Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Atlantis {Inavyosemekana}, ilikua the moja ya Advanced Civilizations za zamani(Tuseme ilikua the most advanced civilization zamani). Kilichowakuta watu waliokua wakiishi Atlantis hakujulikani hadi leo, kilichobaki ni ushahidi tu kuwa kulikuwa na civilization ambayo ilikuwa mbali sana kiteknolojia, Sayansi , Astrology NK

Baadhi ya theory za kupotea kwa Atlantis ni The great Flood(Habari za Nuhu Kwenye Bible), Kuzama kwa Bara chini ya bahari(Kwa wanaojua Geography), Barafu ETC.

Ila location Halisi ya Atlantis haijulikani vizuri hadi sasa (Labda inajulikana ila inafanywa siri kubwa na serikali kubwa like US).

Baada ya Atlantis kuna advanced civilization nyingine zilikuja kama vile Babylon ambayo ilikuwa Iraq.
Unajua marekani kufanya vita na Iraq...Wameiba museum artifacts nyingi sana kutoka Iraq, hadi leo Iraq wanaendesha kesi UN dhidi ya US ili warudishe walivyoiba?

Ukiacha mafuta, Marekani ilionekana imevutiwa sana na vitu vya kale vya Iraq.

Unajua wakati vitabu vyetu vinasema tulikuwa tunakula mizizi na matunda kuna Ushahidi Binadamu walikuwa wanatumia umeme? Hivyo vitu vinachanganya sana wana research. Na hiyo ndo sababu Atlantis, Babylon na Mayyans(Kama sijaosea spelling), imekuwa changamoto kwa wana sayansi.

Ukiongelea Atlantis ndo pale Sayansi inapokutana na Miujiza na kuwa kitu kimoja.
ATLANTIS BLANCH....AND MIGRATION

babylon
Peru
Misri
Persia n.k
 
ATLANTIS walikuwa na izo settlite, umeme tena ni wire less,ndege za anga meli,yaani kila kitu unachokiona leo tena ni zaidi yetu na ndomana PLATO alidiliki kusema walikuwa na ujuzi zaidi yetu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tutahaminije mkuu kama hivyo unavyosema vilikuwepo
 
HUU UZI BOMBA ILA MMEKUWA WAZEMBE KULETA RESEARCH ZENU.
CC:
zito....niliyokwambia kuhusu fallen angel au wana wa mungu ni hii hapa katika hadithi za bibilia.
a68e5626d0460575e7a8050319af51e2.jpg

f7829d1a68f110ce71ce7d187a1844ef.jpg

d853cdd15b1a938b7992bcc3a075ab1b.jpg
3c7d74adb56bf7ddd648313c5b691499.jpg

Mtu aliyesoma aliyesoma hadithi za bibilia ni tofauti na aliye soma bibilia takaktifu...na huyu aliesoma hadithi ana uafadhari kuliko uyo aliekomaa kwenye bibilia takatifu.....cc;zito uthibitisho huo nadhani umeuona.
 
ATLANTIS walikuwa na izo settlite, umeme tena ni wire less,ndege za anga meli,yaani kila kitu unachokiona leo tena ni zaidi yetu na ndomana PLATO alidiliki kusema walikuwa na ujuzi zaidi yetu.
Alafu kuhusu huyu jamaaa plato nilimsikiaga marehemu shkeih yahaya enzi hizo kwenye kipindi chake alisema huyu jamaa anadamu ya alien sasa sijajua kwa upande wako unamzungumziaje maana najiuliza swali aliwezaje kujua kuhusu ilo bara na wakati yeye hakuwepo!!?
 
Ndio Atlantis imezama pale. Itainuka kama ilivyozama ikitokea world war three. Masayantisti wanapopita pale, they can detect it with their instruments.
Indeed watu watanyukana kwa makusudi, kwa sababu wanataka kuiinua Atlantis, kwa sababu kuna habari pale kuhusu intergalactic travel.
 
Hivi chanzo cha Atlantis kuzama ni kipi hasa?
 
Bara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
Wanalirudishaje hilo bara kama lishatoweka
 
Alafu kuhusu huyu jamaaa plato nilimsikiaga marehemu shkeih yahaya enzi hizo kwenye kipindi chake alisema huyu jamaa anadamu ya alien sasa sijajua kwa upande wako unamzungumziaje maana najiuliza swali aliwezaje kujua kuhusu ilo bara na wakati yeye hakuwepo!!?
Wanafalsafa huwa ni uchembe wa ugineus... Kuna mmoja alikua akiitwa kama edgar cayce ivi japo ckumbuki vizr huyu pia alikua hivyo alikuwa na uwezo wa kulalia kitabu tu na kumeza vyote vilivyomo ndani ya kita pasipo kukifungua,pia huwa wanaupeo mkubwa sana kurewind memor kiroho..

