Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

Philadelphia EXPERIMENT
MAELEZO YAKE NA UDHIBITISHO KUWA JARIBIO LILIFANYIKA

Hili ni jaribio linalodaiwa kufanywa na U.S navy huko Philadelphia katika shipyard ilikuwa ni around October 28, 1943.
Wanajeshi U.S navy waliokuwa wanajulikana kama destroyer escort inadaiwa kuwa meli yao iliyotambulika kama [USS ELDRIDGE(DE-173)] ilifanywa kutoonekana (invisible) kwa maadui;
Story hizi zilianza kujulikana kwenye mwaka 1955 baada ya barua kutumwa kwa mnajimu Morris K Jessup hii habari ilionekana kama ni utani kwa sababu kulikuwa hakuna fact za msingi zinazoonesha kuwa hili jaribio lilifanyika.
Mwaka 1955 mnajimu Morris K Jessup alichapa kitabu chake chenye kichwa hichi “THE CASE FOR THE UFO” [UFO= Unidentified flying object]. Jessup alitumia barua mbili alizozipata kwa Carlos Miguel Allende ambaye alijitambulisha mwenyewe kama Carl M. Allen huyu inasemekana aliona siri kubwa katika vita ya pili ya dunia, Allende alidai kuwa meli ya U.S navy (destroyer escort) ambayo ni USS ELDRIDGE(DE-173) ilifanywa isionekane na kuweza kuteleportiwa NEWYORK, ila jambo hili lilisababisha vifo kwa watu waliokuwa ndani ya hiyo meli.
Mwaka 1957 Jessup aliwasiliana na watafiti wa navy (OFFICE OF NAVAL RESEARCH [ONR]) huko Washington DC na alipewa kitini kilichoonyesha muendelezo na ufafanuzi wa mambo yaliyokuwa kwenye kitabu chake “THE CASE FOR THE UFO” na kitini kilikuwa kwenye bahasha iliyokuwa imeandikwa “ HAPPY EASTER”. ufafanuzi ulikuwa umetolea maelezo baadhi ya sehemu kwenye kitabu chake, maandishi ya mwandikaji yalikuwa yameandikwa kwa wino wa pink, ila hand writing ilikuwa tofautitofauti inaonesha kama hand writing style zilikuwa aina tatu, kuonesha kwamba kwamba hizo detail zimetolewa na watu watatu tofauti.
Kati ya watu hao watatu mmoja tu ndio alijitambulisha kwa jina kama Jemi, Office Of Naval Research iliwatambulisha hao wengine kama Mr. A na Mr. B, Wote kwa pamoja walidai kuwa wao ni waroma (gypsies) wanaishi ulaya lakini orgin yao ni north india. Watu hao watatu (wafafanuzi) walikuwa wanajadili kuhusu watu wa aina mbili wanaoishi nje ya mizazi ya dunia. (story haikuendelea kwenye article niliyokuwa nasoma hivyo wew unaweza kutafuta hii sehemu ukatulisha wanajamvi tujue walijadili nini kuhusu watu hao wanaoishi kwenye outer space ila tusonge mbele)
Katika maandishi ya wafafanuzi hao hawakufuata mtindo mzuri wa uandishi ila kwa kiwango kikukubwa walikuwa wanatoa maelezo ya assumption za Jessups kwenye kitabu chake , Wafafanuzi walidai kuwa kuna majaribio ya ukweli kuhusiana na hilo jambo pia kuna udhibitisho kuwa Philadelphia experiment ilifanyika nakufanikiwa kwa kiwango kikubwa; MR. B alitoa theory na factual information ambazo Jessup alikuja kuziboresha.
Jessup pia aligundua kuwa sehemu kubwa ya ufafanuzi uliokuwa kwenye barua uliandikwa na allendes kutokana na kuangalia mtindo wake wa uandishi (hand writing), pia Office Of Naval Research ilimpa Jessup kitini kidogo chenye printing page 100 ambacho kinaonekana kilitenngenezwa na Varo Manufacturing Campany na kuhaririwa na varo ( Varo Edition) na wao walikiita Varo Annotation.
Jessup alijaribu kuchapa vitabu vyake ambavyo kichwa chake kilikuwa ni UFOs ila hakufanikiwa kutokana na kukosa wachapishaji na baadae Jessup aliuawa florida april 30, 1959 kwa kuwekewa sumu kwenye gari pia kabla ya hapo Jessup alishatengenezewa ajali ya gari hukohuko florida ila hakufa.
MWANGA JESSUP ALIOUACHA NA USHUHUDA PAMOJA NA UDHIBITISHO KWA WATAFITI WENGINE
Mwaka 1963 Vicent gaddis alichapisha kitabu ambacho kilikuwa na kichwa hichi “INVISIBLE HORIZONS: THE MYSTERIES OF THE SEA” alitumia information alizozipata kwenye varo annotation, pia mwaka 1978 Georg E. Simpson na Neal R. Burger walichapa kitabu ambacho kilikuwa kina kichwa hichi “THIN AIR” hiki kitabu kipo mpaka leo lakini naval Investigative Service Officer[ISO] wanadai kuwa sehemu kinapoonesha nadharia ya jaribio la kutokuonekana kwa meli kipindi cha vita ni kwamba wanajaribu kubadilisha na kupindua vibaya technologia inayohusisha kusafirisha maada (CONSPIRACY).
Mwaka 1979 hizi habari zilivuma kwa kwa kasi sana ambapo mwandishi Charles Berlilitz alichapa kitabu chake ambacho kina factual information na alikiita “THE PHILADELPHIA EXPERMENT: PROJECT INVISIBILITY”, kitabu hiki kilihusisha maelezo ya UNIFIED FIELD THEORY [UFT] iliyotolewa na Albert Einstein. Berlitz pia alieleza mapungufu na ubovu wa serikali juu ya barua za Allende/ Allen kwa Jessup
Berlititz kuna sehemu pia alikosolewa na navy technician (Thomas Townsend brown) hicho kipengele kilihusu field force pia baada ya muda kidogo Paul Violettes aliandika kitabu alichokiita scret of ant-gravity propulsion kuonesha vitu ambavyo navy technician alikuwa amevificha kwa Berlititz, hivyo contradiction kwenye nadharia zilizo kwenye kitabu cha Berlititz zilisawazwa.(mwanajamvi unaweza kutafuta hiki kitabu cha berlititz alikuwaameandika nini ukatujuza)
Hii story iliendelea mpaka mwaka 1984 kipindi hiki Stewart Raffill alisema kuwa hizi filamu zinazotembea kwa wakati ndio Philadelphia experiment, hii ni baada ya kushindwa kujua chanzo chanzo maalumu cha jaribio ndipo akajaribu kuangalia vitu vinavyoendana na jaribio. Mwaka 1990 alipata kusurpotiwa na Alfred bielek ambaye alidai yeye alikuwa kwenye meli hiyo na pia alishiriki kwa kiwango Fulani kwenye hiyo experiment, pia Alfred alikubali mawazo ya stewart kuhusu film zinazoonekana kama mainstream outlet za picha na Stewart alipozifananisha na Philadelphia experiment hajakosea techniques zinagonga huko huko
(MPAKA HAPO UJUE HII EXPERIMENT ILIFANYIKA NA ILIKUBALI SEMA NI SIRI KWA U.S NAVY NDIO MAANA KUNA WAKOSOAJI WAKATI WATU WAKIANDIKA VITABU NA WENGINE KUAWA (NA HAWA WAKOSOAJI NADHANI WANAWACHORA WAANDISHI KUJUA KAMA WANAFULL INFORMATION KUHUSU EXPERMENT, PIA WAKOSOAJI WANAJARIBU KUFANYA HIVYO HUENDA WANAWEZA KUPATA KNOWNLEDGE KUBWA ILI KUMODIFY SYSTEM) ILA TUENDELEE NA STORY)
Baada ya mkanganyiko mkubwa hii experiment iligundulika imebase kwenye kwenye unified field theory by albert Einstein ambayo ilikuwa inahusisha uniting field of electromagnetism and gravity into single field (wanajamvi unaweza kuicheki hiyo theory na kutufafanulia hapa mimi sijaitafuta nimekosa muda)
Baadhi ya researcher wamedai kwenye hii technologia inahusisha matumizi ya large electrical generator ili kukunja miale ya mwanga (bend-light) kuzunguka kitu kwa kufanya refraction na kusabisha hicho kitu kisionekane kabisa, Navy waliona hii experiment inafaida kubwa kijeshi hivyo wakasidia experiment kukamilika. Watafiti wengine wanasema pia experiment ilihusisha vipimo vya magnetic na gravitational field kwenye sea floor vipimo vilichukuliwa ili kupata anomalies na hii pia inaonekana bado imebase kwenye nadharia za Einstein , Pia jaribio hili lilishafanywa na Nazi Germany wakati wakitafuta ant-gravity (idea ya kuunda kitu kinachotembea bila kuathiriwa na gravity) hili jaribio liliongozwa kwa siri na Obergruppenfuhrer ambaye alikuwa leader wa nazi kipindi hicho.
Hakuna maelezo ya moja kwa moja ila experiment ilifanyika na ilikamilika kabisa
JINSI JARIBIO LILIVYOFANYIKA
Testing ilifanyika kipindi cha kiangazi mwaka 1943 na na jaribio lilifaulu kwa kiwango kikubwa na meli iliweza kupotezwa na kukaribia kutoonekana, kilichoonekana ni kama mawingu au moshi wenye ukijani hatimaye ikapotea na waliokuwa kwenye meli walilalamika vichwa kuwauma pamoja na kizunguzungu. Pia ilirepotiwa meli ilipotokea upya watu waliokuwa kwenye meli walikutwa wamenata kwenye vyuma na wengine kutokuonekana hii ni kutokana na navy kutofanya vizuri wakati wa kuandaa jaribio, pia technologia yao haikusaidia vizuri meli isionwe na radar (steath technology).
Experiment ilirudiwa tena kwa sababu mwanzo makadirio hayakuwa mazuri, October 28 mwaka 1948 ndipo ilirudiwa kipindi hichi meli (ELDRIDGE) haikuonekana hata kidogo ili disappear ile sehemu kama flash blue light na iliteleportiwa hadi Norfolk, Virginia ambapo ni mile 200 (320km) kutoka ilipokuwa mwanzo ndipoilipoonekana huko upya, baada ya hapo ilipotezwa na kuonekana tena Philadelphia katika sehemu iliyokuwa mwanzo. Inadaiwa ilitumia dakika kumi kukamilisha hili tukio la kuipoteza , kuiteleport na kuirudisha ilipokuwa mwanzo.
Pia kuzuia siri kufichuka watu waliokuwa kwenye meli walifanyiwa brainwashing na hawakuweza kukumbuka kitu na wengine walikuwa mataira
Technologia zinazodaiwa kutumika kwa pamoja na kuhakikisha experiment imekamilika ni hizi
(kiongozi unaweza kuzipitia na kutupa maelezo yake hapatuelewe kwa undani
Degaussing
Levitation
Teleportation
Corona discharges(kwa hao inaonekana walitumia USS TIMMERMAN (DD-828))
 
