Ras Rizzy G
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 225
- 241
kwa sasa mi ni muislam urasta upo katika nafsi tuuUna imani iman ya kirasi? Rasta mnatumia kitabu gani kama muongozo wenu kujua ukwel?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sasa mi ni muislam urasta upo katika nafsi tuuUna imani iman ya kirasi? Rasta mnatumia kitabu gani kama muongozo wenu kujua ukwel?
fatilia katika vitabu vya waizraeli utanielewa.zionismKatika kusoma bibilia mimi sijaona wapi kumeandikwa kua MALAIKA ni watoto wakike wa Mungu
Bara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
...Samahani mkuu naomba kueleweshwa kidogo hivi Fallen Angel walipokutana kingono na Binadam Ndipo akazaliwa Nephilims!??au Nephilims walikuwepo kabla ya Fallen Angels.??ni hayo tu ntashukuru
Hawa watarudishwa tena, kuna watu hybrid watatengenezwa maabara watakuja kuitawala dunia
Fallen angels..wakiongozwa na Azazel ndio waliingiana na binaadam wakatokea Nephills so Nephils ndo Product ya Fallen angel.
Remember baada ya hao malaika 200 kushuka duniani Mungu aliwafunga kuzimu Wakisubiri hukumu yao ila Nephills bliidline waliondolewa na Gharika kuu ya Nuhu..
Nephillism hawakuwepo before walikuja kujitokeza baada ya falling angel kuwa sex binadamu ,na hali haikundulika mapema ilikuja onekana baada ya mitoto kuwa mikubwa bila kikomo ndo wakashamga nakuanza kujiuliza what happen
Asante kwa hiyo Nephilims ni Uzao(mitoto) ya fallen angels na Binadamu....
hakuna watoto wa malaika bali ni uzao wa majini wabaya.malaika hawana jinsia msidanganyike ndugu zangu..
InterestingNimesoma article mbalimbali na hicho kitabu cha republic cha Plato amegusia habari ya atlantis kuwa ni bara liliozaa maendeleo yote tunayoyaona leo ila lilizama baharini sasa theory nyingine inadai ndio Antarctica ya sasa ndio maana nkaona nilete humu ili nipate feedback nzuri zaidi kwa waliopitia nadharia hii
Ahsante
Biblia gani inasema malaika walizaa na wanadamu?? Unaweza kutupa mstari hapaMbona kwenye hiyo Biblia kuna maandiko yanasema kabisa hao malaika waasi walitembea na wanadamu ?
Dini moja inasema malaika walitembea na binadamu ,nyingine inasema malaika waliumbwa kwa nuru hawana jinsia
Shetani ni nani kama malaika hawajawahi kumuasi Mungu ?
Kazi kweli kweli
zingine ni conspiracies tuu/storiza uongo na kweli.yatakiwa uwe makini kujua ni stori ipi yenye ukweliInteresting
Genesis 6:4 inaongelea nini mkuu ?Biblia gani inasema malaika walizaa na wanadamu?? Unaweza kutupa mstari hapa
Atlantis {Inavyosemekana}, ilikua the moja ya Advanced Civilizations za zamani(Tuseme ilikua the most advanced civilization zamani). Kilichowakuta watu waliokua wakiishi Atlantis hakujulikani hadi leo, kilichobaki ni ushahidi tu kuwa kulikuwa na civilization ambayo ilikuwa mbali sana kiteknolojia, Sayansi , Astrology NKKama title inavyosema kwa wajuvi wa mambo humu JF je upi ni ukweli kuhusu historia kwamba kulikuwa na bara linaitwa atlantis lililoongelewa na mwanafalsafa wa kigiriki Plato kwamba lilikuwa na teknolojia kubwa kuliko hata ya sasa ila lilipotea kutoka uso wa dunia maana ilidaiwa lilikuwepo kati ya bara la ulaya na amerika kaskazini je ni kweli hili bara lilikuwepo ??? Na kma lilikuwepo limeenda wapi???
Ahsanteni
Ok ni hivi mkuu wana wa Mungu biblia iko wazi kabisa warumi 8:12-25 hasa mstari wa 14Genesis 6:4 inaongelea nini mkuu ?
