Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Lakini Mido alikua na ki binti cha age yake kinaishi Tabata. Mido alikua anaenda kukitembelea na Harrier ya Pendo. Umbea ujamfikia Pendo. Kamtimua saa hivi anaka kufukuza nzi kwenye duka la kaka yake Kariako. Anaomba msama lakini bi mkubwa kamkazia
Daah. Harrier kabaki nayo Nan? Kunguru hafugiki
 
Weee Pendo kachukua kamtupia virago vyake. Ila kweli pale Pendo hakuuliza, yule jama anapenda kitonga. Sema wengine walisema Pendo alikua anatafta mtu kama houseboy wakumsaidia kwenye biashara huku na mzigo anakula. Sasa kijana akawa mvivu. Anaona aibu kupeleka order za mchicha
Daah. Harrier kabaki nayo Nan? Kunguru hafugiki
 
Dada anasura ngumu na shape kama mwanamieleka,lazima uwe unalewa ili umuone beyonce ndio umgegede...yuko mshkaji alikua na limama shepu kma huyo ilikua anaenda hom ucku kalewa plus bange.
Yani hakua anaficha anasema bila hivyo siwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol.
 
Yaani ndiyo kwanza namuona huyu mwanamama, ni nani?
 
Huyu inatakiwa atulie tu,mambo ya kuanza kuolewa olewa ndio yanamtia gundu....Hawezi kufuga ben 10 wa 31 ndani na kuanza kumfanya kama houseboy Mbweni.
Tatizo la kukurupuka huyu aliitaji muda kidogo wa kutulia baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika aje apate mtu sahihi yeye siku chache kaanza kupost mipicha ya kuolewa tena.
 
KWA hii comment yako ndoa ya upendo imekufa chali kifo Cha mende aibu kuchunguliwa na mtoto na ule mwili wake loh. Atafte vetenary mwenzake
Eti aibu kuchunguliwa na mtoto kwani huyo upendo anamiaka mingapi???? Na huyo kijana mwezetu anamiaka mingapi??? Alfu kitabu gani kimekataza mwanamke asiolewe na mwanaume aliemzidi umri??? Au mwana philosophy gani ulimsika anazungumza kua haifai mwanamke kumzid umri mwanaume?? Laiti kama huyo mwamba angekua yupo vzr ki financially wala mambo ya umri tusinge yaskia embu acheni kupangia watu maisha jamani kama wewe una penda vibabu olewa navyo upendo wa watu yupo below 40 anakula vzr anafanya mazoez anataka mtu ambae anatembeza bakora usiku kucha hataki vibabu ambavyo havina kazi. Ukitaka kuamini nikisemacho kamuulize mama wakuitwa MADONNA!!!
 
Hivi watu mnatumia vigezo gani kusema,huyu mama kaolewa na kijana mdogo

swali langu lipo hapo kwenye neno kijana mdogo mnampima mtu kwa kigezo gani

mpaka mnagundua ni mdogo,mtoto,serengeti boy,nk hebu nisaidieni hiyo elimu namimi inisaidie.
Aiseeeeee ni wivuuuuu ni wivuuuuu tuuu (Rashid voice)
 
Awe makini pendo, hii kuzoa zoa vijana wadogo watakuja wambakie mwanae yule binti yake
 
Tatizo la kukurupuka huyu aliitaji muda kidogo wa kutulia baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika aje apate mtu sahihi yeye siku chache kaanza kupost mipicha ya kuolewa tena.
Alisema amekaa miaka mi3 baada ya divorce na baba Imani ndio kaolewa tena..sio siku chache hizo eti. mlitaka mpaka afike menopause? lol
 
Dada anasura ngumu na shape kama mwanamieleka,lazima uwe unalewa ili umuone beyonce ndio umgegede...yuko mshkaji alikua na limama shepu kma huyo ilikua anaenda hom ucku kalewa plus bange.
Yani hakua anaficha anasema bila hivyo siwezi
beauty is in the eyes of the beholder
Hakuna mtu mbaya sema wewe hajakuvitia inatosha, uyo Beyonce unamuona mzr mwenzako anam cheat kila kukicha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…