Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe great thinker maana nondo zako humu zinanipa pride sana ya kuwa muafrika at least tunapojua kwamba we were something huko nyuma kabla ya wazungu kutuvurugia historia yetu hii inanipa tumaini kuwa huko mbeleni tutarudi na nguvu zaidi na kuwa Afrika yenye nguvu kma enzi za kingdom of KUSH, khemet yenye mapharao weusi kina thutmose III au Mali kingdom ya kina Musa I .....Asanteni
Kakuvurugia kivipi ww embu kafanye reserch upya khemet wenyewe waliletewa uo ustaarabu after 4000 years ndo ukafika apo miaka buku nne mchezo af ndo na kina ramses wanapata ustaarabu toka iraq(summerian) tujiongeze apo na ndo uamini mweupe ni mweupe tu.Ubarikiwe great thinker maana nondo zako humu zinanipa pride sana ya kuwa muafrika at least tunapojua kwamba we were something huko nyuma kabla ya wazungu kutuvurugia historia yetu hii inanipa tumaini kuwa huko mbeleni tutarudi na nguvu zaidi na kuwa Afrika yenye nguvu kma enzi za kingdom of KUSH, khemet yenye mapharao weusi kina thutmose III au Mali kingdom ya kina Musa I .....
Mungu ibariki Afrika
Kiweke hapa mkuuKile kitabu ulichonipa mkuu hakijaacha kitu nyuma kabisa kuhusu historia ya Israel dah mpaka nkimaliza ntakuwa nmeondoa ujinga mwingi sana maana israel ni muhimu sana kujua historia yake ukizingatia ndio chimbuko la hizi dini kuu mbili za Abrahamic religions
Ubarikiwe
Ngumu kumezaView attachment 794975 hapo vipi?????
Mkuu sumeria si nlishasema toka mwanzo ilikuwa ya watu weusi maana baada ya gharika la sumeria mfalme wao wa kwanza mwenye nguvu alikuwa Enmekar au amraphel aliyejenga ufalme mkubwa zaidi na ukafika ulipofika kupata hizi sifa na ndio historically ni nimrod sababu wanamifanano yote kihistoria,matukio na wakati ila lugha yao ndio ilikuwa na roots za semitic but walikuwa negroids sio weupe nmeshasoma vitabu zaidi ya 10 nmejiridhisha nachosema kuwa Enmekar ndie nimrod na wote tunafaham enmekar alirithi ufalme wa baba yake i.e KUSH mwenyewe na mkewe semiramis huko mesopotamiaKakuvurugia kivipi ww embu kafanye reserch upya khemet wenyewe waliletewa uo ustaarabu after 4000 years ndo ukafika apo miaka buku nne mchezo af ndo na kina ramses wanapata ustaarabu toka iraq(summerian) tujiongeze apo na ndo uamini mweupe ni mweupe tu.
Ok ntafanya hivyoKiweke hapa mkuu
Kaka sio kweli black hawakuwako huko.Mkuu sumeria si nlishasema toka mwanzo ilikuwa ya watu weusi maana baada ya gharika la sumeria mfalme wao wa kwanza mwenye nguvu alikuwa Enmekar au amraphel aliyejenga ufalme mkubwa zaidi na ukafika ulipofika kupata hizi sifa na ndio historically ni nimrod sababu wanamifanano yote kihistoria,matukio na wakati ila lugha yao ndio ilikuwa na roots za semitic but walikuwa negroids sio weupe nmeshasoma vitabu zaidi ya 10 nmejiridhisha nachosema kuwa Enmekar ndie nimrod na wote tunafaham enmekar alirithi ufalme wa baba yake i.e KUSH mwenyewe na mkewe semiramis huko mesopotamia
Mtoto akawa nimrod ndio akaendeleza utawala wa watu weusi huko sumeria kwa miaka mingi baadaye hadi alipokuja kuzidiwa kete na mfalme neoldaechlomer na baadae sumeria ya kale ikafa huko mesopotamia na jamii ya watu weusi ikavuka bahari kuja afrika kupitia red sea....na wakasettle huko sudan ya sasa ambayo by then iliitwa kingdom of kush that's if at all wote tunaamini kuwa post flood world cradle ya civilization ilianzia middle east at least kwa reference zilizopo
Hivyo narudia tena kwa mara nyingine sumeria empire ilikuwa ya watu weusi mwanzoni kabla ya kuvamiwa na neoldaechlomer(spellings zina shaka) iliyosababisha amraphel kufurumushwa na watu wake kusambaa afrika na mashariki ya kati
Ntasaka hivo vitabu vyote nilivyosoma niviweke hapa vina facts kuanzia za writing mpka michoro kuthibitisha hayo kwa sasa niishie hapa
mkuu haya mambo ni utafiti unatakiwa usome sana sources kama 10 au 20 ndio uje na conclusion mie nmesoma article na vitabu vya kutosha mpaka biblia na midrash n.k nakusanya dots ndio nikaja na conclusionKaka sio kweli black hawakuwako huko.
Bado inawezekana akawa mtu mweusi..... Unawakumbuka ancient nubians au hta ethiopians wa sasa/somalia unafkiri hawana nywele kama za kiarabu tu zikawa ndefu na ukazikunja??? Napoongelea blacks usipate picha ya mpoki au baraka da prince no pata picha ya ethiopians au nubians waliokuwa na rangi ya maji ya kunde kabisa kama ya Mhe bashe hivi na nywele kma za kiarabu hao ndio ancient HAMITES hawa weusi typical ama wabantu hawakutoka kwa CUSH bali kwa Put ila hao CUSHITES mpaka leo hawafanani kivile na sisi wabantu ukitaka angalia eritrea djibouti Somalia na ethiopia walivyo alafu linganisha na wasenegali utaoma tofauti kubwa ya muonekano ilihali wote ni blacks/negroids/hamitesAta ukitizama mchoro wa kuta ambao ulikuwa mfano wa nimrod akuna blak people walio na mipua mirefu na nywele zenye kujiviriga vile.View attachment 796267