Namaana wanakuwa na njozi kuu za kilichotokea kale pale ambapo anakifanyia uchunguzi...kimuonekano wao huwa kama wana mapungufu ya akili na huwa wananena vitu ambavyo kuaminika punde inakuwa ngumu sana..
 
Please, separate fiction/mythology from fact/science.

If you want to read mythology and fiction,read Atlantis.If you want to read science and facts, read Continental Drift.

Atlantis - Wikipedia

Atlantis (Ancient Greek: Ἀτλαντὶς νῆσος, "island of Atlas") is a fictional island mentioned within an allegory on the hubris of nations in Plato's works Timaeus and Critias, where it represents the antagonist naval power that besieges "Ancient Athens", the pseudo-historic embodiment of Plato's ideal state (see The Republic). In the story, Athens repels the Atlantean attack unlike any other nation of the (western) known world,[1] supposedly giving testament to the superiority of Plato's concept of a state.[2][3] The story concludes with Atlantis falling out of favor with the deities and submerging into the Atlantic Ocean.

Continental drift - Wikipedia

Continental drift is the movement of the Earth's continents relative to each other, thus appearing to "drift" across the ocean bed.[2] The speculation that continents might have 'drifted' was first put forward by Abraham Ortelius in 1596. The concept was independently and more fully developed by Alfred Wegener in 1912, but his theory was rejected by some for lack of a mechanism (though this was supplied later by Arthur Holmes). The idea of continental drift has been subsumed by the theory of plate tectonics, which explains how the continents move.[3]
 
Atlantis {Inavyosemekana}, ilikua the moja ya Advanced Civilizations za zamani(Tuseme ilikua the most advanced civilization zamani). Kilichowakuta watu waliokua wakiishi Atlantis hakujulikani hadi leo, kilichobaki ni ushahidi tu kuwa kulikuwa na civilization ambayo ilikuwa mbali sana kiteknolojia, Sayansi , Astrology NK

Baadhi ya theory za kupotea kwa Atlantis ni The great Flood(Habari za Nuhu Kwenye Bible), Kuzama kwa Bara chini ya bahari(Kwa wanaojua Geography), Barafu ETC.

Ila location Halisi ya Atlantis haijulikani vizuri hadi sasa (Labda inajulikana ila inafanywa siri kubwa na serikali kubwa like US).

Baada ya Atlantis kuna advanced civilization nyingine zilikuja kama vile Babylon ambayo ilikuwa Iraq.
Unajua marekani kufanya vita na Iraq...Wameiba museum artifacts nyingi sana kutoka Iraq, hadi leo Iraq wanaendesha kesi UN dhidi ya US ili warudishe walivyoiba?

Ukiacha mafuta, Marekani ilionekana imevutiwa sana na vitu vya kale vya Iraq.

Unajua wakati vitabu vyetu vinasema tulikuwa tunakula mizizi na matunda kuna Ushahidi Binadamu walikuwa wanatumia umeme? Hivyo vitu vinachanganya sana wana research. Na hiyo ndo sababu Atlantis, Babylon na Mayyans(Kama sijaosea spelling), imekuwa changamoto kwa wana sayansi.

Ukiongelea Atlantis ndo pale Sayansi inapokutana na Miujiza na kuwa kitu kimoja.
Atlantis
 
Attachments

  • 350px-Athanasius_Kircher's_Atlantis.gif
    350px-Athanasius_Kircher's_Atlantis.gif
    31 KB · Views: 108
HUU UZI BOMBA ILA MMEKUWA WAZEMBE KULETA RESEARCH ZENU.
CC:
zito....niliyokwambia kuhusu fallen angel au wana wa mungu ni hii hapa katika hadithi za bibilia.
a68e5626d0460575e7a8050319af51e2.jpg

f7829d1a68f110ce71ce7d187a1844ef.jpg

d853cdd15b1a938b7992bcc3a075ab1b.jpg
3c7d74adb56bf7ddd648313c5b691499.jpg

Mtu aliyesoma aliyesoma hadithi za bibilia ni tofauti na aliye soma bibilia takaktifu...na huyu aliesoma hadithi ana uafadhari kuliko uyo aliekomaa kwenye bibilia takatifu.....cc;zito uthibitisho huo nadhani umeuona.
Nimeuona mkuu ila swali langu linabaki pale pale WAPI kwenye biblia inasema wana wa Mungu ni malaika au wapi inasema wana wa Mungu hawakuwa binadamu mkinionyesha hilo tu ntaamini kweli wanefili ni zao la malaika waliozaa na wanadamu

