Mkianza kuzungumzia CERN project mnitag wakuu
Hii hapa Chief
CERN
Kiufupi CERN ni
Conseil Européen pour la Recherche Nucléaire au European Organization for Nuclear Research. CERN inahusika na particle physics experiments ambapo ndo the largest machine in the world ambayo imejengwa underground kwa mzunguko wa 4700 miles imejengwa uswisi na kupitia katika mpaka wa ufaransa na uswisi.
CERN wamejenga Large Hadron Collider (LHC) kwa dhumuni la ku discover "GOD'S PARTICLES" au "Higg Boson". Kwa lugha nyepesi wanataka kujua particle inayo hold everything together (like atom ina neutron, electron na proton ambazo nazo zina subatomic zake kila moja, hivyo wanataka kujua the tiniest or smallest particle that is invisible but do exist, ambayo ndo higg boson experiment)
Kuielewa zaid CERN, yenyewe ndo ya kwanza kuanzisha world wide web "www", wao ilikuwa kwa ajili ya ma researchers kuwasiliana na bbade wakaitoa kwa public.
Turudi katika mada yetu, CERN wanafanya experiment za kugonganisha proton kwa proton ili kupata other particles katika detectors zao.
Wao CERN wanadai kwamba wakifanikiwa kupata God particles wataweza ku discover the door or a gateway ambayo wataweza ku discover vitu kutoka huko au kutuma kitu kwenda huko.
WHAT IS A GATEWAY OR A DOOR THAT CERN EXPECT TO DISCOVER?
Nikikurudisha nyuma kidogo kuhusu CERN, kuna kitu kinaitwa ANTIMATTER ambayo CERN imetengeneza LHC ili iweze ku discover ku hold na ku control anti matter. Inasemekana kuwa antimatter is very unstable so inaweza ikaleta destruction duniani. Hivyo kupitia antimatter wataeza kupata God's particle.
Hili ndo linalowaogopesha wengi kwa wanaofatilia kila wanachokifanya CERN, kwamba they want to create a portal au vortex ambayo ita link parallel universes.
Parallel universe kama inavotamkika ni universes ambazo hazikutani kabisa. Mfano sisi Binadamu ni certain dimension (to be exact 3rd Dimension beings) hivyo kuna Dimensions zingine ambazo hatuwez ku interact nazo. So mlango (a gateway) utakaopatika CERN utakuwa umeanzisha inter-dimension between different universes.
WHY IT BECAME A CONSPIRACY THEORY?
Kwanza kabisa CERN wameuita mwaka 2015 kuwa "INTERNATIONAL YEAR OF LIGHT". Kwamba lile swali tulilokuwa tunajiuliza kuhusu BIG BANG THEORY liko karibu kujibiwa maana pindi LHC ikiwashwa kwa energy kubwa ambayo ni 13 TERA ELECTRO VOLTAGE (13TeV) ambayo haijawahi kufanya kazi kwa nguvu hiyo ambapo itakuwa na uwezo wa kuzungusha proton kwa speed nearly speed ya mwaga (speed of light) ili kufanikisha collision kubwa haijawai tokea ili wapate God's particles ndipo watajua kuwa origin ya universe ni nini.
Pili kuna sanamu la Mungu wa Kihindi (SHIVA) katika Headquarter yake. Ukifatilia SANA kuhusu God Shiva ni Mungu wa kihindi mwenye maana ya "The Distroyer". Swali ni kwanini wameamua kumweka Shiva, Hivyo imebaki kuwa na majibu mengi ila majibu machache ni kwamba endapo watakapoweza kufungua huo mlango " a gateway" Shiva ambaye ndo the Distoryer ambaye pia anaaminika kuwa ndo Lucifer atatoka. Jibu lingine kwamba watatoka spritual beings ambazo ni demons ambapo watakufa watu wengi sana maana the only energy ya ku fungua mlango huo people's souls, jibu jengine ni kutoka kwa Antichrist ambaye atafanya wonders na watu kumfata, na la mwisho ni kukutana kwa mara ya kwanza na extraterrestrial beings.
MAWAZO MENGINE
Nikiingia katika iman ya kikristo yenye maelezo ambayo yanaweza kuipa mada hii changamoto ni Mnara wa babeli. Wengi tunajua habari ya mnara wa babeli ambao watu wa kale walijenga mnara ili kilele chake kifike mbinguni ili wasipate kutawanyika uson mwa dunia na wajiapatie jina kupitia hapo.
Mwanzo 11:
1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
3 Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
4 Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
5 Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
6 Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.
7 Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.
8 Basi Bwana akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.
Kwanza tupate kujua kuwa nia yao ilikuwa kufika Mbinguni na Bwana akasema hawa hawatazuiliwa kwa neno lolote ikimaanisha hawashindwi kitu kwa watakachoamua kukifanya hivyo akawabadili lugha.
Sasa waliwezaje kutaka kufanya mnara ufike Mbinguni wakati Mbinguni ni other than spiritual world? Na ukiangalia kwa sasa hivi ni ngumu kujenga mnara ambao utakaoweza fika mawinguni, sasa hao waliwezaje kutaka kujenga mnara ufike Mbinguni!!??
Well kwa mtazamo mwengine walikuwa wanajenga mlango wa kwenda mbiguni (walikuwa wanajenga kitu ambacho kina link different dimensions "a gateway" ) kama wanavyofanya CERN kwa sasa.
Hivyo Hii ya CERN ikifanikiwa na atakayetoka katika huo mlango ndo atakuwa the new Messiah ambaye ni Antichrist ambaye pia ni Nephilim (other claims that) - Nephilim ni offspring kati ya mwanadamu na fallen angels [DNA crossover].
Lakini ili uielewe zaidi hii kitu lazima uijue kwanza Project Blue Beam ila kwa kuwa uliitaka Cern ndio hivyo ilivyo japo ukisoma sana kuihusu utapata mkanganyiko mkubwa sana kuhusu malengo yao na nini taget yao
Kuhusu hiyo teleportation nadhani wamarekan wanatafuta kiki tu ili nao tujue wamo maana hata kama mwanzo iliua watu wengi wasingrshindwa kuendelea kuifanyia utafiti kwa kina zaidi hadi sasa hivyo wasitudanganye kabisa