MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
link ya nini?Wacha maneno weka link tuone,sitaki hata kuamini Rachel anaweza kumfunika Ray C.
nimekwambia live
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
link ya nini?Wacha maneno weka link tuone,sitaki hata kuamini Rachel anaweza kumfunika Ray C.
Kaimba vizuri bana wacha nimpe sifa yake, kampoteza alouimba wimbo anasauti ya kumtoa nyoka pangoni, cha kufanya aanze kuachia mawe yake sasa japo sidhani kama uno lile litaendelea kuzunguka kama zamani
Nashukuru mkuu,nami nimerejea kama Ray C hahahaNlikumiss Nifah, Ray c Kiboko bana japo haishi majini sauti kama chiriku kautendea haki huo wimbo ila fanya kutoa ile picha ya pili ya Ray C anaonekana mbaya hadi inanikera kuiona
Tuna sikio sawa la muziki mkuu,Ray C kamtia aibu sana Rachel,ni kama hakuimba kabisa upepo yeye bali kakopi kwa Ray C.duuuuh what a song?...kweli utuuzima dawa...na wasiwasi recho hatomruhusu tena kufanya cover nyingne
haya bana wacha nivumilie mkuuNashukuru mkuu,nami nimerejea kama Ray C hahaha
Mkuu hizo ndicho picha zangu bora kabisa tokea arejee,yani naipenda sana sana.
Vumilia tu [emoji4]
tumuombee arudi kwa nguvu zote....kwa kweli nimemis tone za huyu dada......lady jay dee anitendei haki kivileeee....hawa kina Linah ndo hamna kabisa....make up na mawig tuuTuna sikio sawa la muziki mkuu,Ray C kamtia aibu sana Rachel,ni kama hakuimba kabisa upepo yeye bali kakopi kwa Ray C.
Naam...utu uzima dawa hakika.
Hahahaaaaa Ray C kajua kuniua binamu,Recho hakuutendea haki huu wimbo kabisa.
BTW wakati naandika hii thread nilikuwa nakufikiria wewe,soon tutaanza kuumana.
Maana wewe Jide mimi Ray C...lol
Mkuu nadiriki kusema tokea ameondoka kwenye industry ya music wa bongo tunaoujua muziki mzuri tumekosa vingi sana.tumuombee arudi kwa nguvu zote....kwa kweli nimemis tone za huyu dada......lady jay dee anitendei haki kivileeee....hawa kina Linah ndo hamna kabisa....make up na mawig tuu
nalisubili kulishuhudia make nlilimisijeRachel kwenye version hii hasogei mkuu.
Hilo ndilo la muhimu mkuu...
Hahahaaaaa uno bado lipo.
okey mkuu MUNGU akupe nguvu uendelee kumpigania sisi wengine tunatia DUA.....kama una mawasiliano nae muambie tumemmis sana na aka ka cover kime tu salivate sana......tunasubir udambwidambwiMkuu nadiriki kusema tokea ameondoka kwenye industry ya music wa bongo tunaoujua muziki mzuri tumekosa vingi sana.
Hii sauti hakuna mwanadada yeyote bongo hii mwenye nayo.
Mimi tayari naomba sana,sana aweze kurejea tuburudike.
Nimempigania huyu dada kiasi ambacho siwezi kukisema hapa,basi tu.
Namshukuru Mungu mambo yanaendelea kuwa mazuri sasa.