Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

Naamini ilitokea kweli. Niliwahikusoma kitabu THE PHILADEPHIA EXPERIMENT/EXPERIMENT INVISIBLE. ni maelezo hayohayo uliyoyatoa. Ila Mshana Jr kwenye Hili hatoweza, kwa kwa hii quantum tunnelling physics. Not the dark side of it!
Inafanana sema wenzetu wanaitumia kwa maendeleo sisi hatutaki kuikuza
 
Sio kweli, kwanini wafiche Siri mpaka kuuana wakati wamefanikisha zoezi.
Hata wewe una mambo ya siri inategemea na faida au hasara ya kueleza hilo kwa mfano siri za wapi unatunza fedha utazianika hadharani si utakuwa umetoa nafasi kubwa ya kuvamiwa na adui mwizi
 
Mda utatubadirisha kama tunaamini uchawi mtu yupo dar anamloga mtu wa marekani kwa sekunde tena kwa kumfuata na kumuwangia kwanini tusiamini haya?

Hebu mfano tuiboreshe teknorojia ya uchawi huko sayari ya mass tunaweka soko unaaweka maji ya ugari jiko la gesi unafata unga soko lililopo Mass na utarudi maji hayajachemka.
Maana niliwahi ongea na mzee mmoja akaniambia anaweza enda Zanzibar na kurudi nikiwa nakula kijiko cha kwanza na akanikuta bado natafuna sijameza wala kuchota tonge ingine.
Duh hivi wachawi wanatumia teknolojia kama hiyo kwanni hairasimishwi ilo itusaidie kama taifa !! Maana naamini wazungu wanatumia ushirikina sana tu ila wanautumia kuwanufaisha sio kurogana kama sisi huku

Nliwahi ona kuna chuo kabisa wanafundishwa DARK ARTS kabisa ila huku bongo watu wanaoweza hizi mambo wanaishia kuteleport kwenda kuroga watu wakati wazungu wanatumia kubuni silaha za kuwasaidia vitani
 
Dunia ina mengi ya kutisha na kushangaza pengine kutuacha midomo wazi siku moja nilikuwa na Professor wa Canada tunajadiliana kuhusu uwezekano wa mwanadamu kusafiri katika sipidi ya mwanga kama itawezekana alichoniambia ni kuwa hivi vitu vitawezekana na kuna inchi zimeendelea sana kuna mifumo inafanya kazi kwa sipidi kubwa ni mda tu mambo mengi yatakuwa wazi akanipa mfano wa Operation Gothic ya Israel inaweza kushambulia popote katika Dunia kwa mda wa saa unaofanana bila kuona chanzo cha shambulio na umbali mkubwa hata katika mabara yote 7 kwa sekunde moja unafikiri hii technology ni ya aina gani?
Akanipa mfano Israel imewahi kushambulia karibu mataifa yote ya mashariki ya kati na inchi za kiarabu kwa mda mmoja na ilisimamisha kila kitu ktk anga ya mashariki ya kati na inchi zote za kiarabu.

Kuna mambo mengi tukiweza kuyataftia ufumbuzi tunaweza kushi umri wa miaka million kwa mfano tufanye uwezo wa kusafiri mara 2 kasi ya mwanga tutaenda kwenye jua kwa dakika .3⅔ . ukienda na kurudi utakuwa umetumia dakika 7 na ndani ya mda huu utarudi duniani utawakuta uliowaacha wote ni marehemu kwa vizazi 2 na vijana wa kizazi cha 5 na 4.
Lakini wewe umri wako ni dakika 7 ukiweka na mshangao wa kuikuta Dodoma ni jiji kama Beijing labda utumie dakika 30 itakubidi uende century A. nyota ya karibu utumie siku nzima 24masaa x 60dakika =1440dakika

1440dakika/7dakika = 205.714 x 70= 1439.99miaka ukirudi utumie 1439.99

=2879.998 miaka ya kwenda na kurudi Duniani
Kizazi chote ulichoacha hautakikuta kitakuwa kimetoweka lakini wewe umri wako itakuwa SAA 24+24+7dakika+30dakika

= 2 siku na dakika 37 ndio utakuwa umri wako sasa ili ufikishe miaka 70 utaishi mamilioni ya miaka mpaka kufa.

YAJAYO YANAFURAHISHA
Duuuh hii post imeshiba haswaaaa ila kwa faida ya sisi wasomaji je mtu akiweza kwenda kwa spidi zaidi ya mwanga ina affect Vipi muda??