Haluna ukweli hata moja kwenye story yako, anayeamini hii ni mtu hajasoma sayansi hata kidogo, au kasoma kaishia form 4. Kwanza Albert Einstein hana theory ya teleportation, kuna concept ya quantum entanglement lakini yenyewe sio teleportation. So hadi hapo inaonyesha aliyetunga story alitumia kabisa neno Einstein akijua litawashika wajinga wengi sana.

Unified field theories? Hahaha hivi kila mnachoona kimeandikwa online mnakiamini? Naona watu wameshuka humu utadhani experts huku hata swali la darasa la saba la physics hawapeleki. Hakuna kitu kama Philadelphia experiment. Yote uliyoandika hapo juu ni conspiracy theory tu. Watu wanapiga hela nyie mnameza, movie zimevuruga sana watu
 
nitangulize kwa swali Kiongozi wapi nimeandiaka Einstein teleportation theory?
pia moja kwa moja nimesema baadhi ya theory za Einstein zilitumika kufanikisha jaribio
hiyo unified field ipo na ndio iliundwa na Einstein ili kufanya kitu Fulani kwenye ile theory yake ya relativity pia hii ndio ilisababisha kutokea kwa kitu wanachokiita wave particle duality of matter pamoja na kuundika kwa special relativity theory ili kumodify general relativity theory ambayo haikuangalia gravity
hawa watu ndio waliileta hiyo theory ya Einstein navy soma utakuta maelezo yake huko Marie-Antoinette Tonnelat akishirikiana Erwin Schrödinge
***NIKIPATA MUDA NITAELEZEA HIYO UNIFIED FIELD THEORY KWA UNDANI SO FUATILIA KWA CONFIDENTIAL***

*Mwamba kama unafact ni kujuzana tuu hapa sababu wote tunaandika tulichokisoma na kukielewa na si kwamba ndio tuliofanya tunachotaka kujua je ni kweli jaribio lilifanyika? pili je theory zipi zilitumika? tatu kufafanuliana hizo theory? na mwisho kujua kama hiyo technology ipo mpaka sasa Mimi elimu yangu ni darasa la NNE nisaidie (hahaha )*
"MWAMBA PIA UNADHARAU SANA UNAUHAKIKA GANI KUWA WATU WANAOCHANGIA MAADA HAWAJASOMA PHYSICS NA PIA UNABISHA KITU AMBACHO HAUJAKISOMA WALA KUKIFANYIA UTAFITI ILA NAAMIN WANAOCHUNGUZA HILI JARIBIO WATAPATA MAELEZO SAWA NA YANGU"
 
Mkuu huu uzi nimeleta hapa ili wajuvi kma nyie ndio mtupe ukweli sasa kejeli kwa wachangiaji wengine inatoka wapi..... Kama unajua kipi ndio au kipi sicho ukiseme hapa na utueleweshe sio unakejeli watu alafu unaishia hapo sioni kama unautendea haki uzi huu ama unatuelimisha

Tuanzie hapo kwenye unified field theories je hakuna mahala Albert enstein aliwahi ongelea quantum TELEPORTATION na formula zake haziwezi kuendelezwa ili ziwe applicable kwenye kufanya teleportation ya vitu?? Tuanzie hapo mkuu
 
ndugu out of topic kidogo ninadocument muhimu kuhusiana na CERN je nikiunganisha kwenye Uzi wako itakuwa pouw
 
nitangulize kwa swali Kiongozi wapi nimeandiaka Einstein teleportation theory?
pia moja kwa moja nimesema baadhi ya theory za Einstein zilitumika kufanikisha jaribio
hiyo unified field ipo na ndio iliundwa na Einstein ili kufanya kitu Fulani kwenye ile theory yake ya relativity pia hii ndio ilisababisha kutokea kwa kitu wanachokiita wave particle duality of matter pamoja na kuundika kwa special relativity theory ili kumodify general relativity theory ambayo haikuangalia gravity
hawa watu ndio waliileta hiyo theory ya Einstein navy soma utakuta maelezo yake huko Marie-Antoinette Tonnelat akishirikiana Erwin Schrödinge
***NIKIPATA MUDA NITAELEZEA HIYO UNIFIED FIELD THEORY KWA UNDANI SO FUATILIA KWA CONFIDENTIAL***

