Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

2.1

ACE

ACE huleta pamoja timu ya kimataifa ya wanafizikia, wanabiolojia na madaktari kutafiti madhara ya kibiolojia ya antiprotons

ace.png

The Antiproton Cell Experiment (ACE) ilianza mwaka 2003 na ilikamilishwa mwaka 2013. Ilikuwa na lengo la kuchunguza kikamilifu ufanisi na ubora wa antiprotons kwa tiba ya kansa. Jaribio lilileta pamoja timu ya wataalamu katika fizikia, biolojia na dawa kutoka taasisi 10 duniani kote ambao walikuwa wa kwanza kusoma madhara ya kibiolojia ya antiprotons.

Hadi sasa, particle-beam therapy inatumia hasa protoni kuharibu seli za saratani. particle hupelekwa kwenye mwili wa mgonjwa with a pre-dertermined amount of energy,ambacho kitastop kufikia kina maalum cha tumor. Wakati beam of heavy charged particles, inapoingia mwilini mwa mwanadamu, inasababisha uharibifu mdogo sana. Tu katika milimita chache ilipo safiri, kama beam zinaisha taratibu/polepole na baadae kustop kwa ghafla hakuna uharibifu utakaotokea. Ila Kwa bahati mbaya, ingawa beam huharibu kansa na inaathiri seli za afya kando ya njia yake, hivyo uharibifu wa tishu huongezeka kama matibabu yatakuwa ya kurudia kurudia.

Jaribio la ACE lilitest wazo la kutumia antiprotons kama matibabu mbadala, kwa kulinganisha moja kwa moja na ufanisi wa cell irradiation kwa kutumia proton na antiprotons. Ikiwa matter (in this case, the tumor cell) na antimatter ( the antiprotons) meet, and they annhilate (zinaribiana kila moja zinapokutana), na kubadilisha maumbile yao katika nishati. Lengo ni kutumia hii athari hii, kuruhusu antiproton kuangamiza na sehemu ya kiini cha atomi katika seli ya saratani. Nishati iliyotolewa ili kupiga nucleus na kutekeleza vipande ndani ya seli za saratani zilizo karibu, ambazo zinapaswa kuharibiwa.

Katika jaribio,tubes were filled with cells suspended in gelatin to stimulate a cross-section of tissue inside a body. Watafiti walituma beam za protoni au antiprotons na sentimita mbili katika maji kwenye mwisho mmoja wa tube, na kuchunguza seli zinazoendelea kuishi

ACE ni mfano mzuri wa jinsi utafiti katika physics particle inaweza kuleta ufumbuzi wa ubunifu na manufaa ya matibabu. Hata hivyo, mchakato wa uthibitisho wa matibabu bado si wa kuamini unapaswa kuangaliwa kwa mapana . Hata kama utafiti huu uliendelea, ila inaweza kuchukua miaka kadhaa baada ya application kliniki ya kwanza kuafanyika hivyo huenda kuna madhara .
 
2.2
AEGIS

AEGIS inatumia beam za antiprotons kutoka Antiproton Decelerator ili kupima thamani ya earth gravitational acceleration

aegis.jpg

Lengo la msingi la kisayansi la Antihydrogen experiment:gravity, Interferometry, Spectroscopy ( AEGIS ) ni kipimo cha moja kwa moja cha earth gravitational acceleration g, on antihydrogen.

AEGIS ni ushirikiano wa wataalamu wa fizikia kutoka kote Ulaya. Katika awamu ya kwanza ya majaribio, timu ya AEGIS ilitumia antiprotons kutoka Antiproton Decelerator ili kufanya beam za atom za antihydrogeni. Wao kisha kupitisha beam za antihydrogen kwa njia ya chombo kinachojulikana kama Moire deflectometer pamoja na detector nyeti ili kupima nguvu ya gravitational interaction kati ya matter na antimatter kwa usahihi wa 1%.

System granted katika deflectometer ambayo hutawanya beam za antihydrojeni kwenye mionzi sawa, na kutengeneza muundo unaofanana kwa kipindi fulani. Kutoka kwenye mfano huu, wataalamu wa fizikia waliweza kupima ni kiasi gani beam za antihydrojen zitapungua wakati kitu kinaflight horzontal. Kuchanganya mabadiliko haya kila atomi itaruka na kuanguka kwa muda, timu ya AEGIS iliweza kupima strength ya gravitational force kati ya Dunia na atomi za antihydrogeni.

Jaribio la AEGIS litawakilisha ufanisi wa moja kwa moja wa athari za mvuto kwenye mfumo wa antimatter.
 
Dunia ina mengi ya kutisha na kushangaza pengine kutuacha midomo wazi siku moja nilikuwa na Professor wa Canada tunajadiliana kuhusu uwezekano wa mwanadamu kusafiri katika sipidi ya mwanga kama itawezekana alichoniambia ni kuwa hivi vitu vitawezekana na kuna inchi zimeendelea sana kuna mifumo inafanya kazi kwa sipidi kubwa ni mda tu mambo mengi yatakuwa wazi akanipa mfano wa Operation Gothic ya Israel inaweza kushambulia popote katika Dunia kwa mda wa saa unaofanana bila kuona chanzo cha shambulio na umbali mkubwa hata katika mabara yote 7 kwa sekunde moja unafikiri hii technology ni ya aina gani?
Akanipa mfano Israel imewahi kushambulia karibu mataifa yote ya mashariki ya kati na inchi za kiarabu kwa mda mmoja na ilisimamisha kila kitu ktk anga ya mashariki ya kati na inchi zote za kiarabu.

Kuna mambo mengi tukiweza kuyataftia ufumbuzi tunaweza kushi umri wa miaka million kwa mfano tufanye uwezo wa kusafiri mara 2 kasi ya mwanga tutaenda kwenye jua kwa dakika .3⅔ . ukienda na kurudi utakuwa umetumia dakika 7 na ndani ya mda huu utarudi duniani utawakuta uliowaacha wote ni marehemu kwa vizazi 2 na vijana wa kizazi cha 5 na 4.
Lakini wewe umri wako ni dakika 7 ukiweka na mshangao wa kuikuta Dodoma ni jiji kama Beijing labda utumie dakika 30 itakubidi uende century A. nyota ya karibu utumie siku nzima 24masaa x 60dakika =1440dakika

1440dakika/7dakika = 205.714 x 70= 1439.99miaka ukirudi utumie 1439.99

=2879.998 miaka ya kwenda na kurudi Duniani
Kizazi chote ulichoacha hautakikuta kitakuwa kimetoweka lakini wewe umri wako itakuwa SAA 24+24+7dakika+30dakika

= 2 siku na dakika 37 ndio utakuwa umri wako sasa ili ufikishe miaka 70 utaishi mamilioni ya miaka mpaka kufa.

YAJAYO YANAFURAHISHA
Hizi hesabu mbona sizielewi inakuwaje Uende Kwenye Jua na Kurudi ukute watu wamekufa uliowaacha.. ?
 
