Francis3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 462
- 1,629
Philadelphia EXPERIMENT
MAELEZO YAKE NA UDHIBITISHO KUWA JARIBIO LILIFANYIKA
Hili ni jaribio linalodaiwa kufanywa na U.S navy huko Philadelphia katika shipyard ilikuwa ni around October 28, 1943.
Wanajeshi U.S navy waliokuwa wanajulikana kama destroyer escort inadaiwa kuwa meli yao iliyotambulika kama [USS ELDRIDGE(DE-173)] ilifanywa kutoonekana (invisible) kwa maadui;
Story hizi zilianza kujulikana kwenye mwaka 1955 baada ya barua kutumwa kwa mnajimu Morris K Jessup hii habari ilionekana kama ni utani kwa sababu kulikuwa hakuna fact za msingi zinazoonesha kuwa hili jaribio lilifanyika.
Mwaka 1955 mnajimu Morris K Jessup alichapa kitabu chake chenye kichwa hichi “THE CASE FOR THE UFO” [UFO= Unidentified flying object]. Jessup alitumia barua mbili alizozipata kwa Carlos Miguel Allende ambaye alijitambulisha mwenyewe kama Carl M. Allen huyu inasemekana aliona siri kubwa katika vita ya pili ya dunia, Allende alidai kuwa meli ya U.S navy (destroyer escort) ambayo ni USS ELDRIDGE(DE-173) ilifanywa isionekane na kuweza kuteleportiwa NEWYORK, ila jambo hili lilisababisha vifo kwa watu waliokuwa ndani ya hiyo meli.
Mwaka 1957 Jessup aliwasiliana na watafiti wa navy (OFFICE OF NAVAL RESEARCH [ONR]) huko Washington DC na alipewa kitini kilichoonyesha muendelezo na ufafanuzi wa mambo yaliyokuwa kwenye kitabu chake “THE CASE FOR THE UFO” na kitini kilikuwa kwenye bahasha iliyokuwa imeandikwa “ HAPPY EASTER”. ufafanuzi ulikuwa umetolea maelezo baadhi ya sehemu kwenye kitabu chake, maandishi ya mwandikaji yalikuwa yameandikwa kwa wino wa pink, ila hand writing ilikuwa tofautitofauti inaonesha kama hand writing style zilikuwa aina tatu, kuonesha kwamba kwamba hizo detail zimetolewa na watu watatu tofauti.
Kati ya watu hao watatu mmoja tu ndio alijitambulisha kwa jina kama Jemi, Office Of Naval Research iliwatambulisha hao wengine kama Mr. A na Mr. B, Wote kwa pamoja walidai kuwa wao ni waroma (gypsies) wanaishi ulaya lakini orgin yao ni north india. Watu hao watatu (wafafanuzi) walikuwa wanajadili kuhusu watu wa aina mbili wanaoishi nje ya mizazi ya dunia. (story haikuendelea kwenye article niliyokuwa nasoma hivyo wew unaweza kutafuta hii sehemu ukatulisha wanajamvi tujue walijadili nini kuhusu watu hao wanaoishi kwenye outer space ila tusonge mbele)
Katika maandishi ya wafafanuzi hao hawakufuata mtindo mzuri wa uandishi ila kwa kiwango kikukubwa walikuwa wanatoa maelezo ya assumption za Jessups kwenye kitabu chake , Wafafanuzi walidai kuwa kuna majaribio ya ukweli kuhusiana na hilo jambo pia kuna udhibitisho kuwa Philadelphia experiment ilifanyika nakufanikiwa kwa kiwango kikubwa; MR. B alitoa theory na factual information ambazo Jessup alikuja kuziboresha.
Jessup pia aligundua kuwa sehemu kubwa ya ufafanuzi uliokuwa kwenye barua uliandikwa na allendes kutokana na kuangalia mtindo wake wa uandishi (hand writing), pia Office Of Naval Research ilimpa Jessup kitini kidogo chenye printing page 100 ambacho kinaonekana kilitenngenezwa na Varo Manufacturing Campany na kuhaririwa na varo ( Varo Edition) na wao walikiita Varo Annotation.
Jessup alijaribu kuchapa vitabu vyake ambavyo kichwa chake kilikuwa ni UFOs ila hakufanikiwa kutokana na kukosa wachapishaji na baadae Jessup aliuawa florida april 30, 1959 kwa kuwekewa sumu kwenye gari pia kabla ya hapo Jessup alishatengenezewa ajali ya gari hukohuko florida ila hakufa.
MWANGA JESSUP ALIOUACHA NA USHUHUDA PAMOJA NA UDHIBITISHO KWA WATAFITI WENGINE
Mwaka 1963 Vicent gaddis alichapisha kitabu ambacho kilikuwa na kichwa hichi “INVISIBLE HORIZONS: THE MYSTERIES OF THE SEA” alitumia information alizozipata kwenye varo annotation, pia mwaka 1978 Georg E. Simpson na Neal R. Burger walichapa kitabu ambacho kilikuwa kina kichwa hichi “THIN AIR” hiki kitabu kipo mpaka leo lakini naval Investigative Service Officer[ISO] wanadai kuwa sehemu kinapoonesha nadharia ya jaribio la kutokuonekana kwa meli kipindi cha vita ni kwamba wanajaribu kubadilisha na kupindua vibaya technologia inayohusisha kusafirisha maada (CONSPIRACY).
