GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa Yanga SC Beki Gift Fred ameitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes)
Taarifa Kamili kutoka Chanzo Mama (Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda) imethibitisha kuwa Mchezaji Gift Fred ambaye Yanga SC walikuwa Wakitangaza Kuitwa Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) hajaitwa.
Yaani Mchezaji keshawasoma Viongozi wake walivyo Mabwege Mabwege na Wasiojielewa akaona kwakuwa Kamisi Chakula chao cha Kiganda cha Matoke, Binyebwa na Ebinjanjaru (Ndizi, Maharage na Karanga) akaona awadanganye Kaitwa Kikosi cha Uganda Cranes ili aondoke kirahisi na Mizuzu bila hata ya Kujiridhisha ikamruhusu.
Wewe Kiongozi hajui Kuvaa Kutwa tu anavalia Jeans zilizochanika huku Msemaji akiwa anabana tu Pua akiwa anaongea unategemea kuna la maana hapo?
Na huu Upuuzi wote wa Kudanganya ni ili tu Kuonyesha na Kuwaringishia Wapinzani kuwa Klabu yao ndiyo imeongoza kutoa Wachezaji wengi katika Vikosi vyao vya Timu zao za Taifa wanazotoka.
Yaani mmeumbuka patamu sana tu.