Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Na athari hasi mojawapo ya masimulizi ni kwamba inapoteza uhasilia wake wa hicho kinachosimuliwa imma kwa msimuliaji kusahau baadhi ya nukta au kuharibiwa kwa kuongezewa uzushi ambao ukapoteza mantiki nzima. Sana sana wazee wetu walituachia michoro ya kwenye mapango.

Binti hemedi, karibu katika hili

Mimi nimewaza kinyume, what if hizi historia+maandiko tunayosoma ni yetu sisi? Yanatuhusu sisi yaani mababu wa mababu wa mababu zetu?! What if wamebadirisha tu characters na locations?! Maana they still do mpaka sasa, hasa wanapotengeneza Videography za prominent people wanaokufa, mfano movie/Videography ya [HASHTAG]#GodsOfEgypt[/HASHTAG]!

Halafu siamini kabisa kwamba eti historia yetu inayofahamika ni ile kuanzia wa Afrika kupelekwa utumwani?! Hivi kweli mnaamini kabisa Afrika hakukua na binaadam walioumbwa pia kwa mfano wake Mungu ambao walikua na uwezo mkubwa kama hawa tunaowasoma kwenye historia/maandiko? Then if Africans were so ignorant kiasi they could not distinguish their purpose in life, ilikuaje kizazi chake kime survive duniani right from the creation? Ama ndio tunaamini zamani tulikua manyani? !
 
Jibu ni moja tu, na nitalisema siku zote. We have been brainwashed. Ni juhudi za mwafrika binafsi kujikomboa kifrika mwenyewe kwa kudadisi, kuhoji, kuuliza maswali na ya muhimu zaidi ni kukubali kupokea mambo mapya. Kinyume na hapo ni kama jinsi Kiranga anavyojaribu kuelezea sana tena kwa mifano ila watu kwa kua hawakotayari kujifunza jambo jipya kutokana na kuwabrainwashed toka enzi basi hawatomwelewa kamwe. Katika hili nakiri wazungu walituweza.
 
Zito Africa kaskazini na Pembe ya Africa yote ni Africa, usiwe mmojawapo wa wale waliorogwa akili na ubaguzi wa rangi kututenganisha, usichokijua ni historia ya kale ya bara hili
zitto waarabu ni wageni bara la Africa, na wala uislamu hauijui historia ya bara la Africa, Wala Africa haikuumbwa na Muhammad, alipozaliwa Muhammad Wa Africa weusi walikuwa watawala wa Arabian peninsula, aidha Muhammad' mwenyewe alikuwa kizazi cha watu weusi, alikuwa mweusi tii
Sudani kusini ndio kitovu cha bara la Africa
binti hemedi ..fafanua vizru tafadhali "" kuhusu swala la muhamadi kuwa mtu mweusi """
 
Mimi nimewaza kinyume, what if hizi historia+maandiko tunayosoma ni yetu sisi? Yanatuhusu sisi yaani mababu wa mababu wa mababu zetu?! What if wamebadirisha tu characters na locations?! Maana they still do mpaka sasa, hasa wanapotengeneza Videography za prominent people wanaokufa, mfano movie/Videography ya [HASHTAG]#GodsOfEgypt[/HASHTAG]!

Halafu siamini kabisa kwamba eti historia yetu inayofahamika ni ile kuanzia wa Afrika kupelekwa utumwani?! Hivi kweli mnaamini kabisa Afrika hakukua na binaadam walioumbwa pia kwa mfano wake Mungu ambao walikua na uwezo mkubwa kama hawa tunaowasoma kwenye historia/maandiko? Then if Africans were so ignorant kiasi they could not distinguish their purpose in life, ilikuaje kizazi chake kime survive duniani right from the creation? Ama ndio tunaamini zamani tulikua manyani? !

Kwanza yatupasa tujue kila binadamu ana akili. Yapo mambo yanayotufanya tutofautiane kwenye kufikiri na hili sana sana linachochewa na mazingira ambayo mtu/jamii wanayoishi kutokana na changamoto zinazowakabili. Ila ukiwa mzembe ndivyo hivyo akili nayo inalala.Wazungu wametuzidi kwenye suala dogo sana si kwa sababu wanaakili sana kuliko sisi bali sisi ni wajinga.

kuhusu suala ulilosema kwamba wazungu wanabadilisha characters na location za history hilo lipo ila kusema kwamba vipi kama hayo maandiko tunayoyasoma ndiyo sisi, wahusika tunajisoma pasipo kujijua kama ndiyo sisi wahusika, kwa kweli hapo sina jibu. Labda wengine wanaweza kutusaidia katika hili.

