Upepo wa Mgunda ndani ya Simba S.C

Upepo wa Mgunda ndani ya Simba S.C

Watu wanawekeza ndani ya uwanja nyie mnawekeza majungu na propaganda al hilal wanawasubiri wawapige kama ngoma mlichobakisha kwa sasa ni hivi:–

Simba wanapuliza dawa vyumbani
Mkipewa maji na simba msinywe
Half time msiingie vyumbani
Simba wanashinda kwa uchawi na kuhonga marefa
Simba mbovu yanga tunajipigia tu msimu wa nne huu
Sisi yanga ni unbeaten kimataifa.
 
Hili jambo nimekuwa nikiliongea muda mrefu sasa kuwa simba inahitaji fullbacks kushoto na kulia wa viwango vya kimataifa. Tunavyozidi kusonga mbele ndio tutazidi kukutana na wapinzani wakali zaidi ambao wanashambulia kisawasawa kupitia pembeni. Tshabalala na Mwenda sio wachezaji wa kuwaamini sana hasa tunapokutana na wapinzani wanaopenda kupitia pembeni. Fullback ni lazima awe na uwezo wa kupanda na kushuka bila ya kuchoka ktk dk zote 90 kitu ambacho sikioni kwa tshabalala na mwenda au kapombe
Mkuu mabeki wa pembeni wenye sifa hizo wanapatikana kweli ?
Je, wanapatikana katika bajeti ambayo Simba anaweza kuimudu ?
Kanuni ya ukomo wa wachezaji wazawa haitubani hapo ?

Umesema full back Mwenye uwezo wa kupanda na kushuka, bila kuchoka, kwa dakika zote tisini.
Imagine:
1. Kupanda na kushuka
2. Bila kuchoka
3. Dakika zote tisini

Labda Joao Cancelo (Man City) Alfonso Davies (Bayern Munich) na Achraf Hakimi (PSG) angalau wanaweza kufikia hivyo vigezo.

Hapo hata Trent (Liverpool) hatoboi.
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]

Hakuna kujisahau. Kipindi Galaxy anaitoa SSC , kumbuke ni kipindi ambacho Mo alitoka kuibomoa SSC .... alimuuza chama bila ya kuwa na mbadala sahihi, akamuuza Mikison bila ya kuwa na mbadala sahih , hatukuwa na wafungaji wa maana , bocco mugalu na Kagere Wote walikuwa wamechoka

Hata Tarehe 23 Tunawafunga
 
hivi kwa akili zako za kawaida,kuna beki namba 3 yupi anayeweza kucheza vizuri zaidi ya Mohamed Hussein??unatumia akili za kichwani kuandika au za makalioni??

Wisdom has been chasing you , but you have always been faster
 
Nashangaaa hakuna left back wa kumuweka bench Zimbwe Jr. Upande wake yule Okrah alikuwa hakabi Sasa inakuwaje mtu anasema amekuwa uchochoro?
Hata Upande wa Israel Mwenda angecheza Sakho ambaye hajui kukaba Israel nae angechoma tu. Kibu Dennis anakaba sana na Ndio maana mashambulizi yalikuwa hayapiti Upande wa kulia.

Kwahiyo wewe huon uchochoro wake
 
Hili jambo nimekuwa nikiliongea muda mrefu sasa kuwa simba inahitaji fullbacks kushoto na kulia wa viwango vya kimataifa. Tunavyozidi kusonga mbele ndio tutazidi kukutana na wapinzani wakali zaidi ambao wanashambulia kisawasawa kupitia pembeni. Tshabalala na Mwenda sio wachezaji wa kuwaamini sana hasa tunapokutana na wapinzani wanaopenda kupitia pembeni. Fullback ni lazima awe na uwezo wa kupanda na kushuka bila ya kuchoka ktk dk zote 90 kitu ambacho sikioni kwa tshabalala na mwenda au kapombe

Unakumbuka hata Aziz k alimsumbua sana Muhammad Husayn
 
Mkuu mabeki wa pembeni wenye sifa hizo wanapatikana kweli ?
Je, wanapatikana katika bajeti ambayo Simba anaweza kuimudu ?
Kanuni ya ukomo wa wachezaji wazawa haitubani hapo ?

Umesema full back Mwenye uwezo wa kupanda na kushuka, bila kuchoka, kwa dakika zote tisini.
Imagine:
1. Kupanda na kushuka
2. Bila kuchoka
3. Dakika zote tisini

Labda Joao Cancelo (Man City) Alfonso Davies (Bayern Munich) na Achraf Hakimi (PSG) angalau wanaweza kufikia hivyo vigezo.

Hapo hata Trent (Liverpool) hatoboi.
Hakuna beki wa namna hiyo duniani.Labda sayari zingine!!
 
Hakuna beki wa namna hiyo duniani.Labda sayari zingine!!

Shukran Kwan anacheza bure? Si analipwa? Na ile ndio kazi yake inamuweke mjini hahitaji shukran yoyote
 
Watanzania tuna uwezo ila changamoto kubwa inayotukabili ni kukosa kujiamini, utulivu wa akili, na kutambua thamani yetu.

