nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Kimsingi ulichoongea ni halisi Ila Ni kinyume chake. Kila mwanadamu anapozaliwa anapewa free ticket ya kuingia mbinguni, shetani anaihitaji hiyo ticket, ndio sababu utasikia ukitaka kuwa tajiri lala na mzazi wako, ua mwanao, kufuru Mungu n.k
Maana yake utengeneze MAZINGIRA ya kutosamehewa na Mungu ( kumbuka sio kila dhambi ya kusudi Mungu anasamehe),hio ticket inaitwa UZIMA WA MILELE, ili mtu awe mchawi, mganga , tajiri wa mashetani sharti kubwa ni kuuza UZIMA
Hata ukitubu kwa kulia na kujikojolea Mungu hatakusamehe KAMWE