Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Mkuu swali ulilouliza ni illogical kabisa sorry to say that sababu kama ukihoji weupe walitoka wapi kama wote tukiwa weusi je naye si atakuuliza kama wwe unadhani dunia nzima tulikuwa weupe je sisi weusi tumetoka wapi?? More debate
Nadhani jibu nilishalitoa huko nyuma ya kuwa mungu aliumba mataifa mbali mbali na kila taifa likiwa na lugha yake,tamaduni zake na rangi zao na kila taifa lilitofautiana na jingine kutokana na sifa hizo hapo juu...kwahiyo weusi wa africa ni taifa na weupe nao wana mataifa yao...NO LONGER DEBATE
 
Mkuu kwani is it impossible mtu mweusi kuzaa rangi tofauti kama MUNGU akiamua??
mungu mwenyewe anasema kila kitu kimewekwa katika utaratibu wake...mzunguko wa dunia,jua kuchomoza,uzaliano,tabia nk.....iweje mungu akaweka genetic inheritance halafu taratibu hizo zikakengeuka taratibu hizo..nakumbuka kila kitu kinafuata taratibu hizo automatically........NOTHING CAN REVERSE
 
Mmmh kumbuka hapa shida inakuja baada ya gharika je aliyepona gharika na wale wanaye kina Sam/shem ham na japhet walikuwa race gani sababu lazima walifanana na baba yao hapo ndio swali linakuja rangi zilibadilikaje mfano kama Nuh alikuwa mzungu je weusi walitoka wapi na mfano Nuh alikuwa mweusi je wazungu walitoka wapi?? Still debate itaanzia hapo ndio maana bado nauliza hiyo transition ilitoka wapi maana Mungu aliumba watu wawili tu mwanzoni........ Nuh naye alikuwa race moja je weusi na weupe walianzia wapi

Maana usigeneralise tu kuwa aliumba mataifa sasa mataifa yote yalifutwa akabaki Nuhu je kma alikuwa mzungu ikawaje waafrika tukatokea weusi na wengine waarab wachina etc
 
Kwani hakuna intermarriage?? Hivi unajua at some point haiti ilikuwa nusu wazungu nusu waafrika ila sahivi WOTE ni weusi at least 99%....... Ina maana intermarriage ikatokea kwa waafrika wote kuoana na wazungu race ya NEGRO na CAUCASIAN zikafa rasmi utasema tumepinga genetic plan za Mungu kisa tumeoana sisi kwa sisi??? Au unataka kusema Mungu hataki tuoane na watu wa rangi tofauti??
 
si mataifa yote yalifutwa...WALIANGAMIZWA WATU WA NUHU!!!!!!!!.........WALIANGAMIZWA PIA WATU WA LUT!!!...lakini sio kizazi kizima walikua wakiangamizwa wale waliopatiwa neno juu ya uovu waliokuwa wakiufanya na bado wakakengeuka mafundisho hayo thats means watu wengine waliachwa wakiwa hai....yani ni sawa na kusema hivi wamarekani wanaunga ndoa za jinsia moja na afrika tunalikataa hilo..ikija gharika watafutwa wale ambao walishushiwa mtume ama nabii kwa ajili ya kuwarekebisha na wakakengeuka...kwahiyo nabii angeshushwa kwa marekani na sio dunia nzima...na gharika ingewakuta wale wale waliokengeuka na sio dunia
 
Naona reference zetu ni tofauti mkuu ndio maana hatuelewani.... Mimi naamini kulikuwa na global flood sio mafuriko ya nchi moja tu maana hata major races ziko 3 tu na yaani Caucasians Mongoloids na Negroids ambazo roots zake ni Kwa Shem Ham na Japhet and it makes sense ila tukisema gharika lilikuwa kwa eneo moja tu hapo utanipoteza

However swali langu linakuja kama jamii zingine zilkuwepo lini walitofautishwa mzungu mweusi na msemiti.... Au una maana adam alipozaa walitoka watoto wa rangi tofauti tofauti hivyo je Adam alikuwa rangi gani???

