Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

Naamini ilitokea kweli. Niliwahikusoma kitabu THE PHILADEPHIA EXPERIMENT/EXPERIMENT INVISIBLE. ni maelezo hayohayo uliyoyatoa. Ila Mshana Jr kwenye Hili hatoweza, kwa kwa hii quantum tunnelling physics. Not the dark side of it!
Inafanana sema wenzetu wanaitumia kwa maendeleo sisi hatutaki kuikuza
 
Sio kweli, kwanini wafiche Siri mpaka kuuana wakati wamefanikisha zoezi.
Hata wewe una mambo ya siri inategemea na faida au hasara ya kueleza hilo kwa mfano siri za wapi unatunza fedha utazianika hadharani si utakuwa umetoa nafasi kubwa ya kuvamiwa na adui mwizi
 
Duh hivi wachawi wanatumia teknolojia kama hiyo kwanni hairasimishwi ilo itusaidie kama taifa !! Maana naamini wazungu wanatumia ushirikina sana tu ila wanautumia kuwanufaisha sio kurogana kama sisi huku

Nliwahi ona kuna chuo kabisa wanafundishwa DARK ARTS kabisa ila huku bongo watu wanaoweza hizi mambo wanaishia kuteleport kwenda kuroga watu wakati wazungu wanatumia kubuni silaha za kuwasaidia vitani
 
Duuuh hii post imeshiba haswaaaa ila kwa faida ya sisi wasomaji je mtu akiweza kwenda kwa spidi zaidi ya mwanga ina affect Vipi muda??

Yaani kwanni utumie dakika 7 pekee alafu ukirudi Duniani eti ukute miaka million imepita!! Kuna effect gani hapo kati ya SPACE and TIME utujuze

Kingine kuna majini wachawi n.k wanaoweza kutoka nje ya anga na kurudi ina maana nao wakiweza kwenda jua na kurudi watakuta miaka imesogea?? Au hizi ni scenario mbili tofauti

Karibu
 
Naamini ni mda lakini wakati utafika mengi yatawezekana
 
Haya mambo yapo na yanawezekana kadiri mda unavyojongea uelewa unaongezeka nyuma ya pazia kunafunguka hii project ya CERN naamini Mungu asipochafua lugha huko mbele ukweli utajulikana.

Mkuu hawa wa Marekani siyo propaganda ukiiangalia project walizo Fanya na kufanikiwa haiyumkini huenda na hiki wamefanikiwa maana wao maisha yao ni kutafta utofauti wa kufikiri na kufanya na tunaishi katika ulimwengu uliofunguliwa fursa za kujifunza na kufanya naamini tumeshindwa kutumia fursa ndio maana mengi yaliyo nyuma ya pazia imekuwa ngumu kuyaamini lakini kadiri mda unavyojongea mengi tutayajua na kuyaona ila amini kuwa mengi yatabaki kuonekana kwetu kama kiini macho kwasababu wa Africa wengi bado tuna adui Ujinga,Njaa na Maradhi tukishinda haya tutafungua mlango wa pili wa UFAHAMU
 
Ni kweli kama Mshana Jr. angetumia elimu yake aliyoipata kuwaweka pamoja wachawi na kuwapa ushawishi leo hii tz tungekuwa wa kwanza kufanya safari ya kwenda Mass lakini amefika dar amebadiri nia sasa nikufundisha uchawi wa kuagua ile nia safi ya kuigeuza uchawi kuwa sayansi ya fizikia ameshindwa
Sasa sijui wao wana dunia yao wanasafiri ila hawataki kusema labda mtu ukijaribu kuwa mchawi utajua ukweli lakini haiingii akilini ati uwe mchawi msomi kama mshana kwa ajiri ya kula nyama ya mtu.
Au huenda kula nyama ya mtu kunafunua mambo mengine ya siri inje ya pazia.
 
Duuh si mchezo,kweli jamaa zetu wako vizuri sana,hasa hapo kwenye hyo ishu ya time travel,inawezekana kweli..hatari sana
 
Kwa faida ya kujifunza itabidi tutumie tafsiri nyepesi na kwa mifano jinsi kasi na anga inayoathiri muda.

Mfano1: Ukiona nyota angani muonekano huu ni miaka mamilioni iliyopita mpaka mwanga umetoka huko kutufikia Duniani sasa hii nguvu ya kasi ya mwendo wa mwanga sasa leo nyota ya ukubwa wa jua ikiumbika leo katika umbali kama lilipo Jua ikalipua mwanga katika kiini chake huo mwanga utatufikia takribani miaka milioni 3 hapa tulipo.

Sasa hapa ikatokea chombo kinasafiri kwa kasi ya Mara 2 ya mwanga kinaweza kutumia

Miaka 3,000,000/466,666.666 sekunde itakuwa ameona huo mwanga kwa sekunde 6.5 hapa kilicho athiri muda ni kasi ya kusafiri na akifika huko akarudi duniani mda atakuta ni miaka million 3 inawezekana akakuta hakuna watu Yesu alishawachukua wote itabidi utafte walikoelekea uwafuate na kama wanasafiri kwa mwendo wa kasi ya mwanga Mara moja unaweza ukawakuta ½ ya safari ukawapita wakakukuta ulishafika kwa mda kitambo.

Kama sitaeleweka nitatafta kiswahili fasaha ili niitendee haki hii mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…