Malaika hawana jinsia kwahiyo hawakuumbiwa program ya uzazi ktk bongo zao. Ni viumbe wa dunia hii pekee ndio waliumbiwa program ya kuzaana, na program hii ni ya mda tu baadae huondolewa. Imeandikwa kule mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa, mtaishi km malaika... Maanake malaika hawazai na hawana uwezo huo, sanasana wanafanya mazingaumbwe mbele ya binadamu kwasababu tuko chini ya utawala wao hapa duniani... Sasa nini kilitokea baada seluthi (1/3 )moja ya malaika kuasi mbinguni? Mungu alimtahadharisha Adam na mkewe kipi cha kujihami nacho... Shetani na malaika zake wakamtumia Eva kwa udhaifu wake wa kibinadamu... Km Eva angekataa shetani angekuwa mbali na sayari dunia leo. Eva alikubali ndo ukawa mlango wa shetani kuwa mtawala badala ya adam, ikabidi afukuzwe bustanini waende waishi kwa shida.... Kuwakomboa mikononi mwa shetani ilihitajika afe yule yule aliekwepo kwenye uumbaji. Ndo maana shetani alipomjaribu yesu alimwambia nitakupa fahari hizi zoote unisujudu kidogo tu. Maanake alimshawishi aachane na mpango wa kuwakomboa uzao wa adam. Hilo alishindwa, ukombozi ukafanyika likabaki swala moja tu kuwa ni binadam ndo mwenye jukumu la kuamua kumkubali, kumwamini na kumfuata huyo mkombozi.
Ahsante mkuu kwa uchambuzi murua nimepata mwanga kidogo kuhusu masuala ya Atlantis na ancient civilization kwa kweli dunia hii kuna mambo mengi sana hatuyajui au tumefichwa kwa makusudi maana ni ya kustaajabisha sanaAtlantis {Inavyosemekana}, ilikua the moja ya Advanced Civilizations za zamani(Tuseme ilikua the most advanced civilization zamani). Kilichowakuta watu waliokua wakiishi Atlantis hakujulikani hadi leo, kilichobaki ni ushahidi tu kuwa kulikuwa na civilization ambayo ilikuwa mbali sana kiteknolojia, Sayansi , Astrology NK
Baadhi ya theory za kupotea kwa Atlantis ni The great Flood(Habari za Nuhu Kwenye Bible), Kuzama kwa Bara chini ya bahari(Kwa wanaojua Geography), Barafu ETC.
Ila location Halisi ya Atlantis haijulikani vizuri hadi sasa (Labda inajulikana ila inafanywa siri kubwa na serikali kubwa like US).
Baada ya Atlantis kuna advanced civilization nyingine zilikuja kama vile Babylon ambayo ilikuwa Iraq.
Unajua marekani kufanya vita na Iraq...Wameiba museum artifacts nyingi sana kutoka Iraq, hadi leo Iraq wanaendesha thidi ya US ili warudishe walivyoiba?
Ukiacha mafuta, Marekani ilionekana imevutiwa sana na vitu vya kale vya Iraq.
Unajua wakati vitabu vyetu vinasema tulikuwa tunakula mizizi na matunda kuna Ushahidi Binadamu walikuwa wanatumia umeme? Hivyo vitu vinachanganya sana wana research. Na hiyo ndo sababu Atlantis, Babylon na Mayyans(Kama sijaosea spelling), imekuwa changamoto kwa wana sayansi.
Ukiongelea Atlantis ndo pale Sayansi inapokutana na Miujiza na kuwa kitu kimoja.
