Upepo wa Mgunda ndani ya Simba S.C

Watu wanawekeza ndani ya uwanja nyie mnawekeza majungu na propaganda al hilal wanawasubiri wawapige kama ngoma mlichobakisha kwa sasa ni hivi:–

Simba wanapuliza dawa vyumbani
Mkipewa maji na simba msinywe
Half time msiingie vyumbani
Simba wanashinda kwa uchawi na kuhonga marefa
Simba mbovu yanga tunajipigia tu msimu wa nne huu
Sisi yanga ni unbeaten kimataifa.
 
Mkuu mabeki wa pembeni wenye sifa hizo wanapatikana kweli ?
Je, wanapatikana katika bajeti ambayo Simba anaweza kuimudu ?
Kanuni ya ukomo wa wachezaji wazawa haitubani hapo ?

Umesema full back Mwenye uwezo wa kupanda na kushuka, bila kuchoka, kwa dakika zote tisini.
Imagine:
1. Kupanda na kushuka
2. Bila kuchoka
3. Dakika zote tisini

Labda Joao Cancelo (Man City) Alfonso Davies (Bayern Munich) na Achraf Hakimi (PSG) angalau wanaweza kufikia hivyo vigezo.

Hapo hata Trent (Liverpool) hatoboi.
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]

Hakuna kujisahau. Kipindi Galaxy anaitoa SSC , kumbuke ni kipindi ambacho Mo alitoka kuibomoa SSC .... alimuuza chama bila ya kuwa na mbadala sahihi, akamuuza Mikison bila ya kuwa na mbadala sahih , hatukuwa na wafungaji wa maana , bocco mugalu na Kagere Wote walikuwa wamechoka

Hata Tarehe 23 Tunawafunga
 
hivi kwa akili zako za kawaida,kuna beki namba 3 yupi anayeweza kucheza vizuri zaidi ya Mohamed Hussein??unatumia akili za kichwani kuandika au za makalioni??

Wisdom has been chasing you , but you have always been faster
 

Kwahiyo wewe huon uchochoro wake
 

Unakumbuka hata Aziz k alimsumbua sana Muhammad Husayn
 
Hakuna beki wa namna hiyo duniani.Labda sayari zingine!!
 
Hakuna beki wa namna hiyo duniani.Labda sayari zingine!!

Shukran Kwan anacheza bure? Si analipwa? Na ile ndio kazi yake inamuweke mjini hahitaji shukran yoyote
 
Tatizo la africa hatupendani. Wanasema ah tukimpa atatamba na kututombeaaa dada zetu🤣🤣🤣🤣🤣

Waafrica in general bado tuna kasumba ya kuajiri wazungu kwenye hii sector ya coaching. Wee ivory coast wamemnyima kazi kolo toure ukizingatia jamaa ana qualifications zote za coaching. Wanaenda kuleta kibabu wa kizungu.

Bennie mcarthy hawakumpa national team job wameenda kumpa kibabu wa miaka 70. Wakati sasa nasikia yupo kwenye bench la man utd. Africa tuna ujinga mwingi.

Mmiliki pekee mwenye akili africa ni motsepe. Alisema kiwa anataka kushinda champions league na kocha mzawa na akafanikisha. Alipata mosimane akampa muda lakini pia alimlipa vizuri, the highest paid coach in the psl. We all know wat has become of mosimane. Wamiliki wa namna hii ndio tunahitaji africa. Ata sasa bench la sundows ni wazawa.

Nakubaliana na wewe mgunda apewe timu moja kwa moja hamna haja ya kutafuta kocha mwengine. Wacha apige kazi na wamlipe vizuri tuu kama kocha wa kigeni wanamlipa $12000, basi nae wampe hiyo hiyo maana uzuri hiyo hela itatumika hapa nchini. Sio mnawapa watu hela wanaenda kutumia kwao huko huku wakituachia majonzi.
 
Huyu ni shabiki njaa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…