Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

dah aisee kweli mitandaoni hakuna couple goals kila mtu anapambana na hali yake

Mwanaume marioo ana shida Sana, mpenda mteremko acha atumwe tu, maana yule angetakiwa amuongoze mke Sasa matokeo ndio anapelekeshwa mwenyewe. Hafu kazi kupigwa mapicha na video nijuavyo wanaume wanaojielewa hukuti Wana piga piga picha hovyo
 
mtoto naye kama anaaaaa anaaaaa ananaaa.....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi Resty akichezaga mziki huwa nakimbia mimi sijui huwa hajionagi ni mzito na sijui huwa amelewa muda wote,na wanaume wa kitanzania hawajui kumueleaza mtu ukweli japo unauma anakuacha unadhalilika ila lizuri sana lile lidada
Live sura yes na ngozi, ila ule mwili mmhh...ule unene sijui wa wapi[emoji849]
 
Resty ni mzuri wa sura Ila amejiachia Sana na kuruhusu unene, hafu anapenda kumpost mumewe ngoja majimama ya mjini yamnyakue huyo mumewe ndio atajutraa.
Yule mkaka kila mahali yuko nae, yaan wanaongozana hao mpaka! Nikawa najiuliza huyu jamaa anapiga mishe gani? Sipati jibu
 
Yule mkaka kila mahali yuko nae, yaan wanaongozana hao mpaka! Nikawa najiuliza huyu jamaa anapiga mishe gani? Sipati jibu
Mimi huyo mumewe naona anatabia za kike kike hivi mwanaume rijali hawezi act ule utopolo wa resty full kupigana ma picha
 

Unachanganya rachel mara resty fanya ku edit apo. Rachel kaolewa lini?
 
dah aisee kweli mitandaoni hakuna couple goals kila mtu anapambana na hali yake
Ukiona wapenzi Wana postiana mtandao kuwa wanapendana ujue mahusiano machungu. Mapenzi ya watu show off ndani huwa machungu
 
Hahahahah aiseee mbona unamchambua hivyo jamaa amekukosea nin ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule qnajibehave ka si mwanaume rijali bana wanaume wengi huwa hawapendi mapicha picha
 
Wewe una miaka mingapi?!
 
Wanawake hampendani kabisa
 
Ila wadada mna wivu jamani khaaaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23] mbona nyinyi mkiolewa na vibabu magentleman hawa wa diss nyinyi wadada wadogo au hivyo vibabu vyenu shame on you wadada wote mnao waongelea vibaya wadada walio olewa na wanaume walio wazidi umri.

Age is just a number na kama umri ungekua una matter kiasi hicho mbona alishindwana na mumewe wa kwanza ambae hakukua na gape la age???? Jamani hukuna anaependa kero na mauzi kama kuna option nyingine yakutengeneza furaha yako fanya hivyo.

Alafu kwanini mnasema mwanamke ukifika umri flani asiolewe alee watoto tuu au kama akiwa na mahusiano yawe ya siri[emoji15][emoji15][emoji15], kitabu gani cha dini kimeandikwa hivyo au mwana philosopher gani alipendekeza iwe hivyo???? Narudia tena wadada acheni wivu older womans/ Baby mamas gotta have a life too.
 
Kuzaliwa ni siku moja na kufa ni siku moja tu cha msingi kuangalia kile ambacho kinakupa furaha hata mamilioni ya watu watafikiria tofauti ilihali kwako kuna ahueni acha maisha yaendelee .

Let love heal the world
 
Kuzaliwa ni siku moja na kufa ni siku moja tu cha msingi kuangalia kile ambacho kinakupa furaha hata mamilioni ya watu watafikiria tofauti ilihali kwako kuna ahueni acha maisha yaendelee .

Let love heal the world
 
Hivi watu mnatumia vigezo gani kusema,huyu mama kaolewa na kijana mdogo

swali langu lipo hapo kwenye neno kijana mdogo mnampima mtu kwa kigezo gani

mpaka mnagundua ni mdogo,mtoto,serengeti boy,nk hebu nisaidieni hiyo elimu namimi inisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…