fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Labda hakuwahi kuwa na hilo wazo la kuwakusanya wachawi na kuutumia huo uchawi in a way it can bring technological development nchini. He must be advisedNi kweli kama Mshana Jr. angetumia elimu yake aliyoipata kuwaweka pamoja wachawi na kuwapa ushawishi leo hii tz tungekuwa wa kwanza kufanya safari ya kwenda Mass lakini amefika dar amebadiri nia sasa nikufundisha uchawi wa kuagua ile nia safi ya kuigeuza uchawi kuwa sayansi ya fizikia ameshindwa
Sasa sijui wao wana dunia yao wanasafiri ila hawataki kusema labda mtu ukijaribu kuwa mchawi utajua ukweli lakini haiingii akilini ati uwe mchawi msomi kama mshana kwa ajiri ya kula nyama ya mtu.
Au huenda kula nyama ya mtu kunafunua mambo mengine ya siri inje ya pazia.
Nahisi katika kula nyama za binadamu kuna faida wanaipata otherwise haingii akilini kabisa.