Yaani kwanni utumie dakika 7 pekee alafu ukirudi Duniani eti ukute miaka million imepita!! Kuna effect gani hapo kati ya SPACE and TIME utujuze

Kingine kuna majini wachawi n.k wanaoweza kutoka nje ya anga na kurudi ina maana nao wakiweza kwenda jua na kurudi watakuta miaka imesogea?? Au hizi ni scenario mbili tofauti

Karibu
 
Aseee ndio maana nlileta huu uzi JF intelligence.... Finally someone's talking about project CERN empu tupe mbili tatu kuhusu hiyo mambo

Nkirudi kwenye mada..... Ni kweli kama ulivosema state teleportation haiwezekani na wanadai hata ikitokea mwanadamu akiweza kuteleport atafika akiwa amekufa!! Maana ni lazima awe dissaassembled pale alipo na awe assembled mahali pengine upya so lazma afe kwanza !!! Hapo ndipo nilichoka kabisa

Ila yote kwa yote je tukio hili ni la kweli?? Au chumvi tu ili marekani iogopeke
Naamini ni mda lakini wakati utafika mengi yatawezekana
 
Hii hapa Chief

CERN
Kiufupi CERN ni Conseil Européen pour la Recherche Nucléaire au European Organization for Nuclear Research. CERN inahusika na particle physics experiments ambapo ndo the largest machine in the world ambayo imejengwa underground kwa mzunguko wa 4700 miles imejengwa uswisi na kupitia katika mpaka wa ufaransa na uswisi.

CERN wamejenga Large Hadron Collider (LHC) kwa dhumuni la ku discover "GOD'S PARTICLES" au "Higg Boson". Kwa lugha nyepesi wanataka kujua particle inayo hold everything together (like atom ina neutron, electron na proton ambazo nazo zina subatomic zake kila moja, hivyo wanataka kujua the tiniest or smallest particle that is invisible but do exist, ambayo ndo higg boson experiment)
Kuielewa zaid CERN, yenyewe ndo ya kwanza kuanzisha world wide web "www", wao ilikuwa kwa ajili ya ma researchers kuwasiliana na bbade wakaitoa kwa public.
Turudi katika mada yetu, CERN wanafanya experiment za kugonganisha proton kwa proton ili kupata other particles katika detectors zao.

Wao CERN wanadai kwamba wakifanikiwa kupata God particles wataweza ku discover the door or a gateway ambayo wataweza ku discover vitu kutoka huko au kutuma kitu kwenda huko.

WHAT IS A GATEWAY OR A DOOR THAT CERN EXPECT TO DISCOVER?
Nikikurudisha nyuma kidogo kuhusu CERN, kuna kitu kinaitwa ANTIMATTER ambayo CERN imetengeneza LHC ili iweze ku discover ku hold na ku control anti matter. Inasemekana kuwa antimatter is very unstable so inaweza ikaleta destruction duniani. Hivyo kupitia antimatter wataeza kupata God's particle.
Hili ndo linalowaogopesha wengi kwa wanaofatilia kila wanachokifanya CERN, kwamba they want to create a portal au vortex ambayo ita link parallel universes.
Parallel universe kama inavotamkika ni universes ambazo hazikutani kabisa. Mfano sisi Binadamu ni certain dimension (to be exact 3rd Dimension beings) hivyo kuna Dimensions zingine ambazo hatuwez ku interact nazo. So mlango (a gateway) utakaopatika CERN utakuwa umeanzisha inter-dimension between different universes.

WHY IT BECAME A CONSPIRACY THEORY?
Kwanza kabisa CERN wameuita mwaka 2015 kuwa "INTERNATIONAL YEAR OF LIGHT". Kwamba lile swali tulilokuwa tunajiuliza kuhusu BIG BANG THEORY liko karibu kujibiwa maana pindi LHC ikiwashwa kwa energy kubwa ambayo ni 13 TERA ELECTRO VOLTAGE (13TeV) ambayo haijawahi kufanya kazi kwa nguvu hiyo ambapo itakuwa na uwezo wa kuzungusha proton kwa speed nearly speed ya mwaga (speed of light) ili kufanikisha collision kubwa haijawai tokea ili wapate God's particles ndipo watajua kuwa origin ya universe ni nini.