Nataka nijue source ya rangi zilipobadilikia
 
sijajua kwa upande wa iman yako,,,,,ni vipi inavyoelezea watoto wa damu walivyokuwa wakizaliwa?....tunaweza anzia hapo
 
sijajua kwa upande wa iman yako,,,,,ni vipi inavyoelezea watoto wa damu walivyokuwa wakizaliwa?....tunaweza anzia hapo
Mie reference hasa ni biblia haisemi rangi ya Adam ila hata kma wangekuwa watoto wake wama rangi tofauti ila Nuhu na mkewe walikuwa na rangi moja sababu Nuhu alioa mtoto wa baba mkubwa wake na biblia iko wazi hakuchanganya damu na ukoo wa Cain hivyo alichukua rangi ya seth ila baada ya gharika tunaona ndipo kunaanza races tatu za watoto wa Nuhu yaani Ham baba wa Weusi, japhet baba wa wazungu/caucasians na Shem baba wa semites/mongoloids

Hivyo confusion ndio inaanzia hapa kwamba ham au shem walitoa wapi rangi tofauti ilihali baba yao alikuwa na rangi moja..... Yaani kma Nuhu alikuwa mweupe kivp Ham alikuwa mweusi and viceversa

Kwahyo lazima rangi ilikuwa moja na mwingine ilitokea sababu ambayo hatufahamu ndio mjadala unaanzia hapo wa binti hemed kwamba probability ya mweusi kuzaa mweupe ni kubwa mf albino au weupe tu kma wachagga n.k ila ni ngumu mzungu/Caucasian kuzaa BLACK yaani ni kma haiwezekani

Kingine hata fuvu la kwanza likipigiwa hesabu ni la mtu mweusi so lazima wazungu ndio secondary race yaani walikuja tu baada ya GHARIKA ila nature ya mwanadamu wa kwanza inaweza kuwa mweusi kma anavyodai binti hemedi if at all tutaconsider archeology na biblia
 
mpaka kesho kuna wacha Mungu (wana wa Mungu) na wasiomcha/wasioamini kuwa Mungu yupo (wana wa wanadamu) na mara chache watu hawa huzaa aidha kwa kuoana au uzinzi kwanini majitu hayazaliwi like that time?

mimi pia ni mkristo na ninaamini unachoamini pia lkn bado hii sehemu inanipa shida sana maelezo ninayopewa hayajitoshelezi.
 
inshort kwa mujibu wa uislamu watoto wa ADAMU walikuwa wakizaliwa mapacha wakiume asubuhi mapacha wakike jioni na kila pacha ataoana na pacha mwenzie...yani mkubwa wa asubuhi atamuoa mkubwa wa jioni hivy hivy mdg kwa mdg......thats means kizazi kikubwa kilianzia hapa na mataifa mbali mbali yalianza kuzaliwa hapa kabla hata ya gharika ya iliyowakumba watu wa NUHU
 
Mkuu ni kweli wana wa Mungu unaweza kuwaterm kama wanadamu ila ni vizuri tuzifanyie kazi tafsiri halisi za kiebrania sio za biblia ya kiswahili

Neno lililotumika hapo ni Bene/bnei-elohim meaning viumbe wa mbinguni/malaika..... Na pia hata Neno Nephilim/warefai kiebrania linamaanisha uzao wa Roho/pepo hivyo hata kma wana wa Mungu ni wanadamu je hao wanefili/warefai walitokea wapi hadi waitwe UZAO WA ROHO?? Hapo ndipo kunaleta maswali

Kuhusu maelezo kutotosheleza maelezo zaidi yaliandikwa na Henoko or at least kitabu cha Henoko ya 1 2 na 3 pia book of giants vyote hivo vinaongelea kwa upana hadithi hii na cha kushangaza mistari kadhaa ya kitabu hiki inatumika pia kwenye biblia so somehow ni credible source mkuu
 
