ngota wa nzambe
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 121
- 136
Niaje watalaam wenye jamvi lenu? Kama mnavyokumbuka, nilipata ajali na ka baby walker kangu wiki kadhaa zilizopita, basi nimepata mtu nikamsukumia kama kalivyo kwa bei ya hasara, sasa nimeongezea ongezea, nataka nirudi barabarani soon, ila safari hii nataka nisogee juu kidogo, na mtima wangu ukavutika moja kwa moja, kwa German machine fulani, na sio nyingine ni Audi A4, sasa watalaam mniambie, vipi nitamudu kulihudumia hili au nitasafoccate? Kipato changu constant ni almost 1.8M monthly, japo sometimes naweza kuzidi kidogo! Karibuni jamani