Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
ATLANTIS BLANCH....AND MIGRATIONAtlantis {Inavyosemekana}, ilikua the moja ya Advanced Civilizations za zamani(Tuseme ilikua the most advanced civilization zamani). Kilichowakuta watu waliokua wakiishi Atlantis hakujulikani hadi leo, kilichobaki ni ushahidi tu kuwa kulikuwa na civilization ambayo ilikuwa mbali sana kiteknolojia, Sayansi , Astrology NK
Baadhi ya theory za kupotea kwa Atlantis ni The great Flood(Habari za Nuhu Kwenye Bible), Kuzama kwa Bara chini ya bahari(Kwa wanaojua Geography), Barafu ETC.
Ila location Halisi ya Atlantis haijulikani vizuri hadi sasa (Labda inajulikana ila inafanywa siri kubwa na serikali kubwa like US).
Baada ya Atlantis kuna advanced civilization nyingine zilikuja kama vile Babylon ambayo ilikuwa Iraq.
Unajua marekani kufanya vita na Iraq...Wameiba museum artifacts nyingi sana kutoka Iraq, hadi leo Iraq wanaendesha kesi UN dhidi ya US ili warudishe walivyoiba?
Ukiacha mafuta, Marekani ilionekana imevutiwa sana na vitu vya kale vya Iraq.
Unajua wakati vitabu vyetu vinasema tulikuwa tunakula mizizi na matunda kuna Ushahidi Binadamu walikuwa wanatumia umeme? Hivyo vitu vinachanganya sana wana research. Na hiyo ndo sababu Atlantis, Babylon na Mayyans(Kama sijaosea spelling), imekuwa changamoto kwa wana sayansi.
Ukiongelea Atlantis ndo pale Sayansi inapokutana na Miujiza na kuwa kitu kimoja.
babylon
Peru
Misri
Persia n.k