*Mwamba kama unafact ni kujuzana tuu hapa sababu wote tunaandika tulichokisoma na kukielewa na si kwamba ndio tuliofanya tunachotaka kujua je ni kweli jaribio lilifanyika? pili je theory zipi zilitumika? tatu kufafanuliana hizo theory? na mwisho kujua kama hiyo technology ipo mpaka sasa Mimi elimu yangu ni darasa la NNE nisaidie (hahaha )*
"MWAMBA PIA UNADHARAU SANA UNAUHAKIKA GANI KUWA WATU WANAOCHANGIA MAADA HAWAJASOMA PHYSICS NA PIA UNABISHA KITU AMBACHO HAUJAKISOMA WALA KUKIFANYIA UTAFITI ILA NAAMIN WANAOCHUNGUZA HILI JARIBIO WATAPATA MAELEZO SAWA NA YANGU"

Nina uhakika ambaye anatetea hajasoma Physics kwa sababu kilichoandikwa kwenye physics hakipo. Kipo kwenye movie tu na website za conspiracy theories. Sio dharau ni ukweli. Tatizo ukweli unauma wengi hampendi kuusikia.

Unified field theory haiongelei teleportation em jaribu kuisoma uielewe. Ni theory tu ambayo inajaribu kuunganisha uhusiano uliopo kati ya forces na elementary particles basi. Hata ukiingia deep hukutani na teleportation. Mkisikia hizi terms za kiingereza zisiwatishe ni neno tu kama maneno mengine.

Ipo quantum entanglement na yenyewe watu hua wanapenda kuassociate na teleportation ila na wao pia wanakosea. Una particle mbili separated by any distance, properties zao zipo linked mfano unapima moja hapa inaspin clockwise nyingine ipo sayari nyingine ukipima unakuta inaspin the other direction. Hii bado haileti teleportation lakini its a good start kwa kua ni almost as if information is passed between infinite distances in an instant. Ila no one has any idea ya kinachotokea hapa kuweza kutumia kutengeneza something practical.

Philadelphia experiment sijui wameteleport meli ni upuuzi mtupu, simply because hata theory wanayotumia kuelezea haipo hivyo, sawa na mtu aseme 1+1=4 alafu useme ni kweli. Najua wengi watabisha sababu mnapenda kusikia mnachotaka kusikia ili muendelee kuishi kwenye fantasy yenu kua we can teleport stuff ila sorry to kill your dreams. Labda in the future tutaweza teleport mtu ila sio leo, leo hii tunaweza safirisha electron tu not anything with mass kubwa kama meli.
 
Science fiction.

Ila kuna chembe chembe za ukweli hapa. Kuna jamaa anaitwa prof. Michio Kaku (theoretical physicist) alisema theoretically quantum teleportation is possible.
 
Hii hapa Chief

CERN
Kiufupi CERN ni Conseil Européen pour la Recherche Nucléaire au European Organization for Nuclear Research. CERN inahusika na particle physics experiments ambapo ndo the largest machine in the world ambayo imejengwa underground kwa mzunguko wa 4700 miles imejengwa uswisi na kupitia katika mpaka wa ufaransa na uswisi.

CERN wamejenga Large Hadron Collider (LHC) kwa dhumuni la ku discover "GOD'S PARTICLES" au "Higg Boson". Kwa lugha nyepesi wanataka kujua particle inayo hold everything together (like atom ina neutron, electron na proton ambazo nazo zina subatomic zake kila moja, hivyo wanataka kujua the tiniest or smallest particle that is invisible but do exist, ambayo ndo higg boson experiment)
Kuielewa zaid CERN, yenyewe ndo ya kwanza kuanzisha world wide web "www", wao ilikuwa kwa ajili ya ma researchers kuwasiliana na bbade wakaitoa kwa public.
Turudi katika mada yetu, CERN wanafanya experiment za kugonganisha proton kwa proton ili kupata other particles katika detectors zao.

Wao CERN wanadai kwamba wakifanikiwa kupata God particles wataweza ku discover the door or a gateway ambayo wataweza ku discover vitu kutoka huko au kutuma kitu kwenda huko.

WHAT IS A GATEWAY OR A DOOR THAT CERN EXPECT TO DISCOVER?
Nikikurudisha nyuma kidogo kuhusu CERN, kuna kitu kinaitwa ANTIMATTER ambayo CERN imetengeneza LHC ili iweze ku discover ku hold na ku control anti matter. Inasemekana kuwa antimatter is very unstable so inaweza ikaleta destruction duniani. Hivyo kupitia antimatter wataeza kupata God's particle.
Hili ndo linalowaogopesha wengi kwa wanaofatilia kila wanachokifanya CERN, kwamba they want to create a portal au vortex ambayo ita link parallel universes.
Parallel universe kama inavotamkika ni universes ambazo hazikutani kabisa. Mfano sisi Binadamu ni certain dimension (to be exact 3rd Dimension beings) hivyo kuna Dimensions zingine ambazo hatuwez ku interact nazo. So mlango (a gateway) utakaopatika CERN utakuwa umeanzisha inter-dimension between different universes.

WHY IT BECAME A CONSPIRACY THEORY?
Kwanza kabisa CERN wameuita mwaka 2015 kuwa "INTERNATIONAL YEAR OF LIGHT". Kwamba lile swali tulilokuwa tunajiuliza kuhusu BIG BANG THEORY liko karibu kujibiwa maana pindi LHC ikiwashwa kwa energy kubwa ambayo ni 13 TERA ELECTRO VOLTAGE (13TeV) ambayo haijawahi kufanya kazi kwa nguvu hiyo ambapo itakuwa na uwezo wa kuzungusha proton kwa speed nearly speed ya mwaga (speed of light) ili kufanikisha collision kubwa haijawai tokea ili wapate God's particles ndipo watajua kuwa origin ya universe ni nini.

Pili kuna sanamu la Mungu wa Kihindi (SHIVA) katika Headquarter yake. Ukifatilia SANA kuhusu God Shiva ni Mungu wa kihindi mwenye maana ya "The Distroyer". Swali ni kwanini wameamua kumweka Shiva, Hivyo imebaki kuwa na majibu mengi ila majibu machache ni kwamba endapo watakapoweza kufungua huo mlango " a gateway" Shiva ambaye ndo the Distoryer ambaye pia anaaminika kuwa ndo Lucifer atatoka. Jibu lingine kwamba watatoka spritual beings ambazo ni demons ambapo watakufa watu wengi sana maana the only energy ya ku fungua mlango huo people's souls, jibu jengine ni kutoka kwa Antichrist ambaye atafanya wonders na watu kumfata, na la mwisho ni kukutana kwa mara ya kwanza na extraterrestrial beings.

MAWAZO MENGINE
Nikiingia katika iman ya kikristo yenye maelezo ambayo yanaweza kuipa mada hii changamoto ni Mnara wa babeli. Wengi tunajua habari ya mnara wa babeli ambao watu wa kale walijenga mnara ili kilele chake kifike mbinguni ili wasipate kutawanyika uson mwa dunia na wajiapatie jina kupitia hapo.
Mwanzo 11:1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
3 Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
4 Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
5 Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
6 Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.
7 Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.
8 Basi Bwana akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.

Kwanza tupate kujua kuwa nia yao ilikuwa kufika Mbinguni na Bwana akasema hawa hawatazuiliwa kwa neno lolote ikimaanisha hawashindwi kitu kwa watakachoamua kukifanya hivyo akawabadili lugha.

Sasa waliwezaje kutaka kufanya mnara ufike Mbinguni wakati Mbinguni ni other than spiritual world? Na ukiangalia kwa sasa hivi ni ngumu kujenga mnara ambao utakaoweza fika mawinguni, sasa hao waliwezaje kutaka kujenga mnara ufike Mbinguni!!??

Well kwa mtazamo mwengine walikuwa wanajenga mlango wa kwenda mbiguni (walikuwa wanajenga kitu ambacho kina link different dimensions "a gateway" ) kama wanavyofanya CERN kwa sasa.
Hivyo Hii ya CERN ikifanikiwa na atakayetoka katika huo mlango ndo atakuwa the new Messiah ambaye ni Antichrist ambaye pia ni Nephilim (other claims that) - Nephilim ni offspring kati ya mwanadamu na fallen angels [DNA crossover].

Lakini ili uielewe zaidi hii kitu lazima uijue kwanza Project Blue Beam ila kwa kuwa uliitaka Cern ndio hivyo ilivyo japo ukisoma sana kuihusu utapata mkanganyiko mkubwa sana kuhusu malengo yao na nini taget yao

Kuhusu hiyo teleportation nadhani wamarekan wanatafuta kiki tu ili nao tujue wamo maana hata kama mwanzo iliua watu wengi wasingrshindwa kuendelea kuifanyia utafiti kwa kina zaidi hadi sasa hivyo wasitudanganye kabisa
Mkuu nikushukuru sana kwa maelezo yako ,tena sana ingawa sasa yamenifungua maswali mengine

Hapo umegusia Blue Beam hii project naambiwa inahusika na CERN ,eti ita kitu/MTU km yesu ktk mfumo wa hologram na nimeona hapo umegusia binafsi napenda kujifunza sana naomba nikuombe ukipata tena wasaa nipe hii Blue beam na CERN project zitakavyokua
Ahsante usinichoke mkuu ILS umenipa mwanga mkubwa sana
 
Nina uhakika ambaye anatetea hajasoma Physics kwa sababu kilichoandikwa kwenye physics hakipo. Kipo kwenye movie tu na website za conspiracy theories. Sio dharau ni ukweli. Tatizo ukweli unauma wengi hampendi kuusikia.

Unified field theory haiongelei teleportation em jaribu kuisoma uielewe. Ni theory tu ambayo inajaribu kuunganisha uhusiano uliopo kati ya forces na elementary particles basi. Hata ukiingia deep hukutani na teleportation. Mkisikia hizi terms za kiingereza zisiwatishe ni neno tu kama maneno mengine.

Ipo quantum entanglement na yenyewe watu hua wanapenda kuassociate na teleportation ila na wao pia wanakosea. Una particle mbili separated by any distance, properties zao zipo linked mfano unapima moja hapa inaspin clockwise nyingine ipo sayari nyingine ukipima unakuta inaspin the other direction. Hii bado haileti teleportation lakini its a good start kwa kua ni almost as if information is passed between large infinite distances in an instant. Ila no one has any idea ya kinachotokea hapa kuweza kutumia kutengeneza something practical.

Philadelphia experiment sijui wameteleport meli ni upuuzi mtupu, simply because hata theory wanayotumia kuelezea haipo hivyo, sawa na mtu aseme 1+1=4 alafu useme ni kweli. Najua wengi watabisha sababu mnapenda kusikia mnachotaka kusikia ili muendelee kuishi kwenye fantasy yenu kua we can teleport stuff ila sorry to kill your dreams. Labda in the future tutaweza teleport mtu ila sio leo, leo hii tunaweza safirisha electron tu not anything with mass kubwa kama meli.
Mkuu nashkuru kwa ufafanuzi wako upo objective sana ila nna maswali machache

how sure are we kwamba teknolojia hiyo haikuwa imefanikiwa tokea kipindi hicho ila imebaki siri tu kwa watu flani?? Unataka uniambie discoveries zote lazima ziwe public..... Yaani hata siku wakigundua dawa ya ukimwi ndio hapo hapo itakuwa public na kwamba kma haipo public basi ikivuja mtasema ni uongo??

Kingine niliuliza hizo theory za teleportation hata kma ni ya particles tu kma electrons n.k je haziwezi kuwa zimeshaendelezwa ili kufacilitate teleportation ya VITU??

Embu nipe darasa hapo mkuu maana inaonekana hii ni field of expertise yako
 
Dunia ina mengi ya kutisha na kushangaza pengine kutuacha midomo wazi siku moja nilikuwa na Professor wa Canada tunajadiliana kuhusu uwezekano wa mwanadamu kusafiri katika sipidi ya mwanga kama itawezekana alichoniambia ni kuwa hivi vitu vitawezekana na kuna inchi zimeendelea sana kuna mifumo inafanya kazi kwa sipidi kubwa ni mda tu mambo mengi yatakuwa wazi akanipa mfano wa Operation Gothic ya Israel inaweza kushambulia popote katika Dunia kwa mda wa saa unaofanana bila kuona chanzo cha shambulio na umbali mkubwa hata katika mabara yote 7 kwa sekunde moja unafikiri hii technology ni ya aina gani?
Akanipa mfano Israel imewahi kushambulia karibu mataifa yote ya mashariki ya kati na inchi za kiarabu kwa mda mmoja na ilisimamisha kila kitu ktk anga ya mashariki ya kati na inchi zote za kiarabu.

Kuna mambo mengi tukiweza kuyataftia ufumbuzi tunaweza kushi umri wa miaka million kwa mfano tufanye uwezo wa kusafiri mara 2 kasi ya mwanga tutaenda kwenye jua kwa dakika .3⅔ . ukienda na kurudi utakuwa umetumia dakika 7 na ndani ya mda huu utarudi duniani utawakuta uliowaacha wote ni marehemu kwa vizazi 2 na vijana wa kizazi cha 5 na 4.
Lakini wewe umri wako ni dakika 7 ukiweka na mshangao wa kuikuta Dodoma ni jiji kama Beijing labda utumie dakika 30 itakubidi uende century A. nyota ya karibu utumie siku nzima 24masaa x 60dakika =1440dakika

1440dakika/7dakika = 205.714 x 70= 1439.99miaka ukirudi utumie 1439.99

=2879.998 miaka ya kwenda na kurudi Duniani
Kizazi chote ulichoacha hautakikuta kitakuwa kimetoweka lakini wewe umri wako itakuwa SAA 24+24+7dakika+30dakika

= 2 siku na dakika 37 ndio utakuwa umri wako sasa ili ufikishe miaka 70 utaishi mamilioni ya miaka mpaka kufa.

YAJAYO YANAFURAHISHA
ila uko deep sana comred
 
Nina uhakika ambaye anatetea hajasoma Physics kwa sababu kilichoandikwa kwenye physics hakipo. Kipo kwenye movie tu na website za conspiracy theories. Sio dharau ni ukweli. Tatizo ukweli unauma wengi hampendi kuusikia.