Hakuna mwaafrika mwerevu asiyejua kama historia yetu imechakachuliwa. Suala lililobaki ni sisi wenyewe kuamua.

Tusiwalaumu wazee kwa walipoangukia. Kwa sehemu nyengine kutuachia michoro. Kama walifikia hatua ya kuchora michoro kwa lengo la kuhifadhi maarifa yao kwa ajili ya vizazi basi walikuwa wanakaribia kwenye njia bora ya kutunza ustaarabu wao kwa ajili ya vizazi. Wa kujilaumu ni sisi. Hata wale weusi wenzetu waliojitolea kufanya utafiti na kutuelimisha haya tunayo yaandika kuhusu kuchezewa kwa historia yetu bado miongoni mwetu wanayapinga.

Licha ya hayo kuna baadhi ya waafrika wenzetu walipiga hatua na kuwa na maandishi yao. Nchi kama Misri ya kale, Sudan, Ethiopia. Wao waliweza kuutunza ustaarabu wao kwa maandishi na wanajielewa kiukweli wao ni nani, mfano Ethiopia.
 
Jibu ni moja tu, na nitalisema siku zote. We have been brainwashed. Ni juhudi za mwafrika binafsi kujikomboa kifrika mwenyewe kwa kudadisi, kuhoji, kuuliza maswali na ya muhimu zaidi ni kukubali kupokea mambo mapya. Kinyume na hapo ni kama jinsi Kiranga anavyojaribu kuelezea sana tena kwa mifano ila watu kwa kua hawakotayari kujifunza jambo jipya kutokana na kuwabrainwashed toka enzi basi hawatomwelewa kamwe. Katika hili nakiri wazungu walituweza.

Chief kugundua tu kwamba we are being brain washed nayo ni hatua katika kujitambua lakini hatupaswi kuishia hapo, let's find out how they did so as we can undo it! It seems to me we are still stuck in the past, holding on to the tragedy that happened to us decades ago (kuingizwa utumwani + kutawaliwa)!

Tumekua watu wa lawama badala ya watu wa Kuya face matatizo yetu! We are always looking for who did what to us instead of accepting our reality and rising out of it.
 
Kwanza yatupasa tujue kila binadamu ana akili. Yapo mambo yanayotufanya tutofautiane kwenye kufikiri na hili sana sana linachochewa na mazingira ambayo mtu/jamii wanayoishi kutokana na changamoto zinazowakabili. Ila ukiwa mzembe ndivyo hivyo akili nayo inalala.Wazungu wametuzidi kwenye suala dogo sana si kwa sababu wanaakili sana kuliko sisi bali sisi ni wajinga.

kuhusu suala ulilosema kwamba wazungu wanabadilisha characters na location za history hilo lipo ila kusema kwamba vipi kama hayo maandiko tunayoyasoma ndiyo sisi, wahusika tunajisoma pasipo kujijua kama ndiyo sisi wahusika, kwa kweli hapo sina jibu. Labda wengine wanaweza kutusaidia katika hili.

Hakuna mwaafrika mwerevu asiyejua kama historia yetu imechakachuliwa. Suala lililobaki ni sisi wenyewe kuamua.

Tusiwalaumu wazee kwa walipoangukia. Kwa sehemu nyengine kutuachia michoro. Kama walifikia hatua ya kuchora michoro kwa lengo la kuhifadhi maarifa yao kwa ajili ya vizazi basi walikuwa wanakaribia kwenye njia bora ya kutunza ustaarabu wao kwa ajili ya vizazi. Wa kujilaumu ni sisi. Hata wale weusi wenzetu waliojitolea kufanya utafiti na kutuelimisha haya tunayo yaandika kuhusu kuchezewa kwa historia yetu bado miongoni mwetu wanayapinga.

