Upgrading from Toyota ist to AUDI A4

ngota wa nzambe

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
121
Reaction score
136
Niaje watalaam wenye jamvi lenu? Kama mnavyokumbuka, nilipata ajali na ka baby walker kangu wiki kadhaa zilizopita, basi nimepata mtu nikamsukumia kama kalivyo kwa bei ya hasara, sasa nimeongezea ongezea, nataka nirudi barabarani soon, ila safari hii nataka nisogee juu kidogo, na mtima wangu ukavutika moja kwa moja, kwa German machine fulani, na sio nyingine ni Audi A4, sasa watalaam mniambie, vipi nitamudu kulihudumia hili au nitasafoccate? Kipato changu constant ni almost 1.8M monthly, japo sometimes naweza kuzidi kidogo! Karibuni jamani
 
Sidhani kama utaweza maana unaonekana una 'kipato reasonable" ila tatizo lipo kwenye "MENTALITY"....

Kwanza, Achana na "Mentality za Kitoyota"

Then kwa kipato hicho, go for the 'executive saloons' na sio izo 'compact'.

Ila kama unataka "compact saloon" binafsi narecommend "BMW 3 SERIES F30"

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Chukua huo ushauri wa Stanley, utamkumbuka!
 
Shukrani sana mkuu kwa ushauri, nitaufanyia kazi
 
Mkuu, isije kuwa na wewe una "Unjustified fear" tu ya haya magari! Ngoja tuwasubiri wanao yamiliki watupatie uzoefu!
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064] Mmh
 
Kwann usibakie toyota mbona nzuri tu na maintanance zake ni cheap.

Haya magari ya ajabu mtuachie ma'Car enthusiasts ambao hatuogopi kuexperiment. Gari inakutia hasara unakomaa nalo hadi unaelewa namna ya kudeal nalo na linatulia.
 
Anatakiwa awe na kipato gani mkuu?
 
Anatakiwa awe na kipato gani mkuu?
Soma vizuri hapo.

Nimemaanisha jamaa ana kipato reasonable yaani kinatosha kumiliki na kuhudumia ilo gari ila tatizo lake ni 'Mentality' bado anaonekana ana mentality za kitoyota toyota so aanze kubadilisha mentality yake kwanza.



Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hizi ndo "Mentality za Kitoyota Toyota" ninazoziongelea sasa.

Mtu kama huyu hajui hata Settings za BMW/Benz zikoje lakini ndo kwanza eti anatoa ushauri. Gari hujawai hata kupanda let alone kumiliki unaongea shuzi kama hizi.

Ndio maana wasumbufu mkiwa barabarani wakati mnaelekea kucheza Golf

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
🤥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…