ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na worldwide linafahamika kama Lake MalawiWatu wa Malawi wanaita Lake Malawi na wabongo wanaita Nyasa
Lakini ni Tanganyika ndiyo inayomiliki sehemu kubwa ya hilo Ziwa.Na worldwide linafahamika kama Lake Malawi
Hebu nenda kaangalie tena ramani. Malawi ndio inamiliki eneo kubwa kuliko Tz na MozambiqueLakini ni Tanganyika ndiyo inayomiliki sehemu kubwa ya hilo Ziwa.
Bora hata lingeitwa Lake Tanzania.
Kweli?Hebu nenda kaangalie tena ramani. Malawi ndio inamiliki eneo kubwa kuliko Tz na Mozambique
Ilo ziwa ni mpaka wa nchi 3 tu, Tz, Mozambique na Malawi. Malawi ndio kachukua sehemu kubwa, maana upande wa Magharibi wote yupo yeyeKweli?
Ngoja nicheki.
Kwa hiyo hawajatupunja sana siyo? Na sisi tuna Ziwa Tanganyika ingawa halimilikiwi na Watanganyika peke yao.
Upo sahihi mkuu!Ilo ziwa ni mpaka wa nchi 3 tu, Tz, Mozambique na Malawi. Malawi ndio kachukua sehemu kubwa, maana upande wa Magharibi wote yupo yeye