Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Nakupinga mkuu!Huo ni mfano tu aliutumia Plato Atlantis never existed ni uzushi tu "conspiracy"
Unitag ukirudi rasmiNakupinga mkuu!
Hili bara lilikuwepo na IPO SIKU LITARUDI TENA!!!
Okay sitabishana nawee ila at least mkubali kuwa iyo ni imani tu msijaribu kutengeneza facts za kulazimisha kwa kitu ambacho ilikuwa just imagination ya binadamu mwenzako tu babu yetu Plato.Nakupinga mkuu!
Hili bara lilikuwepo na IPO SIKU LITARUDI TENA!!!
Azazil sio malaika ni jiniWale malaika 200 akiwemo kiongozi wao semyaza na azazel mwenyewe walizini vipi na wanadamu kama hawana jinsia?!...NA NI WAPI BIBILIA YENU IMEGUSIA KUUHUSU MALAIKA HAWANA NJINSIA AU WANAZO?!.
Malaika hanajinsia sema majiniVitabu vya historia vinadai ni uzao wa malaika/majini na binadamu..... Ndio yakatokea majitu makubwa yenye nguvu kma gilgamesh hercules n.k
Tunakusubiri mkuu umwage nondoKiongozi nitasema!
Na hata njia niliyopitia(spiritual)
Ngojaaa nipate wasaa mzuri maana najua maswali hayatakosekana+matomaso
Mbona tunaambiwa Maria alipata mimba kwa uweza wa roho mtakatifu?? Je hao malaika wanashindwa vipi kutunga mimba pia au mimba ni mpaka ulale na mwanamke??Malaika hanajinsia sema majini
Ni malaika aliitwa Azaz-El ila aliasi mbingu pamoja na kina zamuzammim na semyaza na wengine 200 hyo ni kuendana na kitabu cha kwanza cha henokoAzazil sio malaika ni jini
Tafuta kitabu kimoja kimoja kinaitwa Aliens visitation and genetic manipulationDuh.... Hii story naipata wapi kwa kirefu?
ok briefly uliona nini?na je hii bermuda ipo?nadhani utatupa uzoefu wako huko kwa faida ya wengiBara LA Atlantis lilikuwepo but lilizama!!
Coz ya mambo ya kiroho
Binafsi nikiwahi kukitembelea but in spiritual!! Aseee kuna mambo meng ya kujifunza also kuhusu haya ma technology yanayotokea hapa dunian!
Wamekopi na kupest kule Atlantis!!
Ulizeni maswali nitawajibu
NB:NITASEMA NILIYOYAONA,(Spiritual travel)
Hiyo ya bermuda ni ishu tofauti, inayojitegemeaok briefly uliona nini?na je hii bermuda ipo?nadhani utatupa uzoefu wako huko kwa faida ya wengi
Haaaahaaaa yule anayetaka kuwa kiongozi wa malaika ama?? πππKama kuna fallen angels basi napata majibu kuwa kuna mmoja tuko naye anataka kurudi majuu!
Duh so biblia na quran ilicopy na kupaste hii hadithi?? Cc mitale na midimu Hammaz Che mittogaAtlantis ni ngano ya kigiriki, paukwa pakawa ambayo kwa sehemu kubwa imechangia mwigo wa hadithi ya Sodoma na Ghomora kuazimwa na Wayahudi, ziko nyingi ngano Za miji na staarabu zilizopotea, lakini katika hizi kuungua na kuzama kwa mji wa Pompeii, ni tukio la kweli la kihistoria ambalo pia ndio chanzo cha simulizi za kiama mwisho wa dunia kama yasemavyo mafundisho ya dini mamboleo zetu: Judaism, Ukiristo na Uislamu
Ila inaaminika ilihusika pia na kutoweka kwa atlantis at some pointHiyo ya bermuda ni ishu tofauti, inayojitegemea
Yesu aliwezaje kuzaliwa bila baba wa kimwili??Hawana grands zinazo chochea homon za sex
bibilia haijaiga popote huko ugiriki.