Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 151
- 318
- Thread starter
-
- #61
mada nyingi za dini zinaanzishwa kama open discussion ila intrisically lengo la watoa mada si kujifunza bali kubeza imani moja na kuitweza nyingineUngetoa Mifano ya Chuki Unayoipinga Tukaona Kama Mod Wana kazi ya Kufanya Au Laah
Kimsingi ukioma anabeza wwe Endelea Kumuelewesha Kwa Upole na Kwa taratibh hata akikutukana...mada nyingi za dini zinaanzishwa kama open discussion ila intrisically lengo la watoa mada si kujifunza bali kubeza imani moja na kuitweza nyingine
Nakubaliana na wewe ila tujue heshima, upole au upendo ni two way street tusitegemee anaetumia nguvu kubwa kumkebehi mwingine kila siku atakutana na mtu mwenye hekima na upendo ikiwa yeye mwenyewe hajaonyesha hekima katika maandiko yake na hata yule mwenye hekima nae siku atashindwa kujishikiliaKimsingi ukioma anabeza wwe Endelea Kumuelewesha Kwa Upole na Kwa taratibh hata akikutukana...
Usijivune kwake wala Kumuwekea Karaha ilinwote Muende sawa..
Kumbuka Upendo ulioelezewa kwenye avjtabu vya dini yako utafaulu
Kobaz mbona mashaka na mtu hata mtoto wa mama kama wewe mguu wako ukipitishwa inakubali any way nasubiri kuona povuSema sitak kuongea tena kuhusu dini jana niliongea kitu hapa wavaa kobasi wakaniripot
Hata ukisoma kitabu chako cha dini vizuri pia kinachochea chuki dhidi ya imani nyingne 🤔
Nadhan hizi aya ili uzitafsiri vizuri ni lazima utafute ilipoanzia kupata context nzima ni kama vile hotuba ukiikata kipande inaweza ku mislead watuMk 12:30 - 31
Nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.
Quran 2:191
2:191 And kill them wherever you find them and expel them from wherever they have expelled you, and fitnah [Persecution] is worse than killing. And do not fight them at al-Masjid al- Haram until they fight you there. But if they fight you, then kill them. Such is the recompense of the disbelievers.
Compare the two.
Mimi sio mvaa kobaz mkuuKobaz mbona mashaka na mtu hata mtoto wa mama kama wewe mguu wako ukipitishwa inakubali any way nasubiri kuona povu
Kutoka 34-12- 16Mk 12:30 - 31
Nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.
Quran 2:191
2:191 And kill them wherever you find them and expel them from wherever they have expelled you, and fitnah [Persecution] is worse than killing. And do not fight them at al-Masjid al- Haram until they fight you there. But if they fight you, then kill them. Such is the recompense of the disbelievers.
Compare the two.
Kwamba nikasome kutoka 34, kutoka 12 na kutoka 16 yote?Kutoka 34-12- 16