Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani nifah niko nje ya mada....dada KAOLEWA?
Naiona hazina ya mke kwenye sauti yake...nyoka pangoni lazima atoke tuu....hayo macho sasa....tiba kwa matatizo ya nguvu za kiume.
MUNGU kambariki na zawadi ya mtoto/watoto?....natamani kupata copy yake sanaaaa tuu.
Please nifah niweke kwa nduguyo kiuno bila mfupa.
Natanguliza shukrani zangu....wako mtiifu who cares?
Sio siku hizi,ni tokea zamani...Jide ana dharau sana. Sijui angekuwa yeye ndio Ray C angeringa vipi.jide skuizi ana dharau kama nini...
mimi sikuwahi kuwa shabiki wake.
ashukuru rehema chalamila aliingia kwenye madawa... enzi za Ray c ,jide alisubiri kimanzichana ray c yuko mpwapwa.
Ni takribani wiki nzima sasa nasikiliza wimbo mmoja tu,Upepo cover aliyoifanya Ray C.
Baada ya kusikiliza version hii ya Ray C nikajaribu kusikiliza original version aliyofanya Rachel! Sikutumia hata sekunde 10 niliachana nayo na kurudi kusikiliza aliyoimba Legendary Ray C.
Kwa ujio huu umenifumbua masikio kusubiria ngoma kali kutoka kwako,naamini hutoniangusha...
Sijawahi kuwa shabiki wa msanii yeyote wa kike Tanzania hii zaidi ya Ray C,kwa jide nilijishikiza tu lakini sasa nimerudi nyumbani.
Niliposikiliza wimbo huu nililia sana.
Hiki kipaji kilishapotea!
Nafurahi umerudi tena,nakupenda sana Ray C,sana.
Tafadhali usiyarudie madawa...Kama sivyo leo hii huyo Yemi Alade angekuwa si lolote Afrika hii.
Nimeweka link hapo juu,team muziki mzuri mtajua namaanisha nini baada ya kusikiliza.
Hauhitajiki kurudia mara 2 kuuona uzuri wa huu wimbo.
Rachel kapotezwa vibaya sana humo.
Naam,Ray C is baaaaaaaaack![]()
![]()
P.S Ray C pls fanya cover ya Nashukuru ya Recho,kwa ajili yetu mashabiki wako.
Asante
Nifah
Recho anamuiga Ray C so ni ngumu ku outshine your master, ni kama ishu ya coke studio na akina V-money na Trey song pamoja wakati jux anamuiga Trey.
Hii cover maana yake ni kwamba,ngada ni mbaya sana inapoteza ladha na malengo ya vijana wenzetu, hima tusimame pamoja katika kutokomeza madawa ya kulevya.
Matumizi ya nguvu tuwaachie serikali,sisi wengine tusambaze elimu juu ya madhara ya kutumia madawa ya kulevya.
In short Ray C is good and she still have fans here,die hard fans,asituzingue tena kama ameamua kurudi kwenye game.
Ni takribani wiki nzima sasa nasikiliza wimbo mmoja tu,Upepo cover aliyoifanya Ray C.
Baada ya kusikiliza version hii ya Ray C nikajaribu kusikiliza original version aliyofanya Rachel! Sikutumia hata sekunde 10 niliachana nayo na kurudi kusikiliza aliyoimba Legendary Ray C.
Kwa ujio huu umenifumbua masikio kusubiria ngoma kali kutoka kwako,naamini hutoniangusha...
Sijawahi kuwa shabiki wa msanii yeyote wa kike Tanzania hii zaidi ya Ray C,kwa jide nilijishikiza tu lakini sasa nimerudi nyumbani.
Niliposikiliza wimbo huu nililia sana.
Hiki kipaji kilishapotea!
Nafurahi umerudi tena,nakupenda sana Ray C,sana.
Tafadhali usiyarudie madawa...Kama sivyo leo hii huyo Yemi Alade angekuwa si lolote Afrika hii.
Nimeweka link hapo juu,team muziki mzuri mtajua namaanisha nini baada ya kusikiliza.
Hauhitajiki kurudia mara 2 kuuona uzuri wa huu wimbo.
Rachel kapotezwa vibaya sana humo.
Naam,Ray C is baaaaaaaaack![]()
![]()
P.S Ray C pls fanya cover ya Nashukuru ya Recho,kwa ajili yetu mashabiki wako.
Asante
Nifah
nifah mitakataka na wasanii wako ni wa hovyo hovyoHebu nitokee hapa na wewe,kila show lazima niwepo mimi ni mic?
Duuujide skuizi ana dharau kama nini...
mimi sikuwahi kuwa shabiki wake.
ashukuru rehema chalamila aliingia kwenye madawa... enzi za Ray c ,jide alisubiri kimanzichana ray c yuko mpwapwa.
umepiga mahesabu[emoji23][emoji23] tena kimanzi karibu kama ikwiriri vile
Hahaaaaaumepiga mahesabu[emoji23][emoji23] tena kimanzi karibu kama ikwiriri vile
na alivopata huyo bwana mpopo ndo anazidiSio siku hizi,ni tokea zamani...Jide ana dharau sana. Sijui angekuwa yeye ndio Ray C angeringa vipi.
Mimi niliwahi kujiweka kwake kidogo,ila kutoka moyoni sijawahi kabisa kumpenda Jay Dee.
Tena ashukuru sana,yani watu waache kwenda kumuangalia mtoto mzuri mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni hapo bado kiuno waende kwa Jay Dee?
Thubutuuuuu.
Hahahaaaaa huu uchokozi sasa mkuu.Ukimsikiliza vzr like pumzi kidogo bado..
Nifah tuletee kuna cover moja nilickia clouds ya King kiba pls