Upendo usivyo eleweka

Upendo usivyo eleweka

Lucas Mwashambwa kwani ukilamba teuzi mimi utaniacha?
Nakuapia lazizi wangu ephen kuwa Siwezi nikakuacha hata hatua moja wala hutapungua katika ❤️ wangu . Nakupendaa Sanaa ephen,nakupenda sana waridi wangu,nakupenda sana ephen wangu uinukaye kama nyota ya matumaini katika moyo wangu, nakupendaa sana ephen nakupendaa sana ephen,nakupenda sana ephen. Nitakuwa na wewe popote nilipo,nitasimama na wewe katika raha na nitabeba shida zote mabegani mwangu katika shida ili wewe uwe na furaha na kunipa faraja
 
Mkuu Hawa Wanawake ni Wajanja sana, Lukasi akilamba teuzi tu huyu ephen_ tayari atakuwa Mama mtu 😁😁😁😁
Ila kwa kuwa hawajuani, mm naona bado kuna shida. Unaweza kukuta ephen ana umri sawa na bibi yake lucas au kinyume chake
 
Ila kuwa hawajuani, mm naona bado kuna shida. Unaweza kukuta ephen ana umri sawa na bibi yake lucas au kinyume chake
Ephen ni below 30 na huyu Mwashambwa ni below 40 lakini ana itikadi za Kizee zee sana 😂😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Manyanza mtu ambaye huwa napitia nyuzi zako kwa makini sana.

Ila tatizo unatoaga kwa mfurulizo ila wewe ni mtu ma heshima zako mkuu🙏🙏🙏🙏
 
Nakuapia lazizi wangu ephen kuwa Siwezi nikakuacha hata hatua moja wala hutapungua katika ❤️ wangu . Nakupendaa Sanaa ephen,nakupenda sana waridi wangu,nakupenda sana ephen wangu uinukaye kama nyota ya matumaini katika moyo wangu, nakupendaa sana ephen nakupendaa sana ephen,nakupenda sana ephen. Nitakuwa na wewe popote nilipo,nitasimama na wewe katika raha na nitabeba shida zote mabegani mwangu katika shida ili wewe uwe na furaha na kunipa faraja
Lucas Watu wote wangekua wanajiachia hivi mbona mapenzi mengi yangedumu! Au nadanganya min -me ?
 
Daima upendo una sura mbili, japo wengi wanaijua moja, wakati wa raha,
faraja na nyimbo na zawadi kedekede, wanaridhika na upendo huo,
ila upendo una kipimo chake wakati wa shida,
karaha na wakati wa magonjwa wakati ambapo waona
tabia, kasoro na mapungufu; hapo ndipo upendo hupimwa,
Yule anayeweza kusimama nawe, wakati wengine kawaida wangekukimbia,
tena awezae kukufichia aibu wakati wengine kikawaida wangekutangaza,
Yule ambaye hapendi kuona unaharibikiwa,
hata mkikosana hapendi kuona unateseka
Huyo ndiye mwenye upendo wa kweli
Huyo ndiye mwenye upendo wa kweli
Upendo Upendo
(upendo) haupo (haumo) katika maneno
(unaonekana) Unaonekana (onekana) kwa matendo
Yeh yeh yeh
(Hauonekani) hauonekani (honekani) kwenye raha
(wathibitika) wathibitika wakati wakati wa shida
Wathibitika (wathibitika wakati wa shida)
Watu duniani wanahangaika, kupenda Vinavyopendeza,
wanasahau kupenda vinavyo Pendeza,
hakuna thamani isipokuwa kupenda Visivyo pendeka,
Kama mkiwapenda wale wapendao mwafanya
Ziada gani, wapendeni waombeeni wanao Waudhi,
Baba yenu Mbinguni atawapa thawabu,
na watu watasemaa huu ndio upendo wa kweli,
Jipime kama kweli wewe una upendo, Ulifanyaje,
ndugu yako alipokukosea Ulimsengenya,
au ulimuombea ulimpenda bure, au ulimpaka matope
Ulimsengenya, au ulimuombea
Ulimpenda bure, au ulimpaka matope
Jijibu kama una upendo wa kweli
Jijibu kama una upendo wa kweli

Countrywide soma hiyo
 
Haya yote kabla hujataka mwenzio ayafuate hakikisha ww unayafuata
Hakuna mtu atayafuata hayo ikiwa anakuona na ww Ni chenga, labda umkute huyo mtu ni zoba
 
Soma bila ya kuwa na hasira bado hujaelewa
Sinaga hasira, always calm and relaxed
Nimeelewa na mm nimeiweka kwa namna hiyo ieleweke kirahisi zaidi kwa like ambacho nimekusudia mtu akijue kutoka humo
 
Back
Top Bottom