2.3
ATRAP
ATRAP inalinganisha atomi za hydrogen na antimatter ambazo zinakaribia kufanana na antihydrogen atoms

atrap_positron_line.jpeg

The Antihydrogen trape (ATRAP) ni jaribio la kulinganisha atomi za hidrojeni na na antimatter ambazo zinakaribia kufanana n antihydrogen atoms. Mwaka wa 2002, ATRAP ilitoa mtazamo wa kwanza kuhusu atomi za antihydrogeni baada ya watafiti kuunda kwa ufanisi na kupima idadi kubwa cha atom hizo.
Atomi ya antihydrogen ina antiproton na positron (antielectron). Mojawapo ya shida katika kutengeneza antimatter ni nishati ambazo antiprotons zinamiliki wakati zinatengenezwa huanza, kuondokana na vifaa kwa speed karibu na kasi ya mwanga. Watafiti hutumia mchakato unaoitwa "cooling" ili kupooza antproton polepole na waweze kujifunza.
ATRAP ilikuwa jaribio la kwanza la kutumia positrons baridi ili kupooza antiprotons. Vitu hivi viwili vilifungwa pamoja wakati wote vilipofikia joto sawa, baadhi yake viliungana pamoja na kuunda atomi za antihydrogen (a positron orbiting an antiproton). Mbinu hii ilitengenezwa kutokana na jaribio jingine la CERN lililoitwa TRAP, the predecessor of ATRAP.
Jaribio la sasa lilianzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 wakati huo huo kama jaribio la ATHENA. Majaribio mawili yalikuwa na malengo sawa na kutumika mbinu sawa ili kuzalisha atomi za antihydrojeni, lakini walikuwa na detectors tofauti.
Wakati jaribio la ATHENA lilipomalizika mwaka 2004, ATRAP bado linafanyiwa kazi. Bado wanajaribu kutengeneza antihydrogen yenye baridi ya kutosha na kuhifadhiwa kwa muda mrefu kadri inavyowezekana ili kuwezesha vipimo sahihi na kulinganisha na hidrojeni ya kawaida.
 
Kwa faida ya kujifunza itabidi tutumie tafsiri nyepesi na kwa mifano jinsi kasi na anga inayoathiri muda.

Mfano1: Ukiona nyota angani muonekano huu ni miaka mamilioni iliyopita mpaka mwanga umetoka huko kutufikia Duniani sasa hii nguvu ya kasi ya mwendo wa mwanga sasa leo nyota ya ukubwa wa jua ikiumbika leo katika umbali kama lilipo Jua ikalipua mwanga katika kiini chake huo mwanga utatufikia takribani miaka milioni 3 hapa tulipo.

Sasa hapa ikatokea chombo kinasafiri kwa kasi ya Mara 2 ya mwanga kinaweza kutumia

Miaka 3,000,000/466,666.666 sekunde itakuwa ameona huo mwanga kwa sekunde 6.5 hapa kilicho athiri muda ni kasi ya kusafiri na akifika huko akarudi duniani mda atakuta ni miaka million 3 inawezekana akakuta hakuna watu Yesu alishawachukua wote itabidi utafte walikoelekea uwafuate na kama wanasafiri kwa mwendo wa kasi ya mwanga Mara moja unaweza ukawakuta ½ ya safari ukawapita wakakukuta ulishafika kwa mda kitambo.

Kama sitaeleweka nitatafta kiswahili fasaha ili niitendee haki hii mada
View attachment 758038
Hapa kuna Ukakasi kidogo.. Yaani Mie niende kwa kasi ya Mwanga Dar nikitokea Mwanza Nikawaacha watu Mwanza, iweje nitoke tena Dar kuja Mwanza nikute watu hawapo ? Wakati ni sawa na kufumba na Kufumbua Macho tu inamaana Lazima Niwakute watu
 
2.4
ALPHA
ALPHA hufanya utafiti wa kukamata atom za antihydrogen na kulinganisha na atomi za hydrojen
alpha.jpg

The ALPHA experiment is a successor of an earlier antimatter experiment, called ATHENA. ALPHA ilanzishwa mwishoni mwa mwaka wa 2005 na malengo kama ya ATHENA kwa jumla ATHENA ni kama vile mtangulizi wake, ALPHA hufanya, kukamata na atomi za utafiti wa antihydrogen na kulinganisha hizi na atomi za hidrojeni.
Kujenga antihydrojeni inategemea kukusanya two component of antiparticles, antiprotons na positrons, katika kifaa cha kupakia charged particle. Kwa kuwa atomi za antihydrojeni hazina electric charge, mara moja zinapoundika haziwezi kufungiwa kwenye kifaa hicho. Katika jaribio la ATHENA the iniatation would drift naturally from the walls of the trap. Because these wall made up of ordinary matter, the contact caused the antiatoms to annihilate a few microseconds after they were created.
ALPHA inasolve tatizo ambalo ATHENA ilishindwa kusolve. ALPHA hutumia njia tofauti ya kushikilia atomi za antihydrojeni, na kuiweka kwa muda mrefu kabla ya kuangamizwa na atomi za kawaida.
Mnamo Juni 2011, ALPHA iliripoti kuwa imefanikiwa kushikilia atomi za antimatter kwa zaidi ya dakika 16 : muda mrefu wa kutosha kujifunza sifa za antimatter kwa undani. hii itawapa wanafizikia muda kuchukua hatua na kupata majibu zaidi kwenye siri ya antimatter.
 
