Upendo usivyo eleweka

Kila mtu anayo tafsiri yake kuhusu upendo.
Upendo ni tegemeo la kupata kitu toka kwa mtu unaempa upendo
 
Hili desa umelipata wapi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mkuu ebu tuheshimiane kidogo
Uliniuliza swali nikakujibu kwa upendo tu! Ila umevuka mipaka naomba urudi kwenye mstari ili next time tusionane wabaya.
Pole 😒
 
Upendo unatengenezwa kwa group la Damu pia kwa sababu fulani. Au kwa kukaa pamoja kwa muda mrefu. Si kweli umekutana Demu kwa mala ya kwanza kwenye mwendo kasi ukampenda hizo zinakuwa ni Tamaa ya papuchi Ila baada ya kukaa pamoja kwamuda ndiyo upendo unajitengeza. Pia hiyo papuchi inaweza kuvunja upendo.
 
Upendo kama upendo sisi malaya tunatamka upendo kwa ajili ya kudinyana tu na ndo tunajua maana ya nakupenda nikiambiwa nakupenda pia nawaza kwenye sita kwa tano yangu
 
Mistari ya Ambwene hiyo ni moja ya nyimbo yake naikubali sana.!!
Humo kaelezea vizuri UPENDO
For You For Me naomba unitumie WhatsApp basi 😁😁😁
 
Mistari ya Ambwene hiyo ni moja ya nyimbo yake naikubali sana.!!
Humo kaelezea vizuri UPENDO
Japo gospel Mimi huwa na sikiliza za Cosmas Chidumule tu 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…