Pili kuna sanamu la Mungu wa Kihindi (SHIVA) katika Headquarter yake. Ukifatilia SANA kuhusu God Shiva ni Mungu wa kihindi mwenye maana ya "The Distroyer". Swali ni kwanini wameamua kumweka Shiva, Hivyo imebaki kuwa na majibu mengi ila majibu machache ni kwamba endapo watakapoweza kufungua huo mlango " a gateway" Shiva ambaye ndo the Distoryer ambaye pia anaaminika kuwa ndo Lucifer atatoka. Jibu lingine kwamba watatoka spritual beings ambazo ni demons ambapo watakufa watu wengi sana maana the only energy ya ku fungua mlango huo people's souls, jibu jengine ni kutoka kwa Antichrist ambaye atafanya wonders na watu kumfata, na la mwisho ni kukutana kwa mara ya kwanza na extraterrestrial beings.

MAWAZO MENGINE
Nikiingia katika iman ya kikristo yenye maelezo ambayo yanaweza kuipa mada hii changamoto ni Mnara wa babeli. Wengi tunajua habari ya mnara wa babeli ambao watu wa kale walijenga mnara ili kilele chake kifike mbinguni ili wasipate kutawanyika uson mwa dunia na wajiapatie jina kupitia hapo.
Mwanzo 11:1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
3 Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
4 Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
5 Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
6 Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.
7 Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.
8 Basi Bwana akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.


Kwanza tupate kujua kuwa nia yao ilikuwa kufika Mbinguni na Bwana akasema hawa hawatazuiliwa kwa neno lolote ikimaanisha hawashindwi kitu kwa watakachoamua kukifanya hivyo akawabadili lugha.

Sasa waliwezaje kutaka kufanya mnara ufike Mbinguni wakati Mbinguni ni other than spiritual world? Na ukiangalia kwa sasa hivi ni ngumu kujenga mnara ambao utakaoweza fika mawinguni, sasa hao waliwezaje kutaka kujenga mnara ufike Mbinguni!!??

Well kwa mtazamo mwengine walikuwa wanajenga mlango wa kwenda mbiguni (walikuwa wanajenga kitu ambacho kina link different dimensions "a gateway" ) kama wanavyofanya CERN kwa sasa.
Hivyo Hii ya CERN ikifanikiwa na atakayetoka katika huo mlango ndo atakuwa the new Messiah ambaye ni Antichrist ambaye pia ni Nephilim (other claims that) - Nephilim ni offspring kati ya mwanadamu na fallen angels [DNA crossover].

Lakini ili uielewe zaidi hii kitu lazima uijue kwanza Project Blue Beam ila kwa kuwa uliitaka Cern ndio hivyo ilivyo japo ukisoma sana kuihusu utapata mkanganyiko mkubwa sana kuhusu malengo yao na nini taget yao

Kuhusu hiyo teleportation nadhani wamarekan wanatafuta kiki tu ili nao tujue wamo maana hata kama mwanzo iliua watu wengi wasingrshindwa kuendelea kuifanyia utafiti kwa kina zaidi hadi sasa hivyo wasitudanganye kabisa
Haya mambo yapo na yanawezekana kadiri mda unavyojongea uelewa unaongezeka nyuma ya pazia kunafunguka hii project ya CERN naamini Mungu asipochafua lugha huko mbele ukweli utajulikana.

Mkuu hawa wa Marekani siyo propaganda ukiiangalia project walizo Fanya na kufanikiwa haiyumkini huenda na hiki wamefanikiwa maana wao maisha yao ni kutafta utofauti wa kufikiri na kufanya na tunaishi katika ulimwengu uliofunguliwa fursa za kujifunza na kufanya naamini tumeshindwa kutumia fursa ndio maana mengi yaliyo nyuma ya pazia imekuwa ngumu kuyaamini lakini kadiri mda unavyojongea mengi tutayajua na kuyaona ila amini kuwa mengi yatabaki kuonekana kwetu kama kiini macho kwasababu wa Africa wengi bado tuna adui Ujinga,Njaa na Maradhi tukishinda haya tutafungua mlango wa pili wa UFAHAMU
 
Duh hivi wachawi wanatumia teknolojia kama hiyo kwanni hairasimishwi ilo itusaidie kama taifa !! Maana naamini wazungu wanatumia ushirikina sana tu ila wanautumia kuwanufaisha sio kurogana kama sisi huku

