Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Ubarikiwe great thinker maana nondo zako humu zinanipa pride sana ya kuwa muafrika at least tunapojua kwamba we were something huko nyuma kabla ya wazungu kutuvurugia historia yetu hii inanipa tumaini kuwa huko mbeleni tutarudi na nguvu zaidi na kuwa Afrika yenye nguvu kma enzi za kingdom of KUSH, khemet yenye mapharao weusi kina thutmose III au Mali kingdom ya kina Musa I .....

Mungu ibariki Afrika
 
Ninyi mnakwama sana tulieni kwenye uchunguzi wenu,black people wapo kama kawaida white pia wapo toka huu ulimwengu uwepo...

Inachotakiwa hapa ni tukubaliane hakuna upotevu wala uonevu na utokomezwaji wa ustaarabu wa mtu mweusi,isipokuwa cc human being tuna matabaka tupo colour tofaut tofaut,but white people $ kush ndiyo waliosambaza zaid ustaarabu kwny dunia hii iliyo past,na all vinatoka future i mean repeat...ntashangaa nyenzo za marudio ziweze vp kutuumiza vichwa...

KUNA MAISHA YAMETANGULIA NA YAPO,inawezekana milion ya hatua za maisha ayo kwetu ikawa hata sumni hatujafikia...so tunapohitaji kufanya utafit wa maisha yetu kama wanadamu tusishike moja tulilolikuta kila mwanadamu ana ruksa ya kujiongoza na uwezo huo kila mmoja wetu anao...sasa kama tutakuwa na ya kushikilia tuliyoyakuta mabangoni hatutaelewa chochote....past world like movie project,inaweza kuwa evrthng linapangwa kwa kila sekunde ya muda....

Nakuja kiihivi me pia nimesaka sana asili ya hii ngoz yangu nyeuc nimeishia pacpo na jibu hiz ngoz zipo na nyeupe zilikuwako tu,na swala la ustaarabu hasa hasa watu weupe ndiyo waanzilishi na ni halina ubishi...kwann tunaforce kuwa cc weuc zama izo tulikuwa wenye uwezo wa juu ktk kila jambo na kudai cjui mitume na manabii walikua black,but mbn tuko empty sana kwa kila kitu hatuna ubunifu wowote tupo tupo tu...

HEBU TUACHE WENYE UTASHI WAO TUSIWEZE WAHUKUMU KUWA WALITUDUMAZA KWA JAMBO FULANI AMA KUTUPOKONYA UJUZJ FULANI...

mbona wakhemet walifunzwa ujuz na kila kitu mpka ustaarabu na watu hao hao weupe....


TUNAPOJICHUNGUZA TUSISHIKE MOJA SHIKA MAWILI...kwanza jitambue ww ndo kila kitu...you are evrythng nkiwa na maana hakuna kinachokuongoza zaid ya ww,

Dhana zenu hizo za makabrasha ya uongo zinawapoteza...ndomana kuna kipindi japan waliingiliwa na mtu aliejimix kutoka future time pale airport wakabaki vinywa waz...DUNIA NI PUZZLE moja mbaya na hatari.
 
Kakuvurugia kivipi ww embu kafanye reserch upya khemet wenyewe waliletewa uo ustaarabu after 4000 years ndo ukafika apo miaka buku nne mchezo af ndo na kina ramses wanapata ustaarabu toka iraq(summerian) tujiongeze apo na ndo uamini mweupe ni mweupe tu.
 
Mkuu sumeria si nlishasema toka mwanzo ilikuwa ya watu weusi maana baada ya gharika la sumeria mfalme wao wa kwanza mwenye nguvu alikuwa Enmekar au amraphel aliyejenga ufalme mkubwa zaidi na ukafika ulipofika kupata hizi sifa na ndio historically ni nimrod sababu wanamifanano yote kihistoria,matukio na wakati ila lugha yao ndio ilikuwa na roots za semitic but walikuwa negroids sio weupe nmeshasoma vitabu zaidi ya 10 nmejiridhisha nachosema kuwa Enmekar ndie nimrod na wote tunafaham enmekar alirithi ufalme wa baba yake i.e KUSH mwenyewe na mkewe semiramis huko mesopotamia

