Huwezi kuelewa bila kueleweshwaKwani unamaanisha nini mkuu? Sijakuelewa kabisa.
Ubishi wako unasababishwa na mahaba niue uliyokuwa nayo kwa RaycAaaaaah wapi wewe,masikio yako mabovu tu.
Ok nifuate in boboSi ndio maana nimekuuliza ili unieleweshe mkuu?
Hilo huwa naliwazia sana,Ray C kakamilika kila kitu.Ila huyu dada ni mzuri jamani dah!!!sauti nzuri sura nzuri figure nzuri kasoro tabia tu ndo sijui...kanikumbusha ukimwona ya diamond Bella alivyotembeamo akamfunika founder
we weMimi au Ray C mkuu?
Hilo huwa naliwazia sana,Ray C kakamilika kila kitu.
Ni mzuri mnooooooo! Mungu kamjaalia kila kitu.