Hapa kuna Ukakasi kidogo.. Yaani Mie niende kwa kasi ya Mwanga Dar nikitokea Mwanza Nikawaacha watu Mwanza, iweje nitoke tena Dar kuja Mwanza nikute watu hawapo ? Wakati ni sawa na kufumba na Kufumbua Macho tu inamaana Lazima Niwakute watu
Usisemee Mwanza na Dar rafiki yangu ye kakwambia kwenda kwe Jua maanake ni mbali sana na inachukua mamilioni ya miaka japo ni kwa kasi ya mwanga maanake ni kuwa huyo kama ataweza kusafiri na kufika huko kwa kasi ya mwanga ni miaka milioni kadhaaa na kurudu milioni kadhaa sasa utakuta kuna wale uliowaacha? Maanake hata we unayesafiri utakufa hata kabla ya kufika huko sababu ya lifespan yako itafika mwisho
 
sasa na huu mwanga unaokuja usiku na mchana inakuaje?
inamaana mwanga tuliouona mchana wa leo wa jua ni wa miaka mil3 iliyopita?
Jua ni nyota iliyo karibu na sisi mkuu...
Mwanga wake huchukua dakika nane tu kutufikia hapa duniani
Nyota inayofuata kuwa karibu na sisi hutumia miaka minne na nusu.. Inaitwa proxima centauri
 
2.5
ASACUSA

ASACUSA inalinganisha matter na antimatter kwa kutumia helium antiprotonic atom

asacusa_0.jpg

Atomic Spectroscopy and Collisions using Slow Antiprotons (ASACUSA) majaribio husaidia kujua symmetries ya msingi kati ya matter na antimatter kwa kutumia spectroscopy ya usahihi ya atomi zenye antiproton (antimatter sawa na ya proton). Majaribio yalilenga hasa kwenye hybrid atoms (antiprotonic helium), pamoja na pure antiatoms (antihydrogen). Piaexperiment inachunguza interaction inayofanyika wakati wa mgongano kati ya matter na antimatter.
ASACUSA inalenga kuchambua kwa usahihi sifa ya antihydrogen iitwayo "muundo wa hyperfine" na na kucompare it to well-known value for hydrogen. Kwa kuwa kiasi hiki ni nyeti sana kwa maeneo ya magnetic, ASACUSA haina lengo la kutrap antiatom lakini badala yake kujenga beam za atomi za antihydrojeni ambazo zinaweza kusafirishwa kwenye kanda ambako hakuna disturbing field. kufanya hivyo, unique magnetic magnetic field configuration called"CUSP" hutumiwa kuunda polarized beam za antihydrogen, ambayo huchunguzwa in flighting kwa kutumia mionzi ya microwave.
Helium ina muundo wa pili wa atomiki rahisi baada ya hidrojeni. Ina elektroni mbili zinazozunguka kiini cha kati. Timu ya ASACUSA hufanya heliamu ya antiprotonic kwa kuondoa moja ya elektroni hizi na antiproton. Hii inawezekana kwa sababu, kama elektroni, antiproton ina negative charge. These hybrid atoms are formed by injecting antiprotons into a helium gas cell. Most of the antiprotons quickly annihilate with ordinary matter in the surroundings, but a tiny proportion combines with the helium to form hybrid atoms that contain both matter and antimatter. Using laser beams to excite the atoms, ASACUSA can determine the mass of the antiproton to an unprecedented level of accuracy for comparison with the proton.
ASACUSA pia inachunguza ineractions inayotokana kati ya matter na antimatter, kwa kucollide beams za antiprotons za aina mbalimbali za atomi za kawaida na molekuli. Vipengele hivi ni pamoja na mchakato unaoitwa "ionization" where the fast antiproton rips away the electrons that circle the atoms. Another interesting process occurs when the antiprotons strike and annihilate with the atomic nuclei..
Timu ya ASACUSA hutumia Decelerator ya Radio Frequency chini ya Antiproton Decelerator katika CERN ili kupunguza 5.3 MeV antiprotons hadi 100 keV. Kwa njia hii, timu ya ASACUSA inatumia antiprotons mara 10-100 kwa ufanisi zaidi kuliko ushirikiano mwingine.
MAADA ZITAKAZOFUATA NI HIZI
bernerslee.jpg
3 The birth of the web NITARUKA HII SEHEMU TUTAENDA KWENYE MAADA 4

