Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Mmh
 
Nakuelewa hivi, ana dada flani hivi mjasiriamali pia rafiki yake sijawahi kuulewa urafiki wao hata kidogo. Yani it's beyond friendship hata caption zinakuaga tata now I'm connecting dots!!!

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Sijui nawaza kama wewe yule wa gelato eeh??
Wana kiurafiki flani cha ajabu
 
Kaoata mume wa pili, no wonder
 
Ila Kitchen ni BONGE SANA!! Mimi napenda madem wenye nyama (tako+hips) ila awe na tumbo flat!! Inatakiwa uwe bonge amazing kama kina shilole ,shamsha ford ila sio BONGE SHAPE YA KABATI AU TIKITI MAJI.
Hahahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ingawa mwanaume kuchangia mijadala kama hii inatia mashaka sana

Ikinishinda saaaana huwa nasoma tu
 
Uzuri wa sponsors Kama Hawa hawanaga Bei. Ukiwa unampa haki Yake vizuri ukaweka na uzoba utaenjoy life sana-utatunzwa (pamba, kula na kulala pazuri na gati utawekewa mafuta) ila sku ukizingua utajutraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…