Mwaka 1979 hizi habari zilivuma kwa kwa kasi sana ambapo mwandishi Charles Berlilitz alichapa kitabu chake ambacho kina factual information na alikiita “THE PHILADELPHIA EXPERMENT: PROJECT INVISIBILITY”, kitabu hiki kilihusisha maelezo ya UNIFIED FIELD THEORY [UFT] iliyotolewa na Albert Einstein. Berlitz pia alieleza mapungufu na ubovu wa serikali juu ya barua za Allende/ Allen kwa Jessup
Berlititz kuna sehemu pia alikosolewa na navy technician (Thomas Townsend brown) hicho kipengele kilihusu field force pia baada ya muda kidogo Paul Violettes aliandika kitabu alichokiita scret of ant-gravity propulsion kuonesha vitu ambavyo navy technician alikuwa amevificha kwa Berlititz, hivyo contradiction kwenye nadharia zilizo kwenye kitabu cha Berlititz zilisawazwa.(mwanajamvi unaweza kutafuta hiki kitabu cha berlititz alikuwaameandika nini ukatujuza)
Hii story iliendelea mpaka mwaka 1984 kipindi hiki Stewart Raffill alisema kuwa hizi filamu zinazotembea kwa wakati ndio Philadelphia experiment, hii ni baada ya kushindwa kujua chanzo chanzo maalumu cha jaribio ndipo akajaribu kuangalia vitu vinavyoendana na jaribio. Mwaka 1990 alipata kusurpotiwa na Alfred bielek ambaye alidai yeye alikuwa kwenye meli hiyo na pia alishiriki kwa kiwango Fulani kwenye hiyo experiment, pia Alfred alikubali mawazo ya stewart kuhusu film zinazoonekana kama mainstream outlet za picha na Stewart alipozifananisha na Philadelphia experiment hajakosea techniques zinagonga huko huko
(MPAKA HAPO UJUE HII EXPERIMENT ILIFANYIKA NA ILIKUBALI SEMA NI SIRI KWA U.S NAVY NDIO MAANA KUNA WAKOSOAJI WAKATI WATU WAKIANDIKA VITABU NA WENGINE KUAWA (NA HAWA WAKOSOAJI NADHANI WANAWACHORA WAANDISHI KUJUA KAMA WANAFULL INFORMATION KUHUSU EXPERMENT, PIA WAKOSOAJI WANAJARIBU KUFANYA HIVYO HUENDA WANAWEZA KUPATA KNOWNLEDGE KUBWA ILI KUMODIFY SYSTEM) ILA TUENDELEE NA STORY)
Baada ya mkanganyiko mkubwa hii experiment iligundulika imebase kwenye kwenye unified field theory by albert Einstein ambayo ilikuwa inahusisha uniting field of electromagnetism and gravity into single field (wanajamvi unaweza kuicheki hiyo theory na kutufafanulia hapa mimi sijaitafuta nimekosa muda)
Baadhi ya researcher wamedai kwenye hii technologia inahusisha matumizi ya large electrical generator ili kukunja miale ya mwanga (bend-light) kuzunguka kitu kwa kufanya refraction na kusabisha hicho kitu kisionekane kabisa, Navy waliona hii experiment inafaida kubwa kijeshi hivyo wakasidia experiment kukamilika. Watafiti wengine wanasema pia experiment ilihusisha vipimo vya magnetic na gravitational field kwenye sea floor vipimo vilichukuliwa ili kupata anomalies na hii pia inaonekana bado imebase kwenye nadharia za Einstein , Pia jaribio hili lilishafanywa na Nazi Germany wakati wakitafuta ant-gravity (idea ya kuunda kitu kinachotembea bila kuathiriwa na gravity) hili jaribio liliongozwa kwa siri na Obergruppenfuhrer ambaye alikuwa leader wa nazi kipindi hicho.
Hakuna maelezo ya moja kwa moja ila experiment ilifanyika na ilikamilika kabisa
JINSI JARIBIO LILIVYOFANYIKA
Testing ilifanyika kipindi cha kiangazi mwaka 1943 na na jaribio lilifaulu kwa kiwango kikubwa na meli iliweza kupotezwa na kukaribia kutoonekana, kilichoonekana ni kama mawingu au moshi wenye ukijani hatimaye ikapotea na waliokuwa kwenye meli walilalamika vichwa kuwauma pamoja na kizunguzungu. Pia ilirepotiwa meli ilipotokea upya watu waliokuwa kwenye meli walikutwa wamenata kwenye vyuma na wengine kutokuonekana hii ni kutokana na navy kutofanya vizuri wakati wa kuandaa jaribio, pia technologia yao haikusaidia vizuri meli isionwe na radar (steath technology).
Experiment ilirudiwa tena kwa sababu mwanzo makadirio hayakuwa mazuri, October 28 mwaka 1948 ndipo ilirudiwa kipindi hichi meli (ELDRIDGE) haikuonekana hata kidogo ili disappear ile sehemu kama flash blue light na iliteleportiwa hadi Norfolk, Virginia ambapo ni mile 200 (320km) kutoka ilipokuwa mwanzo ndipoilipoonekana huko upya, baada ya hapo ilipotezwa na kuonekana tena Philadelphia katika sehemu iliyokuwa mwanzo. Inadaiwa ilitumia dakika kumi kukamilisha hili tukio la kuipoteza , kuiteleport na kuirudisha ilipokuwa mwanzo.
Pia kuzuia siri kufichuka watu waliokuwa kwenye meli walifanyiwa brainwashing na hawakuweza kukumbuka kitu na wengine walikuwa mataira
Technologia zinazodaiwa kutumika kwa pamoja na kuhakikisha experiment imekamilika ni hizi
(kiongozi unaweza kuzipitia na kutupa maelezo yake hapatuelewe kwa undani
Degaussing
Levitation
Teleportation
Corona discharges(kwa hao inaonekana walitumia USS TIMMERMAN (DD-828))