Kila kitu kizuri ni lazima kitoke nje. Wakati nipo kwenye shirika moja la kiserikali nchini Tanzania kabla sijahamishiwa Nairobi, tulikuwa na mshauri wa nje mmoja Mzungu ambaye alipiga mpunga mrefu, na kazi aliyoifanya yaani tulijiuliza wenyewe hivi hii kitu uongozi ulishindwa kutuamini sisi na kutupa hizi hela?

Tanzania ni jamii ya watu wa hovyo wenye utumwa wa kifikra mkubwa sana kuanzia ngazi za juu.

Mzungu wa Simba amekuja na aliivuruga SSC na kusababisha sintofaham kubwa na hakuwahi kuleta matokeo na mpunga mrefu alikuwa anaupiga kweli kweli. Tatizo ni rangi au ni nini?

Imani yangu inaniambia kuna uwezekano mkubwa wa kuwa kweli kwamba kocha anayetokea Tanzania kuifundisha SSC au Yanga wana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwa sababu mbalimbali, mfano;

lugha, ambayo itamsaidia kujua asili ya mpira wa Tanzania na Africa, kusoma tu maoni ya mashabiki inakupa taswira.

Naiona safari ya mgunda kimataifa, hata hawa kina Ibenge walianzia huko huko, Juma hiyo ndiyo njia yako ya kwenda, usiache, engeneza njia yako mwenyewe.

Simba na Yanga tunawashauri mnapotaka kuajiri makocha anzeni kwanza na ndani, mkikosa ndiyo muende nje ya Tanzania.

Wataalam wa ndani wapo, sema mnawachukulia poa na inawagharimu. Toeni hata mkataba wa mwaka mmoja mmoja kuwapima, acheneni na mambo ya uzoefu, historia, na rangi nyeupe, zingatis kwenye maudhui.

Mnafeli, na kuleta watu wasiojua lunga ya ndani wala kimataifa, matokeo yake yale mazungumzo ya moja kwa moja kati wachezaji na kocha na jamii haipo. Kocha hawezi hata kusoma maoni ya mashabiki, anachokitumia ni kile kilicho kwenye akili yake, basi.

Ndani tuna watu, wakuzeni na mtafanikiwa.

Ushauri kwa Mgunda
1. Kibu awe na mbadala wake, Kibu bize sana uwanjani lakini hana madhara wala usahihi, huyu awe anaingia kama anavyoingia sako ambaye ni self centered.

2. Tunampa heshima kubwa Mohammed Hussein, lakini kwa sasa ni kama kichwa chake kimecheza, amekuwa ni uchochoro sana, atafutiwe msaidizi ni muhimu vinginevyo atawagharimu.

3. Kwa sasa kuwa kama meneja, kuwa meneja ni kanuni, ujuzi, uvaaji na kujiamini, kula hivyo.

4. Kuna vikozi vya Management Kkills, pita navyo. Yaani kwa sasa wewe ni wakimataifa, ishi kama chombochombo cha kimataifa.

Kila la heri, hii SSC naiona nusu fainali. Hakika chini ya Mtanzania Juma Mgunda kwa mara ya kwanza kwenye historia. Hata Oscar Oscar baba Mzungu analijua hilo.

GGM , go go Mgunda!
Tatizo la africa hatupendani. Wanasema ah tukimpa atatamba na kututombeaaa dada zetu🤣🤣🤣🤣🤣

Waafrica in general bado tuna kasumba ya kuajiri wazungu kwenye hii sector ya coaching. Wee ivory coast wamemnyima kazi kolo toure ukizingatia jamaa ana qualifications zote za coaching. Wanaenda kuleta kibabu wa kizungu.

Bennie mcarthy hawakumpa national team job wameenda kumpa kibabu wa miaka 70. Wakati sasa nasikia yupo kwenye bench la man utd. Africa tuna ujinga mwingi.

Mmiliki pekee mwenye akili africa ni motsepe. Alisema kiwa anataka kushinda champions league na kocha mzawa na akafanikisha. Alipata mosimane akampa muda lakini pia alimlipa vizuri, the highest paid coach in the psl. We all know wat has become of mosimane. Wamiliki wa namna hii ndio tunahitaji africa. Ata sasa bench la sundows ni wazawa.

Nakubaliana na wewe mgunda apewe timu moja kwa moja hamna haja ya kutafuta kocha mwengine. Wacha apige kazi na wamlipe vizuri tuu kama kocha wa kigeni wanamlipa $12000, basi nae wampe hiyo hiyo maana uzuri hiyo hela itatumika hapa nchini. Sio mnawapa watu hela wanaenda kutumia kwao huko huku wakituachia majonzi.
 
Mkuu mabeki wa pembeni wenye sifa hizo wanapatikana kweli ?
Je, wanapatikana katika bajeti ambayo Simba anaweza kuimudu ?
Kanuni ya ukomo wa wachezaji wazawa haitubani hapo ?

Umesema full back Mwenye uwezo wa kupanda na kushuka, bila kuchoka, kwa dakika zote tisini.
Imagine:
1. Kupanda na kushuka
2. Bila kuchoka
3. Dakika zote tisini

Labda Joao Cancelo (Man City) Alfonso Davies (Bayern Munich) na Achraf Hakimi (PSG) angalau wanaweza kufikia hivyo vigezo.

Hapo hata Trent (Liverpool) hatoboi.
Huyu ni shabiki njaa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom