muda wa kupigiana na muda wa kuchart sio wakati wote
Ila sasa mwanaume akiwa hakupendi anaona kero kuongea na mwanamke ila sasa akikupenda hata akiwa vitani atatuma sms
 
Kuna muda wa kupigiana na muda wa kuchart sio wakati wote
Ila sasa mwanaume akiwa hakupendi anaona kero kuongea na mwanamke ila sasa akikupenda hata akiwa vitani atatuma sms
Hahah me napendelea kuonana
 
kweli inategemeana na age Yao na majukumu Yao pia Acha wapitie stage hiyo kwnz
 
Vipi mkuu yamekukuta wewe au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…