Hunizidi mimi mkuu,nampenda sana huyu dada,sanaaaaa.Kwa cover hii Ray C yuko vzr sana, hii nyota iliyokuwa imepotea sasa nimerudi kwenye music,
I love Ray c songs since day 1
[HASHTAG]#Anaejua[/HASHTAG] anajua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekeshaaaa.jide alishabaki story, ashukuru Ndi ndi ndi[emoji23]
Samahani nifah niko nje ya mada....dada KAOLEWA?Kwa umri alionao (35) na muonekano wake bado analipa sana.
Bado ni kadada kazuri.
jide skuizi ana dharau kama nini...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekeshaaaa.
Jide kaponea bahati sana.
Na sasa hivi asipoangalia vizuri kazi anayo.
Huu wimbo alioutoa na shemela ni mzuri ila muitikio wake sio mzuri sana.
Musuli tumuombee sana Ray Chiyo hapo mkuu,karibu.
Baada ya Whitney Houston Ray C ndiye mwanamuziki wa pili kuniliza kwa issue ya madawa.Nilimskiliza akiwa FNL ya wiki ileee! Nilimuelewa sana. Kinje. Et al Mungu anawaona!
we kweli mitakataka sasa kama haukuwepo ndio maana yake hakukwama sauti??Hahahaaaaa nilitaka kumuambia hivyohivyo
weeh ila mm nampenda sana mwali kigego, hajawahi kuimba hovyo, live ndo kabisaaRachel ni wa hovyo sana yule dada,simuamini kabisa.