Ulishawahi kujiuliza watu wanaoongozwa na "Roho wa Mungu" WANA WA MUNGU, wakizaa na watu wasio na roho wa Mungu. Kama wanazaa Majitu {Nephillim}. Jaribu kidogo kujua Nephillim walikuwa wakubwa Kiasi gani.Ok ni hivi mkuu wana wa Mungu biblia iko wazi kabisa warumi 8:12-25 hasa mstari wa 14
14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu
Biblia ipo wazi kabisa kuwa mtu anayeongozwa na roho wa Mungu ndio anakuwa MWANA WA MUNGU sasa tunajua wote kaini alimuua abili hivyo obvious alikuwa haongozwi na roho ya Mungu tena kwa muktadha huo!!! Sasa basi tumuangalie na seth aliyezaliwa baada ya abili kufa biblia inasema
Mwanzo 4: 26
26 Sethi naye akazaa mwana; akamwita jina lake Enoshi. Hapo ndipo watu walipoanza kuliitia Jina la BWANA
Hapa tunaona kwenye mwanzo 4 kuwa kumbe uzao wa Sethi ulikuwa unaliitia jina la Bwana na kwa sababu hiyo wamefuzu kuwa WANA WA MUNGU maana biblia iko wazi kabisa kuwa wanaoongozwa na Mungu ndio wana wa Mungu sasa basi tunapata picha kuwa mwanzo 6 inaongelea Watoto wa Seth kma wana wa Mungu na watoto wa Wanadamu kma ni wale wasiomcha Mungu ambao ni watoto wa Cain hivyo sioni kokote kuna andiko linasema maana ya WANA WA MUNGU ni malaika wala hakuna andiko linasema malaika walishawahi kuzaa na binadamu kama lipo karibu utusaidie
Nafikiri umenielewa
Ahsante
Kitabu cha atlants kinavyojieleza
miamba yenye nguvu na kali na kufunikwa uso wa Azazel ili asione mwanga. Michael aliamriwa kumfunga Semyaza na washirika wake katika mabonde ya dunia. Wao watabaki pale mpaka siku ya hukumu atakapoponywa katika moto.5 Mafuriko Makuu Kwa hiyo, ilikuwa ni kuingilia kati kwa malaika waliokufa - pia wanajulikana kama "Watazamaji" katika Kitabu cha Enoko - ambacho kilileta vurugu na rushwa ya Dunia ambayo ilimshawishi Mungu kuleta gharika. Badala ya kuwapa wanadamu zawadi za upendo, fadhili na upendo, ambayo Mungu alipendelea na hatimaye ilikuwa bora zaidi kwa wanadamu, Watazamaji, na uzao wao mbaya, Wanefiri, walitoa watu zawadi za teknolojia ambayo, ingawa walionekana kuwa ya kuhitajika juu ya uso wake - "kupendeza kwa jicho" - hatimaye imeonekana kuwa mauti. Athari halisi ya ongezeko la teknolojia ilikuwa, badala ya kuboresha kura ya mwanadamu, ilimpa tu uwezo wa kumwua mtu mwenzake kwa ufanisi zaidi. Zawadi hizi zilikuwa na athari nyingine za bahati mbaya, ambayo ilikuwa uchafuzi wa mazingira, na kwa bidhaa za viwanda vikubwa ambavyo ni sehemu na sehemu ya mapema yoyote ya teknolojia. Kwa hiyo, zawadi za teknolojia, ambazo zilionekana kwa manufaa kwa mara ya kwanza, badala yake zileta uharibifu mkubwa, na moyo wa mwanadamu wote, Dunia, na hata muundo wa maumbile wa wanadamu ulikuwa umeharibika kwa urahisi. Kwa hiyo, ili kuokoa dunia na wanadamu wasiwe na uharibifu usiofaa, Mungu aliamua kuwa ulimwengu wa kale ulipaswa kuharibiwa, na alimtuma Mafuriko kusafisha dunia kutokana na uovu wa Watazamaji. Kupanda na Kuanguka Kwa Atlantis Katika Critias, pili ya majadiliano mawili ya Plato, kuna maelezo ya kuvutia ya jinsi Atlantis ilivyoanzishwa, na baadhi ya mawazo ya kwa nini iliharibiwa. Katika Critias, Critias tena inachukua hadithi ya Atlantis ya kale ambayo alikuwa ameanza Timaya, kuanzia kumbukumbu ya historia ya kale ya Atlantean saga, hasa vita kati ya Atlanteans na Athene, vita