Licha ya hayo kuna baadhi ya waafrika wenzetu walipiga hatua na kuwa na maandishi yao. Nchi kama Misri ya kale, Sudan, Ethiopia. Wao waliweza kuutunza ustaarabu wao kwa maandishi na wanajielewa kiukweli wao ni nani, mfano Ethiopia.

Chief, kama unaamini kwamba watu kama Sudan +ancient Egypt waliweka records zao then why husidhani hata sisi zipo/zilikuwepo? I believe Afrika is so much more than what we know. Muumba wa huu Ulimwengu had a purpose to make this land so rich in everything kiasi kwamba hawezi kufanya kosa la kuumba wamiliki wa ardhi hiyo wakiwa wajinga.
 
Chief kugundua tu kwamba we are being brain washed nayo ni hatua katika kujitambua lakini hatupaswi kuishia hapo, let's find out how they did so as we can undo it! It seems to me we are still stuck in the past, holding on to the tragedy that happened to us decades ago (kuingizwa utumwani + kutawaliwa)!

Tumekua watu wa lawama badala ya watu wa Kuya face matatizo yetu! We are always looking for who did what to us instead of accepting our reality and rising out of it.

Mimi sipo kwenye cage. Nipo huru kifrika na hili limenisaidia kuona mapungufu katika mengi kila siku. Namaanisha watu hawajui nini maana ya maisha na wapo kwenye kasumba miaka yao yote, kiasi cha kushindwa kufurahia maisha yao yote. Hii imechangiwa na fikra mbovu tulizolishwa na wazungu tangu enzi, achilia mbali wazungu sisi binafsi kushidwa kutoka nje ya box na kufikiria mbadala.

Mfano Kama mwafrika atapata mafua nakukimbilia piriton jua huyo ametekwa fikra,kama kuna mwafrika anaamini chanjo za kansa za kizazi kwa watoto wote waprimary zilizotolewa zinakinga kansa jua umetekwa kifikra,kama kuna mtu anaamini kua kuna mwafrika anaamini kuna kinga ya HIV jua umetekwa fikra, kama unakula na kunywa junk food na mwisho unasema unaugua kisukari na cancer jua umetekwa fikra na magonjwa mengine mengi.
Mwafrika umezungukwa na tiba kila pembe (mother nature) ila hutaki hizo tiba unakimbillia sumu za pharmacy industry zenye side effects za kuu good cells and bacteria. Je tukuite umeelimika sana?
Hivi hawa wazee wanaogonga mpaka 80s wakiwa kama vijana huku wakitumia mother nature kama tiba daily tuwaite wajinga?

Nasisitiza ukombozi unaoanzia kwenye afya ni bora sana kwani utawapa muda wakutambua mengine mkiwa imara siku zote.

Mengi yanaendelea sasa ambayo yawaangamiza watu japo media ndio zinazo chochea uongo huo mfano mzuri ni Ebola na ufeki wake na jinsi ngozi nyeusi inavyotumiwa kimaslahi na wazungu pamoja na chanjo za kansa za kizazi kwa watoto wa shule za msingi. Kwa staili hii wengi wasiokua na utayari wakupokea elimu mpya ndio wataangamia
 
Chief, kama unaamini kwamba watu kama Sudan +ancient Egypt waliweka records zao then why husidhani hata sisi zipo/zilikuwepo? I believe Afrika is so much more than what we know. Muumba wa huu Ulimwengu had a purpose to make this land so rich in everything kiasi kwamba hawezi kufanya kosa la kuumba wamiliki wa ardhi hiyo wakiwa wajinga.

Umeandika maneno yenye mantiki sana kuna soft copy ya kitabu cha Walter rodney, how Europe underdeveloped Africa nakutumia ni matumani yangu kitakupa mwanga. Usiwe na pupa kisome taratibu utakielewa.
 
Attachments

Mimi sipo kwenye cage. Nipo huru kifrika na hili limenisaidia kuona mapungufu katika mengi kila siku. Namaanisha watu hawajui nini maana ya maisha na wapo kwenye kasumba miaka yao yote, kiasi cha kushindwa kufurahia maisha yao yote. Hii imechangiwa na fikra mbovu tulizolishwa na wazungu tangu enzi, achilia mbali wazungu sisi binafsi kushidwa kutoka nje ya box na kufikiria mbadala.

