Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homaJana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homaJana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
Si ajabu huu upepo kuna chanjo ya corona humo ndiyo maana watu wanaugua vifua. Mabeberu wabaya sana 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄Huu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homa
Mabeberu sio watu nasikia wamechukua joto letu wamehamishia kwao thus dar haijawahi kuwa na baridi kama mafinga siku hiziHuu upepo huenda umetoka kwa mabeberu, watu wameugua sana vifua na homa
🤣Mabeberu sio watu nasikia wamechukua joto letu wamehamishia kwao thus dar haijawahi kuwa na baridi kama mafinga siku hizi
Utafiti mdogo niliofanya kila ukiwapigia simu jamaa, marafiki, ndugu na wengineo waliopo ukanda wa pwani wanaongea sauti za kimafuamafua wanakuambia tuko vitandaniHata dar hali si shwali
mwendazake anarudi!.....