Simba haina shida ya beki, tuna beki kibao, hayo maneno ndiyo nayasikia kwa wanaojifanya wanajua mpira, una ibrahim ame, kennedy, nyoni, onyango, wawa, sasa beki ya nini tenaAbdul Razak
Hakuna mfatiliaji na mdau wa soka bongo asiejua kwamba shida ya Yanga SC ni striker, Yanga ilikuwa inaitaji striker na imepata striker, kuhusu striker ni Mzuri kiasi gani ligi zetu za kiafrika hazina formula
Chikwende
Nadhani watu wengi wa Simba na wadaawa wa soka wengi bongo walitegemea Simba ingesajili beki wa Kati kijana na mwenye speed, lakn Barbra amesajli forward, Chikwende sio mchezaj mbaya, kwani anakasi na ataongeza kasi zaidi mbele, lakn kwa Mtazamo wangu Mimi Simba waliitaji beki wa Kati pia zaidi kuliko striker
Ligi mzunguko wa kwanza Simba amemaliza!Beki champions league imeruhusu goli moja katika mechi nne, kwenye leagye imeruhusu goli tano tu mzunguko wa kwanza, ukuta wa simba mala ya mwisho kurusu goli ilikuwa mechi yanga, tena penalt ya magumashi. Sasa nikimeona mtu anasema simba wanabeki mbobu huwa najiuliza anatumia kigezo gani?
Duh!Kwa Simba ya sasa aina shida ya beki,beki wa kati kijana uliempendekeza ni Ibrahim Amme.
Onyango ni kijana sema mnahofu umri wake kwasababu ana uso wa mbuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Simba ya sasa aina shida ya beki,beki wa kati kijana uliempendekeza ni Ibrahim Amme.
Onyango ni kijana sema mnahofu umri wake kwasababu ana uso wa mbuzi.
Wasio na amani hawajui mpira. Onyango amekuja Simba akiwa MVP wa ligi ya Kenya (kama alivyokuwa Chama kwenye ligi ya Bara). Bado akiwa Simba amethibitisha hilo na hakuna beki bora hadi sasa kuliko ya Simba hapa Bara. Bado kuna Wawa, Nyoni, Kennedy, Ame, halafu mtu anakurupuka kusema mahitaji ya Simba ni beki, hivi watu huwa mnaangalia mpira kweli?Nahisi toka Onyango akimbizwe kwa kutanguliziwa mipira mbele na yule kijana wa yanga watu hawana imani nae kabisa.
Yanga ni kama mchawi huwa hapendi [emoji35]Wasio na amani hawajui mpira. Onyango amekuja Simba akiwa MVP wa ligi ya Kenya (kama alivyokuwa Chama kwenye ligi ya Bara). Bado akiwa Simba amethibitisha hilo na hakuna beki bora hadi sasa kuliko ya Simba hapa Bara. Bado kuna Wawa, Nyoni, Kennedy, Ame, halafu mtu anakurupuka kusema mahitaji ya Simba ni beki, hivi watu huwa mnaangalia mpira kweli?
huwa hata mimi inanishangaza kwa kweli ,wakisikia beki haraka wanakimbilia kwa onyango na wawaSimba haina shida ya beki, tuna beki kibao, hayo maneno ndiyo nayasikia kwa wanaojifanya wanajua mpira, una ibrahim ame, kennedy, nyoni, onyango, wawa, sasa beki ya nini tena
Hiyo Form na Spirit inauzwa Wapi!??We beki Kama onyango east Africa unamtoa wapi mwingine? Utopolo mnashindwa kujua statistics beki gani imeruhusu goli chache? Yanga inawachowabeba ni form na Spirit ndomana beki inaonekana nzuri ila beki hamna mle
Ww ulimuona wapi chikwende akicheza hadi unasema mzuri?Ame anatosha sana kama beki namba nne. Chikwende ni usajili bora kabisa. Huyu anailazimisha timu pinzani kujihami muda wote so mabeki wake hawatakua na wakati mgumu.
Huyu wa Yanga toka Burundi ni mtoto wa dada Caze kaja kula na mjomba Kama Maximo na Jaja.
Inatokana na kukosa ubingwa kwa miaka 3 hivyo inapandikizwa kuanzia kwa kocha,viongozi, mashabiki Ila kiuhalisia hawapo Bora ndomana mechi za kiufundi ambazo sio za kukamia ubora wa yanga katika safu ya ulinzi hauonekani...Angalia goli la kizembe alilofunga Steven sey, na majeruhi ya mara kwa Mara ya Moro kwa kukamia pita kiasi mfano mechi ya Simba kacheza kipindi kimojaHiyo Form na Spirit inauzwa Wapi!??