Mfano Kama mwafrika atapata mafua nakukimbilia piriton jua huyo ametekwa fikra,kama kuna mwafrika anaamini chanjo za kansa za kizazi kwa watoto wote waprimary zilizotolewa zinakinga kansa jua umetekwa kifikra,kama kuna mtu anaamini kua kuna mwafrika anaamini kuna kinga ya HIV jua umetekwa fikra, kama unakula na kunywa junk food na mwisho unasema unaugua kisukari na cancer jua umetekwa fikra na magonjwa mengine mengi.
Mwafrika umezungukwa na tiba kila pembe (mother nature) ila hutaki hizo tiba unakimbillia sumu za pharmacy industry zenye side effects za kuu good cells and bacteria. Je tukuite umeelimika sana?
Hivi hawa wazee wanaogonga mpaka 80s wakiwa kama vijana huku wakitumia mother nature kama tiba daily tuwaite wajinga?

Nasisitiza ukombozi unaoanzia kwenye afya ni bora sana kwani utawapa muda wakutambua mengine mkiwa imara siku zote.

Mengi yanaendelea sasa ambayo yawaangamiza watu japo media ndio zinazo chochea uongo huo mfano mzuri ni Ebola na ufeki wake na jinsi ngozi nyeusi inavyotumiwa kimaslahi na wazungu pamoja na chanjo za kansa za kizazi kwa watoto wa shule za msingi. Kwa staili hii wengi wasiokua na utayari wakupokea elimu mpya ndio wataangamia

Spot on Chief!
Lakini kizungumkuti cha sasa ni kwamba we are in a new age, a new world, the .Com era! Yes, tumezungukwa na mother nature lakini sio mother nature timilifu like it used to be! How?! Sasa tunakula sumu kila sekunde ya maisha yetu! GMO inadunda duniani now mpaka vivijini inapiga hodi kwa mtindo wa pembejeo za kilimo (mbegu + mbolea), japo bado kuna vya asili 100% lakini ukiikwepa cancer, hewa chafu, mazingira machafu navyo vinakusubiri. ....our major pain & source of our lifetime misfortunes ni Wanasiasa wetu!

Na hii yote ni system, Haipo hivyo kwa bahati mbaya! Ndio maana nikasema "what if historia (% kubwa) hii tunayoisoma sasa kuhusu all the great white people + their legends, ni yetu sisi black people?!" Haupati even somekind of chill in your bones or a sore throat ukisoma some history?! Je hii lifetime brainwashing inayoendelea through tele'vision?! All those movies about white people and the future, what will happen is shows through movies?!?!!

My point is, I don't blame us so much, kwa sababu tumetoka mbali kama binaadam na mpaka sasa bado tunakwenda mbali, waafrika karibia dunia nzima tuko na one common enemy, [HASHTAG]#theunknown[/HASHTAG]! Something so bad must have happened to us, something so bad that our souls (old or young) are incomplete from the day we are born! I pray for the truth!!!!
 
Mkuu kiuhalisia hizo ni ngano za Wagiriki na kiuhalisia wagiriki ngano zao zinavutia sana. Ukiangalia zinavyoelezea mwanzo wa ulimwengu,dunia, kutokea kwa Mungu mpaka kutokea kwa binadamu.
myahudi ye hukopi ngano za wenzie, kisha anazipindua na kuzifanya za kwake,mifano ipo kibao, yeye kwa kifupi ni bingwa wa kupofua watu macho, wasiuone ukweli
angalia hadithi ya samsoni, ni mwigo wa hadithi ya kigiriki ya shujaa herakuli
 
Na hii yote ni system, Haipo hivyo kwa bahati mbaya! Ndio maana nikasema "what if historia (% kubwa) hii tunayoisoma sasa kuhusu all the great white people + their legends, ni yetu sisi black people?!" Haupati even somekind of chill in your bones or a sore throat ukisoma some history?! Je hii lifetime brainwashing inayoendelea through tele'vision?! All those movies about white pe
The best reflex and reflection...Siri ya mtu mweusi ni siri kuu ya uungu
 
DcMbmemV0AAzUG-.jpeg
 
Back
Top Bottom