Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani chawa hadi amekukukula na bado hujui ulinasaje?πMimi mwenyewe sijui! naona kama unavyoona wewe
Hivi wanaishi pamoja hao couple?Huyu Chawa akipata uteuzi, tayari ephen anakuwa Katibu muhutasi wake
Mkuu ebu tuheshimiane kidogoYaani chawa hadi amekukukula na bado hujui ulinasaje?
Itakuwa Luke ni mchawi wallah ππ
Hili desa umelipata wapi? π π πDaima upendo una sura mbili, japo wengi wanaijua moja, wakati wa raha,
faraja na nyimbo na zawadi kedekede, wanaridhika na upendo huo,
ila upendo una kipimo chake wakati wa shida,
karaha na wakati wa magonjwa wakati ambapo waona
tabia, kasoro na mapungufu; hapo ndipo upendo hupimwa,
Yule anayeweza kusimama nawe, wakati wengine kawaida wangekukimbia,
tena awezae kukufichia aibu wakati wengine kikawaida wangekutangaza,
Yule ambaye hapendi kuona unaharibikiwa,
hata mkikosana hapendi kuona unateseka
Huyo ndiye mwenye upendo wa kweli
Huyo ndiye mwenye upendo wa kweli
Upendo Upendo
(upendo) haupo (haumo) katika maneno
(unaonekana) Unaonekana (onekana) kwa matendo
Yeh yeh yeh
(Hauonekani) hauonekani (honekani) kwenye raha
(wathibitika) wathibitika wakati wakati wa shida
Wathibitika (wathibitika wakati wa shida)
Watu duniani wanahangaika, kupenda Vinavyopendeza,
wanasahau kupenda vinavyo Pendeza,
hakuna thamani isipokuwa kupenda Visivyo pendeka,
Kama mkiwapenda wale wapendao mwafanya
Ziada gani, wapendeni waombeeni wanao Waudhi,
Baba yenu Mbinguni atawapa thawabu,
na watu watasemaa huu ndio upendo wa kweli,
Jipime kama kweli wewe una upendo, Ulifanyaje,
ndugu yako alipokukosea Ulimsengenya,
au ulimuombea ulimpenda bure, au ulimpaka matope
Ulimsengenya, au ulimuombea
Ulimpenda bure, au ulimpaka matope
Jijibu kama una upendo wa kweli
Jijibu kama una upendo wa kweli
Countrywide soma hiyo
Watu wengine humu wanaboa sanaPole π’
Mistari ya Ambwene hiyo ni moja ya nyimbo yake naikubali sana.!!Hili desa umelipata wapi? π π π
You tube ipo kaichukue, mi nna kitochi WhatsApp naitoa wapi?For You For Me naomba unitumie WhatsApp basi πππ
Ambwene anajua sana, nyimbo zake zinateka hisia na zina ujumbeJapo gospel Mimi huwa na sikiliza za Cosmas Chidumule tu πππ