Upendo wa kweli kwa Wanawake umeondoka haupo tena

Utafiti wako sikubaliani nao.. Mimi naona Sisi wanaume wenye mapenzi ya kweli ndo tumehadika sanaaaa now days Pisi Kali Ni nyingi mnoo ya sahivi mpaka mtoto wa 2006 kashaanza kuliwa..

Ni ngumu Sana kuwa loyal..[emoji39]
 
Toa aya hata moja ambayo Mungu ameidhinisha Watu watoe Mahari.

Toa aya hata moja ambayo Mungu ameidhinisha Watu watoe Mahari.
Taikon, hilo fungu halipo, Kwenye Biblia, mwanamke aliyetolewa bikra kabla ya makubaliano ya pande za mwanaume na mwanamke ndo alipaswa kutoa mahari kama adhabu.

Kutoka 22:16-17
[16]Mtu akimshawishi mwanamwali, aliyeposwa na mume, na kulala naye, lazima atatoa mahari kwa ajili yake ili awe mkewe.
And if a man entice a maid that is not betrothed, and lie with her, he shall surely endow her to be his wife.
[17]Ikiwa baba yake huyo mwanamwali akataa kabisa kumpa, atalipa fedha kama hesabu ya mahari ya mwanamwali ilivyo.
If her father utterly refuse to give her unto him, he shall pay money according to the dowry of virgins.

Kiufupi mahari si desturi ya Mungu wa Biblia. Ndo maana vitabu vitano vya Musa sijaona zaidi ya huo mstari, kipindi hicho mwanamke alikuwa anaolewa kwasababu ya upendo basi maana Mungu mwenyewe alisema kwenye moja ya vitabu vya Musa " wamasikini......wataendelea kuwepo milele". Masikini hana mali za kutoa mahari ila walioa na kuolewa.

Hapa umeniweza. Ni desturi za kipagani.
 
Alafu we ni Mkristo ujue.
Mahari ndio njia sahihi ambayo Mungu wa Wayahudi wa zamani ambaye ni Mungu wa Wakristo kwa sasa ameidhinisha kwa wanadamu kuhalalisha mahusiano kati ya mke na mume.
Hoja yangu ni kwa nini wanandoa wa siku hizi hawa kike hawana upendo pale wanapoona mwenza kayumba kiuchumi na kuanza kumfanyia vitendo vya kisaliti ili tu waachane akaolewe kwingine/akadange? Kuna haja ya kulipa mahari na kugharamia harusi wakati ndoa haitadumu na kupoteza upendo?
 
Kiukweli wanawake wanatafsiri kuwa na Fedha kama masculinity kwasababu wao wanatafuta security kwao na kwa watoto wao, wanawake sikuzote hawanaga mapenzi ya kweli, mwanamke akikupenda ni kwasababu ya kitu fulani amekiona atakipata kwako, siku akikikosa, shughuli imeisha.
 
Utafiti wako sikubaliani nao.. Mimi naona Sisi wanaume wenye mapenzi ya kweli ndo tumehadika sanaaaa now days Pisi Kali Ni nyingi mnoo ya sahivi mpaka mtoto wa 2006 kashaanza kuliwa..

Ni ngumu Sana kuwa loyal..[emoji39]
Bro kuwa loyal ni maamuzi na inawezekana kabisa. Kikubwa ni mindset na hofu ya Mungu tu. Mungu atakupigania na hata kumuexpose yule anayekucheat ili usifunge naye pingu za maisha. Hili nishaliona mara nyingi hasahasa wale wanaomuabudu Mungu kwa kumaanisha.
 
Kweli kabisa.
 

Mbali na kuwani yakipagani(potofu) lakini pia ni mila za kizamani sana.
Yaani ni upo karne ya 21 alafu unaleta mambo ya kàrne ya 20 kurudi nyuma
 
Vizur
Toa sadaka
Wakumbuke wasiojiweza
Mengine ni ziada
Kusanya kibunda kula maisha

Ikiwa utahisi unahitaji kuowa owa
Ukiona hauna hitaji hilo achana nalo
Kula life
Umemalza kila kitu mkuu
 
Jamaa kazungumzia ikiwa mwanamume hana uwezo

Hata kama una uwezo wa kutoa hiyo mahari yote, hebu tua halafu tafakari hili;

Kwa jinsi hawa wanawake wanatumika sana kabla ya kuolewa na wengine wameliwa hadi jicho na bado hata baada ya kuolewa ataendelea kugawa kwa ma-ex zake na wengine, kweli kuna haja ya kuendelea kutoa mahari miaka hii?

Naona wazazi wenye watoto wa kike tukubaliane tu tuwe tunawachukua mabinti zao na kufunga nao ndoa tuwasaidie majukumu bila ya kutoa mahari

Miaka hii mahari ni utapeli tu

Mahari ukimlipia atleast bikira na aje atulie kwako asirukeruke inaleta mantiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…