ya mwisho ya dunia ya mwisho ya ulimwengu wa kale.VI Kama tulivyoona katika Sehemu ya I, Waashene walikuwa wamefanikiwa kupigania shambulio la Atlanteans katika bara la Ulaya. Waashene wenye ujasiri walikuwa wa mwisho, matumaini makubwa ya bara, mataifa mengine yote yaliyokuwa yamejitokeza kwa hofu ya adhabu ya Atlante, na wote wa Ulaya na Asia walipigana. Hata hivyo, Athene mwenye nguvu alitoka kwa ubora wa nguvu na nguvu zake, na alishindwa dhidi ya matatizo yote, akiendesha gari la Atlanteans na kurudi ndani ya nguzo. Atlanteans kisha wakarudi kwenye bandari zao za nyumbani, bora ya majeshi yao walipenda, na kiburi cha taifa kilichochelewa. Ingawa ilionekana kuwa ulimwengu umeokolewa kutoka utumwa, katika siku moja na usiku kila kiburi cha Athene na visiwa vya Atlantis kilianguka baharini. Ilikuwa ni msiba huu, wengine wanaamini, kwamba ilikuwa sehemu ya Mafuriko Makuu ya Nuhu, na uharibifu wa ulimwengu wa kale. Lakini kwa nini uharibifu ulifanyika? Kama tulivyoona katika akaunti ya kibiblia, kabla ya Maumbile ya Maumbile ya Mungu yalikuja duniani na kuunganishwa na wanadamu, 5Krista M. Baker mkuu wa wanadamu, "Watcher / Nephilim (Naphidim)" 9
Yeap nimewahi kuona mfano mfalme ogu wa bashamu alikuwa jitu refu la futi zaidi ya 15 linatajwa kwenye kitabu cha joshua ambaye alikuwa ni uzao wa Nuhu na kipindi hicho gharika limeshaisha na hivyo wanefili hawakuwepo sasa kma mnasema majitu marefu ni wanefili pekee naomba unisaidie je wale wakazi wa Canaan ambao Wana wa israel walisema wakiwekwa nao wanakuwa kama panzi nao ni uzao wa malaika???warephaimu,Annunaki, waamaleki na waamori wanaotajwa kwenye kitabu cha Joshua ambao walichinjwa ili kupisha waisrael kuchukua ardhi ya kanani nao tunaona ni majitu makubwa (ambao ndio ukoo wa goliath) je nao ni watoto wa malaikaUlishawahi kujiuliza watu wanaoongozwa na "Roho wa Mungu" WANA WA MUNGU, wakizaa na watu wasio na roho wa Mungu. Kama wanazaa Majitu {Nephillim}. Jaribu kidogo kujua Nephillim walikuwa wakubwa Kiasi gani.
Ulishawahi kujiuliza kwanini biblia inasema "wanawake wafunike vichwa vyao wanaposali kwa sababu ya Malaika?" Sitaweza kukujibu hayo ila Ukiwa na jitihada kwenye chochote utapata jibu "Bisha Utafunguliwa"- Imeandikwa kwenye bible
Bado kuna mengi sana ya kustaajabisha. Ukisoma deep kuhusu Secret Societies na Secret Knowlege wanayoificha unaweza bado usipate majibu, Ila utashangaa jinsi dunia ilivyo. Na jinsi gani watu wacheche walivyo na siri nyingi.Ahsante mkuu kwa uchambuzi murua nimepata mwanga kidogo kuhusu masuala ya Atlantis na ancient civilization kwa kweli dunia hii kuna mambo mengi sana hatuyajui au tumefichwa kwa makusudi maana ni ya kustaajabisha sana
Ok..Ngoja nikujibu kulingana na research yangu! Unachotaka kujua ni kitu ambacho kimefanywa siri kubwa kwa miaka mingi, Na bado ni siri! Sasa sijui nikujibuje, Nikujibu kama inavyowapendeza wakristo wengi, Au kama reseacher?Yeap nimewahi kuona mfano mfalme ogu wa bashamu alikuwa jitu refu la futi zaidi ya 15 linatajwa kwenye kitabu cha joshua ambaye alikuwa ni uzao wa Nuhu na kipindi hicho gharika limeshaisha na hivyo wanefili hawakuwepo sasa kma mnasema majitu marefu ni wanefili pekee naomba unisaidie je wale wakazi wa Canaan ambao Wana wa israel walisema wakiwekwa nao wanakuwa kama panzi nao ni uzao wa malaika???warephaimu,Annunaki, waamaleki na waamori wanaotajwa kwenye kitabu cha Joshua ambao walichinjwa ili kupisha waisrael kuchukua ardhi ya kanani nao tunaona ni majitu makubwa (ambao ndio ukoo wa goliath) je nao ni watoto wa malaika