Maana mimi jana nilileta hapa mstari kuonyesha biblical definition ya wana wa Mungu ya kwamba WANA WA MUNGU ni wale wote wanoongozwa na Roho wa Mungu na imetajwa zaidi ya mara 5 sasa ila sijaona kokote inapotaja kuwa wana wa Mungu walikua malaika mkipata huo mstari mtakuwa mmetusaidia sana kuliko tu kuassume WANA WA MUNGU ni malaika ilihali biblia haijasema hivo ila all in all well done kwa kufanya tafiti kama hizi za kufikirisha na ndio maana halisi ya great thinker.... Big up for that

Ahsante
 
Hivi chanzo cha Atlantis kuzama ni kipi hasa?
1. Wanadai gharika la Nuhu lilioambatana na matetemeko yalisababisha lizame chini ya bahari

2. Wengine wakadai lilimezwa na bermuda triangle kwakuwa lilikuwa katikati ya bara la amerika na ulaya na afrika hivyo lilikuwa na ukaribu na ukanda huo ambao kihistoria vitu huvutwa na kutoweka kimazingara

3. Wengine wakadai ilitokea tu mivutano ya kawaida chini ya bahari hivyo likazamisha bara hilo na ushahidi huu unakubalika sana maana hata kihistoria kuna mabara ambayo yalizama kwa mfano sundaland kule asia na ushahidi wa kisayansi umeainishwa kwenye link hii hapa chini

Sundaland - Wikipedia
 
Please, separate fiction/mythology from fact/science.

If you want to read mythology and fiction,read Atlantis.If you want to read science and facts, read Continental Drift.

Atlantis - Wikipedia

Atlantis (Ancient Greek: Ἀτλαντὶς νῆσος, "island of Atlas") is a fictional island mentioned within an allegory on the hubris of nations in Plato's works Timaeus and Critias, where it represents the antagonist naval power that besieges "Ancient Athens", the pseudo-historic embodiment of Plato's ideal state (see The Republic). In the story, Athens repels the Atlantean attack unlike any other nation of the (western) known world,[1] supposedly giving testament to the superiority of Plato's concept of a state.[2][3] The story concludes with Atlantis falling out of favor with the deities and submerging into the Atlantic Ocean.

Continental drift - Wikipedia

Continental drift is the movement of the Earth's continents relative to each other, thus appearing to "drift" across the ocean bed.[2] The speculation that continents might have 'drifted' was first put forward by Abraham Ortelius in 1596. The concept was independently and more fully developed by Alfred Wegener in 1912, but his theory was rejected by some for lack of a mechanism (though this was supplied later by Arthur Holmes). The idea of continental drift has been subsumed by the theory of plate tectonics, which explains how the continents move.[3]
Yes Al watan it's always important to separate myths from facts however i do believe most FACTS eventually started as myths till they gained recognition and basic factual findings to support its course ..... Even gallileo's theory of a spherical earth was once regarded as a MYTH till later scientist proved otherwise !!!

With recent discovery of evidence which might finally reveal evidence of settlement in Antarctica a thousand of years ago i guess we are getting close to finally unwrap this mystery of Atlantis so instead of calling it a myth (of course as per now) we should dig deep and hope that once solid evidence is broght forth then it will finally be a fact that indeed IT EXISTED and oops!! its submerged

If sundaland submerged underwater why not atlantis...... Let's keep fingers crossed and see what will emerge soon

Thumbs up

Sundaland - Wikipedia
 
Ndio Atlantis imezama pale. Itainuka kama ilivyozama ikitokea world war three. Masayantisti wanapopita pale, they can detect it with their instruments.
Indeed watu watanyukana kwa makusudi, kwa sababu wanataka kuiinua Atlantis, kwa sababu kuna habari pale kuhusu intergalactic travel.
Endelea kufunguka mkuu tupate darasa murua..... Unaposema wanataka kuiinua una maana itaibuka kutoka baharini au wanacopy na kupaste utawala wa kipindi hicho

Embu fafanua kidogo hapo mkuu tuwe pamoja maana hizi historia hazifundishwi darasani

Ahsante
 
Back
Top Bottom