Mtoto akawa nimrod ndio akaendeleza utawala wa watu weusi huko sumeria kwa miaka mingi baadaye hadi alipokuja kuzidiwa kete na mfalme neoldaechlomer na baadae sumeria ya kale ikafa huko mesopotamia na jamii ya watu weusi ikavuka bahari kuja afrika kupitia red sea....na wakasettle huko sudan ya sasa ambayo by then iliitwa kingdom of kush that's if at all wote tunaamini kuwa post flood world cradle ya civilization ilianzia middle east at least kwa reference zilizopo

Hivyo narudia tena kwa mara nyingine sumeria empire ilikuwa ya watu weusi mwanzoni kabla ya kuvamiwa na neoldaechlomer(spellings zina shaka) iliyosababisha amraphel kufurumushwa na watu wake kusambaa afrika na mashariki ya kati

Ntasaka hivo vitabu vyote nilivyosoma niviweke hapa vina facts kuanzia za writing mpka michoro kuthibitisha hayo kwa sasa niishie hapa
 
Kaka sio kweli black hawakuwako huko.
 
Ata ukitizama mchoro wa kuta ambao ulikuwa mfano wa nimrod akuna blak people walio na mipua mirefu na nywele zenye kujiviriga vile.
 
Kaka sio kweli black hawakuwako huko.
mkuu haya mambo ni utafiti unatakiwa usome sana sources kama 10 au 20 ndio uje na conclusion mie nmesoma article na vitabu vya kutosha mpaka biblia na midrash n.k nakusanya dots ndio nikaja na conclusion

CUSH ndie KISH...... Na ukumbuke baada ya nimrod kuchomolewa na utawala wa semites lazima walichora paintings za baadae kulingana na muonekano wao semites sio negroes waliopita ila ukisoma sources nyingi utagundua baada ya gharika la sumeria dunia nzima ilianza maisha upya wakiwa mashariki ya kati kma ambavyo vitabu vya dini hizi kubwa zinakubali

Kwahiyo at some point population ya dunia ilikuwa situated mashariki ya kati baada ya hapo ndipo wakatawanyika......ndio najengea hoja kuwa wakati ule ndipo utawala wa KISH/CUSH ulipoanzia mesopotamia na zunguka kote meaning of CUSH is BLACK na ndio mpka leo lilipokuwa uzao wa CUSH wote ni blacks na ni hamitic race kabisa..... Na ukitafiti utagundua Nimrod na uzao wake uliyotawala kuanzia Eridu/Akkad na Uruk walikuwa hamitic ingawa waliongea a mixed language perhaps sababu ya wakazi waliowakuta na kuwatawala na ukitaka kujua hili ufalme ulipogeuzwa kuwa Akkad empire ndio ukawa First semitic speaking empire in the world!!! Meaning before that haikuwa ya semitic people(weupe/waarab)

Ndio baadae nimrod akapigwa akanyanganywa ufalme ila aliendelea kutawala baadhi ya miji yye na hata vitukuu vyake waliendelea kutawala maeneo muhimu ya Mesopotamia/Sumerian empire na huko mbeleni hao weusi walikuja kutolewa na akkadian empire na other near east empires na waliobaki wakawa absorbed kwa hao semites

Nachosema ni nini sikatai uwepo wa semites/waarabu kwenye sumerian empire ila nachosema ni kwamba ufalme wa kwanza wa sumeria baada ya gharika la sumeria ulianzia KISH ambapo by then ulikaliwa na weusi hivyo ancient sumerians were blacks na utawala wa weupe umeanza possibly wakati wa sargon of akkad ndio maana lugha ikawa purely semitic kwa mara ya kwanza
 
Ata ukitizama mchoro wa kuta ambao ulikuwa mfano wa nimrod akuna blak people walio na mipua mirefu na nywele zenye kujiviriga vile.View attachment 796267
Bado inawezekana akawa mtu mweusi..... Unawakumbuka ancient nubians au hta ethiopians wa sasa/somalia unafkiri hawana nywele kama za kiarabu tu zikawa ndefu na ukazikunja??? Napoongelea blacks usipate picha ya mpoki au baraka da prince no pata picha ya ethiopians au nubians waliokuwa na rangi ya maji ya kunde kabisa kama ya Mhe bashe hivi na nywele kma za kiarabu hao ndio ancient HAMITES hawa weusi typical ama wabantu hawakutoka kwa CUSH bali kwa Put ila hao CUSHITES mpaka leo hawafanani kivile na sisi wabantu ukitaka angalia eritrea djibouti Somalia na ethiopia walivyo alafu linganisha na wasenegali utaoma tofauti kubwa ya muonekano ilihali wote ni blacks/negroids/hamites
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…