Nliwahi ona kuna chuo kabisa wanafundishwa DARK ARTS kabisa ila huku bongo watu wanaoweza hizi mambo wanaishia kuteleport kwenda kuroga watu wakati wazungu wanatumia kubuni silaha za kuwasaidia vitani
Ni kweli kama Mshana Jr. angetumia elimu yake aliyoipata kuwaweka pamoja wachawi na kuwapa ushawishi leo hii tz tungekuwa wa kwanza kufanya safari ya kwenda Mass lakini amefika dar amebadiri nia sasa nikufundisha uchawi wa kuagua ile nia safi ya kuigeuza uchawi kuwa sayansi ya fizikia ameshindwa
Sasa sijui wao wana dunia yao wanasafiri ila hawataki kusema labda mtu ukijaribu kuwa mchawi utajua ukweli lakini haiingii akilini ati uwe mchawi msomi kama mshana kwa ajiri ya kula nyama ya mtu.
Au huenda kula nyama ya mtu kunafunua mambo mengine ya siri inje ya pazia.
 
CERN ni muunganiko wa nchi za ulaya kwenye tafiti za masuala ya particles ina maana hadi masuala ya anti-matter yanafanyika pale. Masuala yote ya vitu vinavyohusu utafiti mkubwa zaidi wa Particles yanafanyika kwao, wana mtambo mkubwa unatoka Ufaransa hadi Uswiss ndani yake ndio hizo particle zinapotestiwa.
Kuongezea ndipo internet (world wide web) ilipozaliwa.
Kuna baadhi ya conspirancies zinasema kupitia majaribio ya CERN tunaweza fungua mlango wa ulimwengu nyingine ambapo tunaweza leta demons na viumbe vingine kuharibu ulimwengu wetu!. Pia wanasema ndio Teknolojia ya Time travel inapoweza kuja tokea!.
Lakini kubwa ni hilo la utafiti wao wa Anti-matter kuweza sababisha madhara kwa dunia yetu!.
Hizi chumvi za teleportation ni kama kiki zetu bongo tu; Tukitaka divert kitu tunatoa jambo lingine!.. Lakini wao wameweza kuziweka kiki zao zikakaa kwenye mainstream.
Duuh si mchezo,kweli jamaa zetu wako vizuri sana,hasa hapo kwenye hyo ishu ya time travel,inawezekana kweli..hatari sana
 
Duuuh hii post imeshiba haswaaaa ila kwa faida ya sisi wasomaji je mtu akiweza kwenda kwa spidi zaidi ya mwanga ina affect Vipi muda??

Yaani kwanni utumie dakika 7 pekee alafu ukirudi Duniani eti ukute miaka million imepita!! Kuna effect gani hapo kati ya SPACE and TIME utujuze

Kingine kuna majini wachawi n.k wanaoweza kutoka nje ya anga na kurudi ina maana nao wakiweza kwenda jua na kurudi watakuta miaka imesogea?? Au hizi ni scenario mbili tofauti

Karibu
Kwa faida ya kujifunza itabidi tutumie tafsiri nyepesi na kwa mifano jinsi kasi na anga inayoathiri muda.

Mfano1: Ukiona nyota angani muonekano huu ni miaka mamilioni iliyopita mpaka mwanga umetoka huko kutufikia Duniani sasa hii nguvu ya kasi ya mwendo wa mwanga sasa leo nyota ya ukubwa wa jua ikiumbika leo katika umbali kama lilipo Jua ikalipua mwanga katika kiini chake huo mwanga utatufikia takribani miaka milioni 3 hapa tulipo.

Sasa hapa ikatokea chombo kinasafiri kwa kasi ya Mara 2 ya mwanga kinaweza kutumia

Miaka 3,000,000/466,666.666 sekunde itakuwa ameona huo mwanga kwa sekunde 6.5 hapa kilicho athiri muda ni kasi ya kusafiri na akifika huko akarudi duniani mda atakuta ni miaka million 3 inawezekana akakuta hakuna watu Yesu alishawachukua wote itabidi utafte walikoelekea uwafuate na kama wanasafiri kwa mwendo wa kasi ya mwanga Mara moja unaweza ukawakuta ½ ya safari ukawapita wakakukuta ulishafika kwa mda kitambo.

Kama sitaeleweka nitatafta kiswahili fasaha ili niitendee haki hii mada
VY-Canis-Majoris-vs-Sun-640x400~2.jpg
 
Back
Top Bottom