Francis3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 462
- 1,629
2.1
ACE
ACE huleta pamoja timu ya kimataifa ya wanafizikia, wanabiolojia na madaktari kutafiti madhara ya kibiolojia ya antiprotons
The Antiproton Cell Experiment (ACE) ilianza mwaka 2003 na ilikamilishwa mwaka 2013. Ilikuwa na lengo la kuchunguza kikamilifu ufanisi na ubora wa antiprotons kwa tiba ya kansa. Jaribio lilileta pamoja timu ya wataalamu katika fizikia, biolojia na dawa kutoka taasisi 10 duniani kote ambao walikuwa wa kwanza kusoma madhara ya kibiolojia ya antiprotons.
Hadi sasa, particle-beam therapy inatumia hasa protoni kuharibu seli za saratani. particle hupelekwa kwenye mwili wa mgonjwa with a pre-dertermined amount of energy,ambacho kitastop kufikia kina maalum cha tumor. Wakati beam of heavy charged particles, inapoingia mwilini mwa mwanadamu, inasababisha uharibifu mdogo sana. Tu katika milimita chache ilipo safiri, kama beam zinaisha taratibu/polepole na baadae kustop kwa ghafla hakuna uharibifu utakaotokea. Ila Kwa bahati mbaya, ingawa beam huharibu kansa na inaathiri seli za afya kando ya njia yake, hivyo uharibifu wa tishu huongezeka kama matibabu yatakuwa ya kurudia kurudia.
Jaribio la ACE lilitest wazo la kutumia antiprotons kama matibabu mbadala, kwa kulinganisha moja kwa moja na ufanisi wa cell irradiation kwa kutumia proton na antiprotons. Ikiwa matter (in this case, the tumor cell) na antimatter ( the antiprotons) meet, and they annhilate (zinaribiana kila moja zinapokutana), na kubadilisha maumbile yao katika nishati. Lengo ni kutumia hii athari hii, kuruhusu antiproton kuangamiza na sehemu ya kiini cha atomi katika seli ya saratani. Nishati iliyotolewa ili kupiga nucleus na kutekeleza vipande ndani ya seli za saratani zilizo karibu, ambazo zinapaswa kuharibiwa.
Katika jaribio,tubes were filled with cells suspended in gelatin to stimulate a cross-section of tissue inside a body. Watafiti walituma beam za protoni au antiprotons na sentimita mbili katika maji kwenye mwisho mmoja wa tube, na kuchunguza seli zinazoendelea kuishi
ACE ni mfano mzuri wa jinsi utafiti katika physics particle inaweza kuleta ufumbuzi wa ubunifu na manufaa ya matibabu. Hata hivyo, mchakato wa uthibitisho wa matibabu bado si wa kuamini unapaswa kuangaliwa kwa mapana . Hata kama utafiti huu uliendelea, ila inaweza kuchukua miaka kadhaa baada ya application kliniki ya kwanza kuafanyika hivyo huenda kuna madhara .


