Upepo cover; Shkamoo Ray C

Upepo cover; Shkamoo Ray C

Nashukuru itakuwa poa. Halafu aimbe, "Nashukuru nimerudi, nashukuru nimerejea"
Hahahaaaaa akiimba nashukuru sitokula siku nzima zaidi ya kumsikiliza Ray C...lol
 
Kwa cover hii Ray C yuko vzr sana, hii nyota iliyokuwa imepotea sasa nimerudi kwenye music,
I love Ray c songs since day 1
[HASHTAG]#Anaejua[/HASHTAG] anajua
Hunizidi mimi mkuu,nampenda sana huyu dada,sanaaaaa.

Absolutely,anayejua anajua daima.
 
jide alishabaki story, ashukuru Ndi ndi ndi[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekeshaaaa.
Jide kaponea bahati sana.
Na sasa hivi asipoangalia vizuri kazi anayo.
Huu wimbo alioutoa na shemela ni mzuri ila muitikio wake sio mzuri sana.
 
Kwa umri alionao (35) na muonekano wake bado analipa sana.
Bado ni kadada kazuri.
Samahani nifah niko nje ya mada....dada KAOLEWA?
Naiona hazina ya mke kwenye sauti yake...nyoka pangoni lazima atoke tuu....hayo macho sasa....tiba kwa matatizo ya nguvu za kiume.

MUNGU kambariki na zawadi ya mtoto/watoto?....natamani kupata copy yake sanaaaa tuu.
Please nifah niweke kwa nduguyo kiuno bila mfupa.

Natanguliza shukrani zangu....wako mtiifu who cares?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekeshaaaa.
Jide kaponea bahati sana.
Na sasa hivi asipoangalia vizuri kazi anayo.
Huu wimbo alioutoa na shemela ni mzuri ila muitikio wake sio mzuri sana.
jide skuizi ana dharau kama nini...
mimi sikuwahi kuwa shabiki wake.
ashukuru rehema chalamila aliingia kwenye madawa... enzi za Ray c ,jide alisubiri kimanzichana ray c yuko mpwapwa.
 
Nilimskiliza akiwa FNL ya wiki ileee! Nilimuelewa sana. Kinje. Et al Mungu anawaona!
Baada ya Whitney Houston Ray C ndiye mwanamuziki wa pili kuniliza kwa issue ya madawa.
Mungu azidi kumlaani mbunifu wa unga na madawa mengine ya kulevya.
Amen [emoji120]
 
Sawa, ngoja tusubiri maana upepo wa Muziki ya Darasa umeisha, tunasubiri kuona nani anakuja na hit nyingine tena.
Kabisa mkuu,ila Billnass anatamba baada ya Muziki ni yeye.
[emoji23]
 
Back
Top Bottom