Mimi wiki hii nzima ni Ray C pekee,AliKiba alikaa benchi [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unamlilia ray c!!! [emoji38]
Ray c akijitambua kama ww ndiyo atakaa kwenye mstari. Anatakiwa kuwa free from inside na siyo kingine. Otherwise hawezi kusogea popote, atakuwa wa history, halafu jide ni mchawi ana roho mbaya, wanawake hawasaidiani hata kidogo.
hata naivo sio mtoto mdogo ray cIla Ray c kawa mbibi kweli
Nashukuru itakuwa poa. Halafu aimbe, "Nashukuru nimerudi, nashukuru nimerejea"
Ni takribani wiki nzima sasa nasikiliza wimbo mmoja tu,Upepo cover aliyoifanya Ray C.
Baada ya kusikiliza version hii ya Ray C nikajaribu kusikiliza original version aliyofanya Rachel! Sikutumia hata sekunde 10 niliachana nayo na kurudi kusikiliza aliyoimba Legendary Ray C.
Kwa ujio huu umenifumbua masikio kusubiria ngoma kali kutoka kwako,naamini hutoniangusha...
Sijawahi kuwa shabiki wa msanii yeyote wa kike Tanzania hii zaidi ya Ray C,kwa jide nilijishikiza tu lakini sasa nimerudi nyumbani.
Niliposikiliza wimbo huu nililia sana.
Hiki kipaji kilishapotea!
Nafurahi umerudi tena,nakupenda sana Ray C,sana.
Tafadhali usiyarudie madawa...Kama sivyo leo hii huyo Yemi Alade angekuwa si lolote Afrika hii.
Nimeweka link hapo juu,team muziki mzuri mtajua namaanisha nini baada ya kusikiliza.
Hauhitajiki kurudia mara 2 kuuona uzuri wa huu wimbo.
Rachel kapotezwa vibaya sana humo.
Naam,Ray C is baaaaaaaaack
P.S Ray C pls fanya cover ya Nashukuru ya Recho,kwa ajili yetu mashabiki wako.
Asante
Nifah
Something unique ya Ray C ni sauti,ndio maana unatamani kumsikiliza tena na tena.kajitahidi lakini sidhani kama kafanya kwa kiwango cha kuzidi original version. Kwa mimi original version bado ni fire kuliko hii ya ray c.
ila jana nimesikiliza interview yake EA radio, huyu dada anahitaji kurudi kwenye utangazaji. She has something unique katika utangazaji.
Dah nifah ray c ni level zingine aiseee
Ni takribani wiki nzima sasa nasikiliza wimbo mmoja tu,Upepo cover aliyoifanya Ray C.
Baada ya kusikiliza version hii ya Ray C nikajaribu kusikiliza original version aliyofanya Rachel! Sikutumia hata sekunde 10 niliachana nayo na kurudi kusikiliza aliyoimba Legendary Ray C.
Kwa ujio huu umenifumbua masikio kusubiria ngoma kali kutoka kwako,naamini hutoniangusha...
Sijawahi kuwa shabiki wa msanii yeyote wa kike Tanzania hii zaidi ya Ray C,kwa jide nilijishikiza tu lakini sasa nimerudi nyumbani.
Niliposikiliza wimbo huu nililia sana.
Hiki kipaji kilishapotea!
Nafurahi umerudi tena,nakupenda sana Ray C,sana.
Tafadhali usiyarudie madawa...Kama sivyo leo hii huyo Yemi Alade angekuwa si lolote Afrika hii.
Nimeweka link hapo juu,team muziki mzuri mtajua namaanisha nini baada ya kusikiliza.
Hauhitajiki kurudia mara 2 kuuona uzuri wa huu wimbo.
Rachel kapotezwa vibaya sana humo.
Naam,Ray C is baaaaaaaaack
P.S Ray C pls fanya cover ya Nashukuru ya Recho,kwa ajili yetu mashabiki wako.
Asante
Nifah
jide alishabaki story, ashukuru Ndi ndi ndi[emoji23]Ndio namlilia,kwani kuna ajabu gani? Ni kwa mapenzi yangu juu yake.
Hata huyo Jide ilikuwa kidogo abaki story kama sio ujio wa Ndi ndi ndi
Hatujui Ray C nae atarudi vipi.
Hahahaaaaa umeanza kumsema Jide na uchawi kitambo sana,vipi wewe ndio mganga wake mkuu?
yan mtoto alikuwa anaongea kama anataka afu hataki hivi..Something unique ya Ray C ni sauti,ndio maana unatamani kumsikiliza tena na tena.
Kwangu mimi Rachel kakalishwa hapa.
Kwenu hakuna Mbibi!Ila Ray c kawa mbibi kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Ile ni bonus tu,jiwe lajaaaaa.
basi tu ,Shetani alizishinda nafsi zao[emoji24][emoji24] ila recho kasema ameacha au?Sijui kwanini waliamua kutumbukia kwenye madawa jamani!
Dah [emoji24]
Nimeipenda hii hekimaMkuu Rai...Ray C kama tulivyo binadamu wengine hajakamilika.
Hayo yamepita sasa tuangalie mbele.
Binafsi namshukuru Mungu sana kwa hapa alipo hivi sasa compared to Ray C yule wa juzikati hapo.
Tumpongeze kwa hatua hii tafadhali.