Tuanzie hapo mkuu
nimetengeneza Group kwa ajili ya hizi topic, Linaitwa Secret Teachings liko open,unaweza ukajiunga tujaribu kushare. Create account Sekunde 10, search hilo group kisha tuone nani mwingine atatusaidia kwenye hiloYeap nimewahi kuona mfano mfalme ogu wa bashamu alikuwa jitu refu la futi zaidi ya 15 linatajwa kwenye kitabu cha joshua ambaye alikuwa ni uzao wa Nuhu na kipindi hicho gharika limeshaisha na hivyo wanefili hawakuwepo sasa kma mnasema majitu marefu ni wanefili pekee naomba unisaidie je wale wakazi wa Canaan ambao Wana wa israel walisema wakiwekwa nao wanakuwa kama panzi nao ni uzao wa malaika???warephaimu,Annunaki, waamaleki na waamori wanaotajwa kwenye kitabu cha Joshua ambao walichinjwa ili kupisha waisrael kuchukua ardhi ya kanani nao tunaona ni majitu makubwa (ambao ndio ukoo wa goliath) je nao ni watoto wa malaika
Tuanzie hapo mkuu
Nandio maana tukaambiwa tuna macho lakini hatuoni ,tuna maskio lakini hatuskiiNajua kuna ukweli kwenye unachokisema.. Ila kwenye haya mambo Ukweli Unashangaza kuliko maigizo. Ukiona text yoyote ya kale inaeleweka vizuri, jua hujaelewa hata kidogo! UKWELI ni kwamba hatujui mengi. Na hapo ndipo SECRET SOCIETIES zinapokuwa na nguvu...kwa sababu lengo la secret societies ni kushare siri wao kwa wao, ambazo binadamu wengine hawazijui.
We see but we do not understand!
kwnye bibble hayo maandiko yapo katika upande wa hadithi za bibilia ila katika kitabu cha,eneck ambacho hakipo umo kwenye bibilia yapo hayo.Biblia gani inasema malaika walizaa na wanadamu?? Unaweza kutupa mstari hapa
Wale malaika 200 akiwemo kiongozi wao semyaza na azazel mwenyewe walizini vipi na wanadamu kama hawana jinsia?!...NA NI WAPI BIBILIA YENU IMEGUSIA KUUHUSU MALAIKA HAWANA NJINSIA AU WANAZO?!.Malaika hawana jinsia kwahiyo hawakuumbiwa program ya uzazi ktk bongo zao. Ni viumbe wa dunia hii pekee ndio waliumbiwa program ya kuzaana, na program hii ni ya mda tu baadae huondolewa. Imeandikwa kule mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa, mtaishi km malaika... Maanake malaika hawazai na hawana uwezo huo, sanasana wanafanya mazingaumbwe mbele ya binadamu kwasababu tuko chini ya utawala wao hapa duniani... Sasa nini kilitokea baada seluthi (1/3 )moja ya malaika kuasi mbinguni? Mungu alimtahadharisha Adam na mkewe kipi cha kujihami nacho... Shetani na malaika zake wakamtumia Eva kwa udhaifu wake wa kibinadamu... Km Eva angekataa shetani angekuwa mbali na sayari dunia leo. Eva alikubali ndo ukawa mlango wa shetani kuwa mtawala badala ya adam, ikabidi afukuzwe bustanini waende waishi kwa shida.... Kuwakomboa mikononi mwa shetani ilihitajika afe yule yule aliekwepo kwenye uumbaji. Ndo maana shetani alipomjaribu yesu alimwambia nitakupa fahari hizi zoote unisujudu kidogo tu. Maanake alimshawishi aachane na mpango wa kuwakomboa uzao wa adam. Hilo alishindwa, ukombozi ukafanyika likabaki swala moja tu kuwa ni binadam ndo mwenye jukumu la kuamua kumkubali, kumwamini na kumfuata huyo mkombozi.