Kwahiyo rangi ndio zilianzia hapa mkuu?? Je Adam alikuwa rangi gani kiasi aweze kuzaa watu wa rangi tofauti au ni miujiza tu ilitokea
 
ila hapa duniani kuna watu kweli sio wa kawaida we fikiria mtu anakaa chini anawaza kutengeneza lidege likubwa kama lile lililotua JNIA kwa dharula,limebeba watu zaidi ya 300 halafu linapaa hewani bila shida yoyote!!yaani kuna watu hapa duniani sijui vichwani mwao wanawaza nini.. huenda ikawa kweli kama mnavyosema wakuu, kuna siri kubwa sana tunafichwa
 
Sumerian ndo wa kwanza kuandika mkuu
 
Ila humu tunadanganyana ila we acha tuu,jaman ndugu zangu tusijikweze sana alafu embu tuangalie kila tunapojikweza tunakimbilia kwa wakush WA misri,wakuu haya mambo watu wanaujua siri hizi na kwa undani zaidi na wakeleketwa kidg wangekua wa ethiopia,sasa kwann hamjiuliz wao wako kimya ila cc ndo tunajitia ubishi kuwa was developer many years ago,yaa kama tungekuwa mfano tuna akili zisingetoka tungejikontroll wenyewe lakini mbn tuko unga tu kila karne zinaposonga?!!,AF mmisri usimfananishe na mtu Wa mtwara ni tofaut japo kwa sasa nawaona wameingiliana sana na ngz nyeupe so wale Wa kahawia wanatoweka,Dunia ina mengi msikurupuke twendeni mdg mdg nami pia nimekubali kwenda mdg mdg,uwez soma maandiko na kuyachukulia kirahic rahic tu kila mtu huandika kwa alicho kiongezea kiufikir ili hali alikuwa mwandishi bora.
 
Ila mgiriki ndiye anaeongoza kwa maandiko ya kidunia na vingi vimekopiwa huko na pia mkitaka kujua zaidi msikimbilie kituoni pale misri rudini nyuma huko kwa kina nimrod Iraq kule ndo kila kitu unapata,sema tatizo linakuja kwny waamin bible akichambua ya kule ataona kama anapakwa tope usoni ila ndivyo ilivyo.
 
Ila Nimrod alikuwa black mkuu sababu ndio mtoto wa CUSH founder of kingdom of KUSH/ ethiopia..... So tunarudi kulekule ikimaanisha ancient sumerians were semitic-speaking negroids akiwemo Nimrod ama Enmekar kwa kisumeria
 
Hapana muafrika anayejikweza ila huo ndio ukweli hta misri wanafaham wao ni wababa wa civilization na wamisri wa kale walikuwa purely blacks wakitokea kwa mizraim mwana wa HAM na hta historical paintings za misri zinaconfrim kuwa walikuwa watu weusi kabisa ila hao waarab wamekuja baadae sana so binti hemed hajajikweza ila anaongea uhalisia

Hata ethiopia na misri kwa wakristo wao ndio wa kwanza kuwa kuwa na makanisa hasa egypt kanisa la coptic limekuwepo miaka na miaka hta kabla wazungu hawajawa na makanisa na hta ethiopia ndio wana biblia ya kwanza kabisa duniani ya kanisa la Tawahedo-orthdox miaka mingi hta kabla wazungu hawajaja na biblia ya kilatin.... Hivyo unaweza ona role ya watu weusi kwenye civilization

Na hata ukisema turudi nyuma sana kwa kina gilgamesh/Nimrod ambao ndio waasisi wa sumeria kwa ushahidi wa kimaandiko na kihistoria ni watu weusi walioongea semitic language...... ndio utaona walibuni maandishi,vifaa vingi vya ujenzi,mashine ndogondogo,silaha n.k nyingi sana na kihistoria ni uzao wa CUSH aliyekuwa muasisi wa ufalme wa kush uliotawala kuanzia uarabuni mpaka sudan hadi somalia mpka afrika mashariki

Hyo ndio fact mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…