4 The Higgs boson SITAIELEZEA SINA MAELEZO YA KUTOSHA PIA BADO UTAFITI UNAONEKANA KUENDELEA

5 The Large Hadron Collider

6 The High-Luminosity LHC
 
3 The birth of the web

4 The Higgs boson

5 The High-Luminosity LHC

6 The Large Hadron Collider
Duh mkuu uko deep sana kwenye utafiti endelea kutupa achana na wale wanaojifanya wanajua wanaishia kukejeli na kuondoka badala ya kushusha nondo za kitafiti kma hizi

Big up
 
Mkuu we uko deep sana,ahsante kwa material haya pia ahsante mleta Mada ,hakika nimejifunza vitu adimu
 
Hawakufanikiwa sababu ilikuwa na madhara makubwa kwa wanajeshi.... Ssa ingekuwa na faida gani meli ihame ila wanajeshi wafike wameweyuka??

Kingine waliwaua ili siri ya formula walizotumia zisije vuja kwa maadui wao kumbuka ilikuwa wakati wa vita kuu ya pili ya dunia

Unajua hata leo wanaweza fanikiwa muua adui ika bado wanaweza kuua wote waliofanikisha hiyo mission sio kwa sababu wamefeli au kufaulu ila KUTUNZA SIRI
Hivi hao wanaowaua ni akina nani? Je wao hawawezi kutoa siri?
 
Hivi hao wanaowaua ni akina nani? Je wao hawawezi kutoa siri?
Wanakuwa ni watu wa system ambao washakunywa maji ya bendera kuilinda marekani kwa gharama yeyote ile so kwa namna yeyote hawawezi kutoa siri ingawa ndio hivo kuna wengine kma snowden huamua vinginevyo!!!
 
Mkuu kuna aina 3 za teleportation (State teleportation, Energy teleportation na Particle teleportation). Kati ya zote hizo unayoongelea ni State teleportation ambayo so far ni kitu impossible!. Haiwezekani kitu kusafiri mwendo zaidi ya mwanga so far!, inawezekana labda walijaribu hiyo experiment yao na outcomes ya kutoweza safiri zaidi ya mwanga ndio hizo disfigurment kikifika kilipotumwa!..
Google kupitia kitengo chake cha Google X waliunda mission wakaiita "project moonshot" ambapo ndani yake waliweka na hiyo project ya 'teleportation' baada ya muda mrefu wa research waliachana nayo walipogundua ni kitu kisichowezekana kinapingana na sheria za physics!.
Hili halimaanishi hiki kitu hakiwezekani, lakini kitahitaji resource nyingi sana ndio maana kukawa na lab kutest mambo kama hayo. Kama experiment ya CERN huko Switzerland.
Hiyo Experiment inawezekana US Govt waliifanya lakini madhara yalowakuta ni makubwa!.
Baada walirudi na project nyingine waliyoita 'rainbow project', na wakarekebisha makosa ya awali na binadam akaweza safiri bila madhara.
Nimeigusia hapa unaweza icheki kwa kuna salim msangi: JE TUPO WENYEWE KWENYE ULIMWENGU? Season Finale, Ep 3 (Time Reference..)
 
Back
Top Bottom