UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
Nawasalimu wanaCC!
Kwa niaba ya wanamapinduzi wote napenda kuwasilisha taarifa hii ya kikao kilichofanyika juzi na jana usiku na mchana!
Kwa muda sasa wanacc mmekuwa mkishuhudia vurumai mbalimbali za kupindua uongozi mzima wa CC, lakini baada ya kundi zima la wanamapinduzi kukutana na wazee wa busara, wazee wenye hekima tumekubaliana kwa sauti moja kuwapa uongozi wa sasa muda kidogo wa kujirekebisha na kuwa smart and sharp kulinda na kutetea maslahi ya wanacc!
Wakienda tofauti na matarajio yetu sisi wanamapinduzi na wale wazee wa busara, adhabu yao itakuwa si tu kutengua uongozi wao bali pia kulipa fidia ya muda wote waliokaa madarakani na wakashindwa ku-deliver!
Ahsanteni sana wanacc!
Wenu,
-=-=-=-=-= UNDENIABLE.

Last edited by a moderator: