Upepo cover; Shkamoo Ray C

Upepo cover; Shkamoo Ray C

Kaimba vizuri bana wacha nimpe sifa yake, kampoteza alouimba wimbo anasauti ya kumtoa nyoka pangoni, cha kufanya aanze kuachia mawe yake sasa japo sidhani kama uno lile litaendelea kuzunguka kama zamani
 
Nlikumiss Nifah, Ray c Kiboko bana japo haishi majini sauti kama chiriku kautendea haki huo wimbo ila fanya kutoa ile picha ya pili ya Ray C anaonekana mbaya hadi inanikera kuiona
 
Rachel kwenye version hii hasogei mkuu.

Hilo ndilo la muhimu mkuu...
Hahahaaaaa uno bado lipo.
 
Nlikumiss Nifah, Ray c Kiboko bana japo haishi majini sauti kama chiriku kautendea haki huo wimbo ila fanya kutoa ile picha ya pili ya Ray C anaonekana mbaya hadi inanikera kuiona
Nashukuru mkuu,nami nimerejea kama Ray C hahaha

Mkuu hizo ndicho picha zangu bora kabisa tokea arejee,yani naipenda sana sana.
Vumilia tu [emoji4]
 
duuuuh what a song?...kweli utuuzima dawa...na wasiwasi recho hatomruhusu tena kufanya cover nyingne
Tuna sikio sawa la muziki mkuu,Ray C kamtia aibu sana Rachel,ni kama hakuimba kabisa upepo yeye bali kakopi kwa Ray C.

Naam...utu uzima dawa hakika.
 
Tuna sikio sawa la muziki mkuu,Ray C kamtia aibu sana Rachel,ni kama hakuimba kabisa upepo yeye bali kakopi kwa Ray C.

Naam...utu uzima dawa hakika.
tumuombee arudi kwa nguvu zote....kwa kweli nimemis tone za huyu dada......lady jay dee anitendei haki kivileeee....hawa kina Linah ndo hamna kabisa....make up na mawig tuu
 
Dah huyu bibie hatari sana, ningekuw na pesa ningemrudisha kwenye chart...saut hyo daah
 
Hahahaaaaa Ray C kajua kuniua binamu,Recho hakuutendea haki huu wimbo kabisa.

BTW wakati naandika hii thread nilikuwa nakufikiria wewe,soon tutaanza kuumana.
Maana wewe Jide mimi Ray C...lol

Arudi tu, ila mimi kwangu nadhani toka abadili rangi ndo ilikuwa mwisho wangu na yeye, sioni radha ya kumwangalia kabisa, namiss sana lile jicho la kwenye Uko Wapi!

She will never be the same.
 
tumuombee arudi kwa nguvu zote....kwa kweli nimemis tone za huyu dada......lady jay dee anitendei haki kivileeee....hawa kina Linah ndo hamna kabisa....make up na mawig tuu
Mkuu nadiriki kusema tokea ameondoka kwenye industry ya music wa bongo tunaoujua muziki mzuri tumekosa vingi sana.
Hii sauti hakuna mwanadada yeyote bongo hii mwenye nayo.

Mimi tayari naomba sana,sana aweze kurejea tuburudike.

Nimempigania huyu dada kiasi ambacho siwezi kukisema hapa,basi tu.
Namshukuru Mungu mambo yanaendelea kuwa mazuri sasa.
 
mimi nawapenda wote wanakubaliana sio kama wasanii wengine wakifanana...

halafu wanasauti za mahaba...
afanye na ya mwali kigego
 
Mkuu nadiriki kusema tokea ameondoka kwenye industry ya music wa bongo tunaoujua muziki mzuri tumekosa vingi sana.
Hii sauti hakuna mwanadada yeyote bongo hii mwenye nayo.

Mimi tayari naomba sana,sana aweze kurejea tuburudike.

Nimempigania huyu dada kiasi ambacho siwezi kukisema hapa,basi tu.
Namshukuru Mungu mambo yanaendelea kuwa mazuri sasa.
okey mkuu MUNGU akupe nguvu uendelee kumpigania sisi wengine tunatia DUA.....kama una mawasiliano nae muambie tumemmis sana na aka ka cover kime tu salivate sana......tunasubir udambwidambwi
 
Tatizo ni haya madawa yalimpoteza huyu dada. .."upo wapi nikufuate niambie nipajue...angalau nikuone roho yangu itulie..!!" Nampenda sana Ray C mungu amsimamie
 
Ray C alibamba sana enzi zake. Nakumbu kipindi hiyo California Dreamers aliingia Club ana msululu wa mabaunsa na Dj alipiga nyimbo zake full albam na watu no complain. Lakini siku hizi anapiga debe mitaa ya Komakoma. Dah vijana jiepusheni na Cocaine na Heroine hii ni mifano hai.
 
Dah huyu bibie hatari sana, ningekuw na pesa ningemrudisha kwenye chart...saut hyo daah
Sauti hatariiiiiiiii,mimi pale anapopanda [emoji444] uuuuuuhhhh baibyyyyyyyy[emoji444]
Nadataaaaaa

Tumpe sapoti mkuu.
 
Back
Top Bottom