mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Je ni mtazamo TU au ni kweli wanawake wa kichaga Hasa wamachame wanaamini katika Mali, nimezaa na mwanamke wa kichaga mtoto Mmoja, naona yupo poa TU Hana noma zile au ni mtego kuwa niweke ndani aje anizingue
Inanipa ukakakasi Sana familia nyingi zenye mama wa kichaga , unashuhudia baba Hana sauti kabisa hapo ndani , na nina marafiki zangu wengi wa kichaga waliogoma kuoa wamachame wanadai wamachame wanakuwa trained from home kuwa mwanamke anahitaji kushikilia uchumi wa familia na kuhahikish hata akiolewa she got a task ya kurudisha home kwao.
Mwanamke niliyezaa Nae ni mrombo naye amekuwa akinambia the dark side ya wamachame, je ni fallacies TU kuhusu wachaga na wamachame au ndio don't try at home. Nimefika mbali naanza kuwa na hofu kuhusu mzazi mwenzangu Hasa nikizingatia nini kilitokea hadi tukapata mtoto, lakini since then yupo poa TU
Hebu wekeni ushuhuda wenu ni kweli wamachame ni hatari, au ni wachag
a wote au ni stori mbofu mbofu za mtàni
Stori za makabila hazina maana yoyote lakini ukichukua mfano huu mhaya au myakyusa na kupenda misifa unaona kama Kuna ukweli, Sasa najiuliza vile tunavyoamini mhaya ana sifa. Na mwanamke wa kichaga na Mali Pana ukweli , hii wiki wanawake wa kichaga wametrend Sana na Kuna mtu ananiamba single mother wengi na wajane wengi ni wachag na ndoa na taraka nyngi zinahusana na wachaga je Kuna ukweli,namaz kanipa mfano wa mengi nimechoka