Unified field theory haiongelei teleportation em jaribu kuisoma uielewe. Ni theory tu ambayo inajaribu kuunganisha uhusiano uliopo kati ya forces na elementary particles basi. Hata ukiingia deep hukutani na teleportation. Mkisikia hizi terms za kiingereza zisiwatishe ni neno tu kama maneno mengine.

Ipo quantum entanglement na yenyewe watu hua wanapenda kuassociate na teleportation ila na wao pia wanakosea. Una particle mbili separated by any distance, properties zao zipo linked mfano unapima moja hapa inaspin clockwise nyingine ipo sayari nyingine ukipima unakuta inaspin the other direction. Hii bado haileti teleportation lakini its a good start kwa kua ni almost as if information is passed between large infinite distances in an instant. Ila no one has any idea ya kinachotokea hapa kuweza kutumia kutengeneza something practical.

Philadelphia experiment sijui wameteleport meli ni upuuzi mtupu, simply because hata theory wanayotumia kuelezea haipo hivyo, sawa na mtu aseme 1+1=4 alafu useme ni kweli. Najua wengi watabisha sababu mnapenda kusikia mnachotaka kusikia ili muendelee kuishi kwenye fantasy yenu kua we can teleport stuff ila sorry to kill your dreams. Labda in the future tutaweza teleport mtu ila sio leo, leo hii tunaweza safirisha electron tu not anything with mass kubwa kama meli.

nitaileta hiyo theory nikipata muda ndio tujadili mkuu ila hapo umenena frexh
 
1
Kuhusu CERN
Je! Ulimwengu unafanywa nini? Ilianzaje? Wataalamu wa uchunguzi wa CERN wanatafuta majibu, wakitumia baadhi ya kasi za dunia za nguvu zaidi
Maudhui haya yanahifadhiwa kwenye Seva ya Kumbukumbu ya CERN
Katika CERN, Shirikisho la Ulaya la Utafiti wa Nyuklia, wasayansi na wahandisi wanatafuta muundo wa msingi wa ulimwengu. Wanatumia vyombo vya kisayansi vya ukubwa zaidi na vya vigumu zaidi ya kujifunza kuhusu BASIC CONSTITUENTS OF MATTER – THE FUNDAMENTAL PARTICLES. . Vipande hutengenezwa pamoja karibu na kasi ya mwanga. Mchakato huwapa fizikia wanaelezea kuhusu jinsi chembe zinavyoingiliana, na hutoa ufahamu juu ya sheria za msingi za asili.
Vyombo vilivyotumiwa na CERN particle accelerator na detectors . Accelerators kaziyake ni kuboost beam za particle kwa nguvu kubwa kabla ya particle kusuguana au kuwa stationery. Detector inaangalia na kurecord matokeoa ya msuguano
mwaka 1954, maabara ya CERN ilitengenezwa na ilikava mpaka wa Franco-Uswisi karibu na Geneva. Ilikuwa moja ya ubia wa Ulaya wa mwanzo kabisa na sasa cern ina wanachama 22
Muundo wa CERN
Jua jinsi CERN inasimamiwa na kupangwa; kuhusu baraza lake, nchi za wanachama, na idara

