Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

[emoji116]
"The mean distance of the Sun's center to Earth's center is approximately 1 astronomical unit (about 150,000,000 km; 93,000,000 mi), though the distance varies as Earth moves from perihelion in January to aphelion in July. At this average distance, light travels from the Sun's horizon to Earth's horizon in about 8 minutes and 19 seconds, while light from the closest points of the Sun and Earth takes about two seconds less."
 
ASEEE hebu nitafsirie
Then tueleweshane
 
Duuuuh kumbe time travel hapo itawezekana!!! Mbona sayansi imegeuka uchawi tena 😀😀😀?? Kumbe science ni deep sana kiasi hiki.....

All in all wormhole inawezekana au na yenyewe inahitaji mtu asafiri kwa speed of light !!
Mkuu sayansi sio uchawi hizo ni mada mbili tofauti, only consipirators ndii hupenda zilink kutafuta relief!.
Wormhole ni kifo cha planet so mtu/kitu hakiwezi ingia kwenye mzunguko kikasurvive after!. Yani kitazungushwa to and fro lakini mwisho wake kitapotea!.
 
Hahahahhaa mkuu Umeongea kwa mafumbo sana ila nmekuelewa ...... inaonekana unafahamu mambo mengi sana ila sijui kwanni hupendi kufunguka kwa uwazi

Mabadiliko huja kwa sacrifice!!! Kuna watu kumbuka walijitolea maisha yao ili experiment za high risk kma hizi ziweze kuwa reality so what are you waiting for!!!
 
ASEEE hebu nitafsirie
Then tueleweshane
Kutoka katikati ya Jua hadi katikati ya Dunia kuna umbali wa kilometa milioni 150.
Kwa umbali huo, mwanga kutoka kwenye Jua kuja Duniani ni dakika 8 sekunde 19.
wakati mwanga kwenye umbali pande zinapokuwa karibu zaidi kati ya Jua na Dunia ni chini ya sekunde 2
 
Mkuu zitto kuna mambo Huwa yamepangwa kutokea/kufanyika baada ya muda Fulani!
Kuwa makini sana Na hizi sci-movie coz Huwa zinaakisi uhalisia wa kitu baada ya muda Fulani!
Ulimwengu utakuja kufumuliwa Na process ya kuufumua ilianza kitambo!
Ngoja kwanza Nguvu KUU. Iache Ku balance Natural ya ulimwengu
Ndipo vimbwanga vitaanza kutokea !
Nasubiri kuona ulimwengu ukiendeshwa chini&juu!
 
Na wewe utapotezwa hivyo hivyo kama huyo jessup, we andika andika tu, kama huyo jessup kumbe ma CIA yanakuwatch tu
 
Sahihi kabisa
Ulikuwa unapinga impogo aliposema ni umbali wa mamilion ya miaka?
 
Yeah nakubaliana na ww ila kwa layman wa sayansi ukimueleza possibility ya mtu kuteleport..... Uwezo wa kucontrol weather kama HAARP !!! Uwezekano wa kusafiri kwa speed ya mwanga lazima aone uchawi umetumika sio calculations au laws of physics

Nliona documentary flani kuhusu costume za kijeshi ambazo zinafanya mwanajeshi awe completely vanished kwenye uwanja wa vita!!! Yaani inakuwa kma ya kioo hivi hivo ukikaa kwenye mazingira yoyote inareflect image ya background so mwanajeshi huonekani!!!! Kwa bongo ukituambia si tunaona ni sawa na uchawi tu !!!
 
Na wewe utapotezwa hivyo hivyo kama huyo jessup, we andika andika tu, kama huyo jessup kumbe ma CIA yanakuwatch tu
Hahahahaha hiyo ilikuwa enzi zake siri haijavuja ila keshaandika vitabu so haijawa siri tena maana wamevisoma wengi so watamuua nani wamuache nani !!
 
Sahihi kabisa
Ulikuwa unapinga impogo aliposema ni umbali wa mamilion ya miaka?
Umeelewaje hii statement [emoji116]
 
hiyo Philadelphia experiment nimeisoma sehemu ngoma ilikubali na walifanya Mara mbili kama kutest na ikatik ila mara ya kwanza watu walikufa bila kutegemea na mara ya pili watu hawakufa sema waliwaflash ubongo watu waliokuwa ndani ya meli ili kuficha siri

nikipata muda nitaleta hako story
 
Bado mkuu haujapoa ndio kwanza hawa haujamaliza wiki.... Embu funguka utupe mwanga kama haya madude ya teleportation ya object yanawezekana kisayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…