Halmashauri ya CERN ni mamlaka ya juu ya Shirika na ina jukumu la maamuzi muhimu yote. Inasimamia shughuli za CERN katika mambo ya sayansi, kiufundi na kiutawala. Inakubali mipango ya shughuli, inachukua bajeti na matumizi ya kitaalam. Baraza linasaidiwa na Kamati ya Sera ya Sayansi na Kamati ya Fedha. Mkurugenzi Mkuu, aliyechaguliwa na baraza, anaendesha maabara ya CERN. Mkurugenzi Mkuu anafuata maelekezo ya uongozi na anaendesha maabara kupitia muundo wa idara.
Baraza
CERN inaendeshwa na mataifa 22 ya wanachama, ambayo kila mmoja ana wajumbe wawili rasmi kwa baraza la CERN. Moja inawakilisha utawala wake wa serikali; nyingine inawakilisha maslahi ya kitaifa ya kisayansi. Nchi ya mwanachama ina kura moja na maamuzi mengi yanahitaji wengi rahisi, ingawa katika mazoezi baraza linalenga makubaliano kwa karibu iwezekanavyo kwa kufanana.
Kamati ya Sera ya Sayansi
Kamati ya Sera ya Sayansi inatathmini thamani ya kisayansi ya shughuli zinazopendekezwa na fizikia na hufanya mapendekezo juu ya mpango wa kisayansi wa CERN. Wajumbe wake ni wanasayansi waliochaguliwa na wenzao katika kamati na kuteuliwa na baraza kwa misingi ya utawala wa sayansi bila kutaja utaifa. Wanachama wengine pia huchaguliwa kutoka nchi zisizochama.
Kamati ya Fedha
Kamati ya Fedha inajumuisha wawakilishi kutoka kwa utawala wa taifa na inahusika na masuala yote yanayohusiana na michango ya kifedha na nchi za wanachama na bajeti ya Shirika na matumizi.
Mkurugenzi Mkuu
Aliyeteuliwa na baraza, kwa kawaida kwa miaka mitano, Mkurugenzi Mkuu anaweza kusimamia CERN. Mkurugenzi husaidia Mkurugenzi Mkuu, ambaye anapendekeza wanachama wake kwa baraza. Mkurugenzi Mkuu anaripoti moja kwa moja kwa baraza, na anaweza pia kupendekeza baraza marekebisho yoyote yanayoonekana kuwa muhimu ili kukidhi mahitaji ya maendeleo ya mpango wa utafiti.
Muundo wa 2018
Usimamizi
Mkurugenzi Mkuu
Fabiola Gianotti
Mkurugenzi wa Accelerators na Teknolojia
Frédérick Bordry
Mkurugenzi wa Utafiti na Kompyuta
Eckhard Elsen
Mkurugenzi wa Fedha na Rasilimali
Martin Steinacher
Mkurugenzi wa Mahusiano ya Kimataifa
Charlotte Warakaulle
Maandishi yanayopatikana kwenye ukurasa huu .
Viongozi wa idara
beam
Paulo Collier
engineering
Roberto Losito
Experimental physics
Manfred Krammer
Finance and administrative process
Florian Sonnemann
Human resources
James Purvis
Industry and administrative process
Thierry Lagrange
Information tecnology
Frédéric Hemmer
Usimamizi wa tovuti na Majengo
Lluis Miralles
Teknolojia
José Miguel Jiménez
Theoretical physics
Gian Francesco Giudice
hii ni introduction nitakuja na maada moja moja kwenye post zinazofuata kila nitakapopata nafasi
 
2

crab-nebula-nasa3.jpg

Antimatter
Mwaka wa 1928, mwanafizikia wa Uingereza Paul Dirac aliandika equation ambalo lilijumuisha nadharia ya quantum na special relativity theory kuelezea tabia ya electron kumove kwa kasi kwenye relativistic. Equation – ambayo Dirac alijishindia tuzo ya Nobel prize mwaka wa 1933
litokea tatizo: kama vile equation x 2 = 4 inaweza kuwa na solution mbili (x = 2 au x = -2), hivyo equation ya Dirac ilikuwa na solution mbili, moja kwa ajili ya elektroni yenye nishati chanya na moja kwa elektroni yenye nishati hasi. Lakini classical physics(na akili ya kawaida) imesema kwamba nishati ya chembe lazima iwe nambari chanya.
Dirac ilitafsiri kuwa equation inamaanisha kuwa kwa kila particle kuna corresponding ant-particle inayomatch na particle lakini ina charge tofauti. Kwa elektroni lazima iwe na "antielectron", kwa mfano, inafanana kwa kila njia lakini ina positive electric charge. Uelewa huu ulisababisha watu kufikiri kuwa kuna uwezekano kwamba galaxi zote na ulimwengu umeundwa na antimatter.
Lakini wakati matter na antimatter zilipogusana they annhilate, na kutoweka kama nishati ya mwanga. Big Bang aliunda kiasi sawa cha matter na antimatter. So kwanin kuna kiwango kikubwa cha matter kuliko antimatter katika ulimwengu?
Katika CERN,wanafizikia hufanya antimatter kujifunza katika majaribio. Hatua ya kuanzia ni Antiproton Decelerator, ambayo inapunguza kasi antiprotons ili wanafizikia ziweze kuchunguza sifa za antproton.
ad.jpg

Majaribio ya Antimatter kwenye CERN
Katika CERN,wanafizikia hufanya antimatter kujifunza katika majaribio. Hatua ya kuanzia ni Antiproton Decelerator, ambayo inapunguza kasi antiprotons ili wanafizikia ziweze kuchunguza sifa za antproton
ace.png

2.1 ACE
ACE huleta pamoja timu ya kimataifa ya wanafizikia, wanabiolojia na madaktari kutafiti madhara ya kibiolojia ya antiprotons
aegis.jpg

2.2 AEGIS
AEGIS inatumia beam za antiprotons kutoka Antiproton Decelerator ili kupima thamani ya kuongeza kasi ya Dunia
atrap_positron_line.jpg

2.3 ATRAP
ATRAP inalinganisha atomi za hydrogen na antimatter ambazo zinakaribia kufanana n antihydrogen atoms
alpha.jpg

2.4 ALPHA
ALPHA hufanya utafiti wa kukamata atom za antihydrogen na kulinganisha na atomi za hydrojen
asacusa_2.jpg

2.5 ASACUSA
ASACUSA inalinganisha matter na antimatter kwa kutumia helium antiprotonic atom
POST ZITAKAYOFUATA NITAKUWA NATOA MAELEZO YA VIPENGELE HIVI 2.1, 2.2, 2.3, 2.4 NA 2.5
 
Back
Top Bottom